maombi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Viongozi wa dini zote nchini himizeni maombi ya kuiombea mvua msije kuhubiria watu 'wachafu' makanisani/misikitini

    Na tambueni mvua zisiponyesha ina maana hata maji ya kuoga, kunywa au kutawazia hayatokuwepo, na mtajikuta mnakosa kabisa waumini makanisani na misikitini kwani hakuna mpuuzi atakayependa kwenda ibadani kumuomba Menyezi Mungu huku akiwa mchafu na ananuka pia. Hivyo basi GENTAMYCINE nawahimiza...
  2. TCAA imetangaza nafasi 10 za mkopo wa mafunzo ya utengenezaji wa Ndege, angalia hapa jinsi ya kuomba

    Kwa niaba ya Kamati ya Mfuko wa Mafunzo ya TCAA, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania inakaribisha Watanzania wenye sifa za kuomba mkopo wa mafunzo ya fani ya Uhandisi wa Matengenezo ya Ndege (nafasi 10)
  3. California - Marekani: Watawa walima bangi

    Wanawake hawa ni "Masista wa eneo hilo," wanaojulikana zaidi kama Watawa wa bangi. Wakiongozwa na Mtawa Kate, wanawake hao ni wanachama wa kundi linalojiita watawa wanaojitambulisha kama watetezi wa haki za wanawake, lakini muhimu zaidi, ni wafanyabiashara. Licha ya kuwa California...
  4. L

    Watanzania Tufanye Maombi ya Kitaifa kumwomba Mwenyezi Mungu atupatie Mvua zenye Baraka na Neema

    Ndugu zangu Nikiwa Kama mkulima naona Hali ya hewa imekuwa siyo nzuri, inatutisha wakulima, inatupa wasiwasi, mashaka na hofu. Mpaka Leo tunapoelekea kuumaliza mwezi huu bado hatujaona mvua, bado ardhi Haijapata mvua, bado tunaendelea kuangalia angani kila kukicha kuona Hali ya mawingu, Bado...
  5. N

    Maombi ya kutafuta kazi

    Kwa majina naitwa nassor maneno,naishi dar es salaam vile vile nina certificate ya clearing and forwarding , pamoja na hayo me nilkuw naomb kaz kwa mwenye connection ya clearing and forwarding au yoyote. Ahsanteni
  6. Bunge la Urusi limekubali maombi ya maeneo pendwa, sasa sheria kulinda eneo hilo

    Russia’s parliament fully ratifies unification treaties The Federation Council has approved agreements with four former Ukrainian regions on accepting them as new Russian territories Russia’s parliament fully ratifies unification treaties The Federation Council in session. © Federation...
  7. Ukraine yatuma maombi kujiunga na NATO haraka iwezekanavyo

    Officially comfirmed by ukraine president zelensky. =========== KYIV, Sept 30 (Reuters) - President Volodymyr Zelenskiy said on Friday Ukraine was formally applying for fast-track membership of the NATO military alliance and that Kyiv was ready for talks with Moscow, but not with President...
  8. Royal Agricultural University wanapokea maombi kwa scholarships za 2023

    Royal College of Agriculture University inapokea maombi kutoka kwa waombaji kutoka nchi mbalimbali, waombaji wanaokidhi vigezo watume maombi kabla ya July 2023. https://c-js.uk/3RWQlsW
  9. Dirisha la Maombi ya Samia Scholarship lafunguliwa

    Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefungua dirisha la maombi ya SAMIA SCHOLARSHIP kwa wanafunzi 640 waliopata ufaulu wa juu kwenye masomo ya sayansi katika mitihani ya Kidato cha Sita 2022. Majina ya wanafunzi hao yanapatikana kuanzia leo katika tovuti ya wizara...
  10. Mnao fanya maombi ya mkopo kwenye tovuti ya HESLB hili tatizo linasababishwa na nini?

    Nipo nafanya maombi yangu ya mkopo wa elimu ya juu kwenye tovuti ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Nimefika sehemu ya mdhamini, kila nikijaza taarifa za mdhamini na kusave napata hiyo shida kwenye picha. Je sababu ni nini.
  11. Mnao tuma maombi ya mkopo hili tatizo linasababishwa na nini?

    Nipo nafanya maombi yangu ya mkopo wa elimu ya juu. Nimefika sehemu ya mdhamini, napata hiyo shida kwenye picha. Je sababu ni nini.
  12. M

    Nyakati za usiku mnafanya nini BOLT/UBER wasikatae maombi (request) yenu?

    Habari zenu wanajamvi Kwa wale wenzangu na mimi wazee wa kusakata rhumba usiku kucha hususani weekend mtakuwa na uzoefu kama wangu juu ya usafiri wa hili jiji la Dar. Juzi nlikuwa na wana kwa party Kurasini, Kilwa road mtaa wa Loliondo. Tulikuwa wana kama wote, vile tunamimina maji toka saa 4...
  13. Maombi ya kutafuta kazi

    Habari zenu ndugu zangu.jina langu ni SAIDI RAMADHANI.Nikijana mtanzania ninauhitaji wa kazi kwa kazi yeyote ile ya halali Niko tayari kuifanya.kwani ninauwezo wa kuzungumza kiingereza na kiswahili fasaha. kuhusu swala la mshahara nimaelewano na muajiri pale nitakapo pata kazi kikubwa ni kazi tu...
  14. Maombi ya kujiunga na chuo CBE

    Wakati nafanya application steps zote nimeletewa mpaka ku submit, lakini hatua ya malipo sijaletewa. Sijaelewa kama ndio ipo hivyo kwa wote au ni mimi tu. Maombi yameenda bila malipo.
  15. Maombi ya Zumaridi kutokuwa na imani na Hakimu yakosa majibu Mahakamani, Julai 18, 2022

    Maombi ya mshtakiwa Diana Bundala "Mfalme Zumaridi" ya kutokuwa na imani na Hakimu anayeendesha kesi namba 10 ya kujeruhi askari na kumzuia afisa ustawi kutekeleza majukumu yake yameshindwa kupata majibu baada ya Hakimu huyo kudai alipata changamoto ya kiafya. Mapema leo hii mfalme Zumaridi...
  16. Tahadhali: Kwa wanaotuma maombi ya kusoma SUA

    Huu ni ujumbe mahsusi kwa form six na diploma wanaotegemea kutuma maombi chuo cha SUA. Natoa rai tu,kama unataka kusoma SUA basi omba kozi zote upendazo ila achana na kozi hizi hapa chini. 1. Bachelor of laboratory Sciences (BLS). 2. Bachelor of education zenye physics. Hiyo BLS ni kozi ya...
  17. Maombi ya chuo kikuu kwa wahitimu wa diploma

    Kila nikiingiza equivalent namba napata meseji hii "Only post request with a payload is allowed" Ambapo equivalent namba natumia namba yangu ya chuo niliyofanyia mtihani. Au nakose? Mwenye uelewa tafadhari!
  18. K

    Tunaomba turudishiwe fedha zetu za maombi kutokana na ugawaji wa viwanja kwa upendeleo jijini Mwanza

    Ni masikitiko makubwa kuona upendeleo wa dhahiri wa ugawaji wa viwanja katika Jiji la Mwanza. Wote tulitangaziwa kuomba viwanja hivyo kwa ada ya Tshs.20,000 kwa kila kiwanja lakini cha kusikitisha waliopata viwanja ni vigogo ambao hata hawakufika kuchukua fomu na kuzijaza. Hivi ni kweli mtu...
  19. M

    Maombi ya ushauri wa kufanya field ipi ni nzuri?

    Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi 1. Software developer 2. Database administator 3.Network engineering 4.security analyst 5. Programing Yeyote yule anaweza nisaidia ushauri
  20. M

    Maombi ya ushauri field ipi ni nzuri?

    Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi 1. Software developer 2. Database administator 3.Network engineering 4.security analyst 5. Programing Yeyote yule anaweza nisaidia ushauri
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…