maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maoni yangu: Mradi wa Mabasi ya mwendokasi apewe mtu Binafsi

    Mimi nadhan huu mradi wa magari ya haraka serikali imeshindwa kuufanya uwe msaada wa wanainchi ambao wanatumia usafiri huu Usafiri umekuwa wa kero na shida nyingi Sana hasa kuanzia muda wa Saa nane za mchana mpaka saa mbili usiku Wasafiri wengi wanaachwa wakiwa wapenga folen ndefu Sana na...
  2. Stephen Chelu - Therapy: Sikiliza Wimbo Wangu Huu Kisha Utoe Maoni Yako

    Baada ya moonlight serenade πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Ambapo nilipokea maoni mbalimbali ambayo naendelea kuyafnyia kazi. nikukaribisheni tena kusikiliza wimbo mwingine uitwao therapy ambao nimeufanya mwenyewe mwanzo mwisho. hii ni express version kwa sababu bado sijaridhishwa na jinsi ninavyoisikia lakini bado...
  3. Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo. Hivi mama...
  4. S

    Zama zake zimepita. Jihadhari sana na kauli au maoni yako juu yake hapo kesho

    Tuko zama za anaupiga mwingi na maridhiano. Hivyo ewe kiongozi mteuliwa kuwa mwangalifu utakapokuwa unatoa maoni kuhusu bwana yule hapo kesho, maana Zama zake zimepita na kitabu chake kimefungwa. Maoni yako yakikolezwa Sana sifa itakula kwako. Kama ikiwezekana wakwepe Sana waamdishi wa habari...
  5. Maoni yangu

    Jana nimekaa nimewaza sana tu . WANAUME humu wanaume wanaona kila anayetrend Kwa kucomment ,Kwa posts ni anajiuza ndio mindset yao, so mie nimeona siwezi kuendelea kupretend na kuishi mahali ili hali unaonekana tofauti. WANAWAKE Humu wanawake wengine ni wapo Kwa shughuli Moja tu kupendwa ...
  6. Karibu usikilize wimbo wangu kisha utoe maoni

    Kama mpenzi wa mziki, nimeamua kutengeneza hii ngoma na ni kwa mara ya kwanza nimefanya kila kitu mwenyewe kuanzia beat, mixing na mastering. Hebu isikilizeni kisha mtoe maoni yenu... Song: Moonlihht Serenade Genre: Hip hop
  7. Tuisaidie Tume ya kuboresha taasisi za haki jinai kwa kuweka maoni yatu hapa

    Wadau kama tunavyofahamu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aliteua wajumbe tisa wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Othman Chande na Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Balozi Ombeni Sefue. Lengo kuu ni kuangalia kwa...
  8. Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  9. Maoni na mapendekezo kwa tume/kamati ya kuangalia mfumo wa haki jinai

    Habari za jioni mabibi na mabwana. Ni maoni kwamba nia hii njema ya RJMT ipate muda wa kutosha katika mitandao ya kijamii na media kuu za nchi yetu. Ikiwezekana hata na media za kimataifa kama BBC Swahili, BBC Focus on Africa, VOA Swahili, DW Kiswahili na za kikanda kama media za nchi jirani...
  10. Maoni yangu binafsi kuhusu dini

    Nimelelewa nikiaminishwa kwamba mimi ni bora kuliko kundi lingine la kidini (Nikiwa Mkirsto) nikaaminishwa kuwa jamii yetu ni jamii bora na nikaaminishwa kuwa hakuna la muhimu kwa wengine ila kwetu tu. Lakini nikawa ninajiuliza ni vipi Dini inafundisha utengano mkubwa kiasi hiki. Niliishi na...
  11. Serikali iimarishe vyama (associations) za wasomi ili wasaidie katika ku address maoni na ushauri katika masuala mbalimbali ya Kitaifa

    Tuache siasa kwa kila kitu. Hizi associations mbalimbali za kitaluuma ziwe zina address solutions mbalimbali kwenye changamoto za kijamii kuliko ku pose kisiasa tu. Chama cha Engineers, Chama cha wanasheria, Chama cha makarani, chama cha madalali, chama cha Wapangaji, chama cha wahasibu, chama...
  12. Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

    Habari wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
  13. J

    Maoni kwa Wizara mbalimbali yaliyotolewa na Wadau wa Twitter Space ya Jamiiforums Januari 26, 2023

    Jamiiforums kupitia ukurasa wake wa Twitter imeandaa space ambayo itatoa fursa ya dakika 2 kwa Wananchi kutoa maoni au (kupaza sauti yao) kuhusu suala lolote linalowagusa katika Wizara yoyote hapa nchini. Mjadala huu unatarajiwa kuongozwa na Mwandishi wa Habari Sammy Awami Ili kupata nafasi...
  14. Maoni yangu kwa CHADEMA

    CHADEMA inabidi muwe makini katika teuzi mbalimbali za viongozi wa mashina mpaka matawi ngazi za Serikali za mitaa mpaka kata. Ili chama kiwe IMARA ni lazima kuwepo viongozi makini na wanaojua wajibu wao na sio viongozi VIZA ambao katu wameteuliwa lakini hawajui wajibu wao. Nimesema haya...
  15. Baada ya Mbowe kuiponda awamu ya 5, maoni ya wananchi ambao ni wapiga kura kwenye Instagram page ya JF yanashtua

    Sijui imekaaje hii kisiasa mimi sio mwanasiasa ila naamini nguvu yoyote bila legitimacy ya umma haiwezekani. Mbowe alikuwa akimwaga sifa kwa Mama Samia uku akiiponda serikali ya Magufuli. Maoni yake yamewakera sana wananchi na wameonesha hisia zao kupitia kurasa ya Instagram ya jamiiforums...
  16. Pongezi kwa Sekretatieti ya Ajira kwa kuyachukua maoni yetu na kuyafanyia kazi

    Habarini za usiku wadau, Ninapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza PSRS kwa hatua ambazo wamechukua juu ya maoni yetu sisi wasaka tonge. Kwan jion ya leo nimejaribu kuingia kwenye tovuti yao nikakutana na PDF za kutosha kwa watu walioitwa kwenye usahili. Kwani nimekuta utofauti kidogo. Majina...
  17. Maoni yangu juu ya katiba mpya na changamoto zake

    Hivi ndugu mtanzania mwenzangu, umeona wapi baba kuruhusu taratibu ambazo zinamyima amani kwenye nyumba yake? Mimi kama mtanzania mtazamo wa katiba mpya n8 mzuri sanaa, lakini bado hauna nguvu. Kipindi tulichonacho sio cha kuleta mchakato huo ni mwakani hapo tunaingia uchanguzo mdogo ninani...
  18. Phone4Sale Tupe maoni yako

    Habari Ndugu! Ikiwa tume uwanza mwaka mpya basi nasi tunataka tukuhudumie kwa viwango vya juu kabisa kwa mwaka huu kwa kuwaletea matoleo mazuri zaidi na ya kisasa. Leo tujadiliane kitu kimoja. Kwa namna moja ama nyingine simu zetu za TECNO zimekuwa na watumiaji wengi sana hapa nchini. Huku...
  19. Askofu Mwamakula amtaja Gerald Hando shujaa wa maoni 2022

    GERALD HANDO ATAJWA NA ASKOFU KUWA SHUJAA WA UHURU WA MAONI WA 2022. Wamiliki wa vyombo vya habari vya Tanzania na wahariri wamewekwa mfukoni na serikali, wanajikomba na wanajipendekeza kwa serikali. Mtangazaji wa EFM na TVE, Gerald Hando ameadhibiwa na mmiliki wake kwa kauli yake ya kukosoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…