Mfano leo Wales 🏴 na England 🏴 wameimba nyimbo zao za Taifa japo wapo kwenye muungano wa 'United Kingdom🇬🇧'.
Mapendekezo yangu hapa nyumbani Tanzania 🇹🇿 tufanye hivo pia kwa Tanganyika na Zanzibar, hii itaonesha uhalisia na chimbuko la kila mmoja chini ya kivuli cha Muungano...