maoni ya mwananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lunovar

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa serikali kukaribisha wawekezaji kwenye barabara zetu

    Kiukweli mi naona kwenye swala la maendeleo ya barabara katika nchi hii serikali imeshindwa kabisa. Barabara nyingi nchini na muhimu kwa ustawi wa uchumi wa nchi ni mbovu kupita maelezo na cha ajabu unakuta ndio barabara ambazo hata viongozi hutumia kwenda kwenye shughuli zao. Nitolee mfano wa...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Maoni ya mwananchi: Bima ya Afya kwa wote haitekelezeki, hata ikija ni ya wachache

    Gamalieli Sindisha, mkazi wa Dar es Salaaam, kwa upande wake haoni kabisa mpango wa Bima ya afya kwa wote ukitekelezeka, kwa sababu hizi ambazo anazitaja hapa.
Back
Top Bottom