Hiki ulichosema hapa ni 'leakage' katika mfumo wa bima ni bora hata hizo pesa wakakopeshe watu kwa riba kuliko kuhudumia yatima na walemavu.wasiwe na papara, wangeanza kwanza kuhudumuia kwa mfano walemavu wote na watoto yatima kwanza, walemavu na watoto yatima hawawezi kuhustle kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao wengine waliobakia wanaweza kukimbizana na ku hustle, hivyo kwa maoni yangu serikali ianze kwanza kuhudumia walemavu na watoto yatima halafu ndiyo waanze kufikiri next step.
jamii inayotelekeza walemavu na yatima ni jamii iliyolaaniwa ...
Hiki ulichosema hapa ni 'leakage' katika mfumo wa bima ni bora hata hizo pesa wakakopeshe watu kwa riba kuliko kuhudumia yatima na walemavu.
Bima ni utaratibu wa lifedha ambao unalenga kutumia michango ya wanachama kuwapunguzia gharama za matibabu.
Inapotokea wanachama kwa asilimia 90 wamevuka mwaka wa kifedha bila kuumwa then hiyo ni faida na ni jambo zuri kwenye shirika la bima na ndio chanzo cha mapato na kuongeza uwezo wa bima kuwahudumia vizuri zaidi wateja wake.
Ukiweka wategemezi ambao hawana michango ila wanategemea kuhudumiwa na mfuko then unatengeneza mvujo ' leakage ' kwenye mfuko kwasababu unaowagharamikia hawajachangia na utakuwa unawaonea wanaochangia pesa zao.
Suluhu ni labda serikali kukadiria michango ya walemavu na yatima au makundi yote ya wasiojiweza na kuwatengea account maalumu ambayo raia wengine kwa nyakati tofauti tutachangia tukisaidiana na wahisani wengine wa nje ya inchi ambao wataingiza misaada yao humo. Hili linawezekana na halitakuwa na shida katika mfumo wa bima.
Ila nasisitiza, sumu au tatizo kubwa linalofanya bima inakuwa mziki Tanzania ni kukosa usimamizi mzuri wa fedha za michango ya wanachama, upigaji na rushwa hivi ndio vinarudisha nyuma mashirika ya bima.
Hii ingefaa maana wakikaa majukwani wanasema wazee,watoto chini ya miaka mitano na wajawazito matibabu mi bure.Kama kweli wana dhamira nzuri na afya za wananchi basi wangeanza na haya makundi wanayojitamba nayo kuwa huduma ni bure kwao na hii italeta ahueni kwa vituo maana vitakuwa na return baada ya kutoa huduma kwa hayo makundi kuliko ilivyo sasa.wasiwe na papara, wangeanza kwanza kuhudumuia kwa mfano walemavu wote na watoto yatima kwanza, walemavu na watoto yatima hawawezi kuhustle kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao wengine waliobakia wanaweza kukimbizana na ku hustle, hivyo kwa maoni yangu serikali ianze kwanza kuhudumia walemavu na watoto yatima halafu ndiyo waanze kufikiri next step.
jamii inayotelekeza walemavu na yatima ni jamii iliyolaaniwa ...
Rejea chf iliyoboreshwaMwanzo mgumu na kipya kinyemi.
Ngoja tufanye Pilot tuone itakuwaje.
NIHF ipo vizuri kwasasa? Unatibiwa hospitali kubwa kubwa kama Agakhan?Rejea chf iliyoboreshwa
Kumbe hauna takwimu ndio maana unatoa hoja ya namna hii. Ni vema ukajua takwimu kabla ya kuongea.hivi watu wenye ulemavu ni asilimia ngapi ya tanzagiza hadi uandike ulioandika? kusaidia walemavu na yatima ambao maisha yamewaadhibu na siyo kosa lao kunawezaje kuwa jambo baya la kufilisi bima? unaweza kunieleza hapo? ...
Aga khan sidhani kama walimalizana,maana Aga khan walisitisha mkataba baada ya NHIF kupunguza gharamaNIHF ipo vizuri kwasasa? Unatibiwa hospitali kubwa kubwa kama Agakhan?
Kumbe hauna takwimu ndio maana unatoa hoja ya namna hii. Ni vema ukajua takwimu kabla ya kuongea.
Ni around 6.7 million tanzanianian wanaingia katika hili kundi la yatima na walemavu.
Si tulikubaliana kuwa ni Yatima na walemavu au? Hiyo ni jumla ya wote.hiyo ni record inastahili kuingia guiness book of records kwa nchi ambayo haina vita, yaani >10% of the population ni walemavu? kwani nchi ilikuwa vitani au ni 29/10 labda imeongeza? ...
Hiki ulichosema hapa ni 'leakage' katika mfumo wa bima ni bora hata hizo pesa wakakopeshe watu kwa riba kuliko kuhudumia yatima na walemavu.
Bima ni utaratibu wa lifedha ambao unalenga kutumia michango ya wanachama kuwapunguzia gharama za matibabu.
Inapotokea wanachama kwa asilimia 90 wamevuka mwaka wa kifedha bila kuumwa then hiyo ni faida na ni jambo zuri kwenye shirika la bima na ndio chanzo cha mapato na kuongeza uwezo wa bima kuwahudumia vizuri zaidi wateja wake.
Ukiweka wategemezi ambao hawana michango ila wanategemea kuhudumiwa na mfuko then unatengeneza mvujo ' leakage ' kwenye mfuko kwasababu unaowagharamikia hawajachangia na utakuwa unawaonea wanaochangia pesa zao.
Suluhu ni labda serikali kukadiria michango ya walemavu na yatima au makundi yote ya wasiojiweza na kuwatengea account maalumu ambayo raia wengine kwa nyakati tofauti tutachangia tukisaidiana na wahisani wengine wa nje ya inchi ambao wataingiza misaada yao humo. Hili linawezekana na halitakuwa na shida katika mfumo wa bima.
Ila nasisitiza, sumu au tatizo kubwa linalofanya bima inakuwa mziki Tanzania ni kukosa usimamizi mzuri wa fedha za michango ya wanachama, upigaji na rushwa hivi ndio vinarudisha nyuma mashirika ya bima.
Si tulikubaliana kuwa ni Yatima na walemavu au? Hiyo ni jumla ya wote.
Makundi maalumu ndio akina nani tena hao ?View attachment 3534579
Ujumbe wako umefika mkuu, tutaona namna ya kulifanyia kazi Hoja yako. 🤝
Hata hivyo bima ya afya kwa wote tutaaza na makundi maalumu kwanza kama majaribio. Baada ya hapo itakuwa kwa watu wote.
Ndio maana wadau wanahoji kuwa hiyo itawezekanaje kwa maana TANZANIA ina idadi kubwa ya wategemezi kuliko watoaji.hata kama, kama ni kweli yatima na walemavu ni >10% of the population, hiyo ni karibia apocalypse, sasa kama ni hivyo wanabakia watu gani wa kufanya kazi na kuchangia kwa maana kuna watoto umri wa shule kuanzia msingi mpaka sekondari ambao ni tegemezi na ni wengi sana, tanzagiza ni young country kwa maana vijana ni wengi sana kuna kundi la wazee, hivyo ukichukuwa walemavu+yatima+watoto na vijana chini ya miaka 16 + wazee unapata >50% of the population, sasa ni nani huyo atakayechangia hiyo bima ya afya ya kwenda kuhudumia wasioweza kuchangia ambao ni zaidi ya 50% of the population? ...