Wahenga wanasema utamu wa ngoma uingie ucheze, ukweli wa jambo kama halijakukuta wewe wakati mwingine ni ngumu kumuelewa Yule anaelipitia, katika maisha yangu sikuwahi kuwaza kama kuna siku uzazi utanifanya nijione mwendawazimu, hasa vile vipindi nikilia kama mtoto mdogo asiyejua mama yake yuko...