mapenzi

  1. fakhbros

    Ushuhuda wa mapenzi makaburini

    Wazazi wangu walikuwa wameoana kwa miaka 55. Asubuhi moja, mama yangu alikuwa akishuka chini ili kuandaa kifungua kinywa cha baba, alipatwa na mshtuko wa moyo na akaanguka. Baba yangu alijitahidi kadiri alivyoweza ili kumnusuru alimburuta hadi alipo lifikia gari lao dogo na kumpakia ndani...
  2. Natafuta Ajira

    Wanawake wanakusubiri kwenye finish line

    Maisha ya mwanaume ni mbio za marathoni, ukiwa unaanza kwenye starting line, wanawake hatawakuona watakaa mbali na wewe, mpaka utashangaa hivi wengine wanapata wapi mademu au wake wa kuoa. Usivunjike moyo, focus yako iwe katika mbio za marathon, wanawake wapo kule kwenye finish line wamejipanga...
  3. I

    Faida za kufanya mapenzi

    Kufanya mapenzi mara kwa mara kunaweza kuwa na faida kadhaa za kiafya na kiakili, ingawa ni muhimu kutambua kuwa faida hizi zinaweza kutofautiana kati ya watu kulingana na hali ya afya, mahusiano, na maisha yao binafsi. Hapa kuna baadhi ya faida hizo: 1. Kupunguza Msongo wa Mawazo: Kufanya...
  4. C

    Anasema hatuwezi kufanya mapenzi mpaka nimuoe, nifanyeje?

    Kwema wakuu, Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda. Shida inakuja hataki tufanye mapenzi anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa, nifanyeje?! Pia soma...
  5. fakhbros

    Mambo 10 ya kisaikolojia kuhusu mvuto katika mapenzi (الحبة)

    1.Wasichana wanapenda kuongea maneno machafu kama wavulana. Wanawake huvutiwa moja kwa moja na wale wanaojaribu kuanza mazungumzo nao ana kwa ana, 2. Neno "I Love You" lina athari zaidi ya kihisia kwenye ubongo linaponong'onwa kwenye sikio la kushoto. Wanawake huwa wanavutiwa na mwanamume...
  6. G

    wanaume wenye homoni nyingi za kike na wanawake wenye homoni nyingi za kiume wanazungumziwaje kwenye biblia na Quran?

    Ni nadra kuwakuta ila wapo na watu huwadhania ni jinsia tofauti ni mpaka wakijuzwa zaidi lakini mijadala huanza "huyu ni mwanaume kweli?" "huyu ni mwanamke kweli?" Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana hips, makalio makubwa, mapaja makubwa, ana sura ya kike, tabia za kike, n.k. vitabu...
  7. feyzal

    Mapenzi yalivyonibadilisha na kuwa mkatili na roho ya ajabu

    Naam kama heading inavyosema kwakweli kwasasa nimeanza kujichukia hasa upande wa mahusiano ya kimapenzi. Nianze nyuma kidogo ili uelewe kwanini yamenifanya kua katili na pengine inaweza ikawa funzo kwa vijana wa leo. Hapa sitataja majina halisi ya wahusika na nitaeleza direct lengo tu. "Wewe ni...
  8. Tajiri Tanzanite

    Ni mwaka wa 2 sasa bila kufanya mapenzi ni raha kweli kweli

    Hapo vip!! Mimi ni kijana rijali haswa ila baada ya kumchunguza kiumbe anayeitwa mwanamke kwa miaka mingi nimegundua sintoweza kuishi naye kwasababu kipindi cha nyumba nikiwa kwenye mahusiano mwanamke amekuwa chanzo ya kunipokonya uhuru na furaha yangu ya asili. Pili ninapoona ushetani...
  9. Mapandeson

    Kuna ulazima mpenzi wa sasa ajue mahusiano yaliyopita?

    Je kuna ulazima mpenzi wako wa sasa hajue mahusiano yako yaliyopita??
  10. Tlaatlaah

    Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?

    Maana bila pesa hapo katikati ni sawa na hasara kwenye biashara. mapenzi hayafanyiki kabisa.. Mtu moja ana hudumia au kuhumiwa na michepuko zaidi ya minne, ukavu na msinyao wa via vya uzazi ni wa kupindukia.. Bila pesa wapenzi hawakutani, lakini pia bila fedha hakuna mawasiliano ni ukimya tu...
  11. Mwachiluwi

    Mapenzi yamenishinda

    Hi Nikifikiri kuhusu mapenzi naona mimi nimeumbwa kupenda na kuumizwa ila sio kupendwa mda wote unachunwa mpaka akiba Vuta picha unakutaka na ex wako yupo na rafiki yake rafik yake anakupa salamu af ex wak anasema nilikula pesa zako
  12. Tlaatlaah

    Umewahi kumuonea huruma mwenza wako ukaahirisha mechi licha ya kukubaliana?

    kwamba mmekubaliana kwenda kufanya mapenzi kwa hiyari, makubaliano, mapenzi na ridhaa zenu wenyewe... ghafla mmeingia eneo la faragha tayari kwa game kunako 6kwa6, then ghafla unajawa huruma, hofu na stimu inakata kwa unachoshuhudia kwa macho, mathalani kutoka kwa mwenza wako?.. Je, ni kitu...
  13. M

    Ni sahihi kufanya mapenzi kwenye gari?

    Wanajamvi Siku hizi limekuwa kama jambo la kawaida kukuta watu wamepaki gari wanafanya mapenzi humo ndani. Hii imekaaje?Ni sahihi kweli? Pia soma: Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari
  14. Rayns

    Mwanaume Kufanya Mapenzi mbele ya Mwanaume Mwenzako ni Kudhalilishana

    Habari za wakati huu wote, Leo Ningependa kushare nanyi hili tukio ambalo lilinitokea, na sio zuri kuliendekeza kwa wale wanaofanya. Nimejikuta nakumbuka mojawapo ya DHARAU kubwa sana kuwahi kufanyiwa. Kwanza kabisa niseme kuna watu tunadharaulika, nilifananishwa na bulb (Taa), au Mbu wale...
  15. Tlaatlaah

    Umewahi kushindwa kufanya mapenzi ukiwa na mpenzi wako chumbani, uliamua nini baada ya hapo?

    mathalani, kwa muda mrefu, na kwa hamu kubwa, mmepanga au kuahidiana kukutana faragha kwa ajili ya kushiriki penzi moto moto na kipenzi chako, halafu ghafla umefika eneo la faragha tayari kwa tendo, halafu hakuna kinachowezekana, moja haikai, mbili haikai, na huelewi wala hujui sababu ni nini...
  16. Cecil J

    TALES OF LOVE: Mikasa ya kweli ya mapenzi.

    ...
  17. Bull Striker

    Uwezo wa kufanya mapenzi katika Jamii hushuka kila uchwao...

    Jamii sasa imekumbwa na kupungufu uwezo wa kufanya mapenzi. Labda vizazi vyetu havina nguvu wala uwezo huwenda kutokana na sababu mbali mbali. Mfano moja wanawake wawili Kati ya kumi ndo huweza kufika kilele (Mshindo) Wanawake wengi wanafanya mapenzi na hawafiki kileleni. Wanaume wengi...
  18. Uwesutanzania

    Manguli wa mapenzi msaada wa haraka unahitajika kwangu naomba njooni mnisaidie

    Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mfupi mweusi mnene kidogo wa wastani,. Changamoto yangu ambayo ninahitaji msaada wenu ni kuwa, Nina wapenzi wawili ambao wate kwa pamoja wanaonyesha kunipenda sana, wananipenda mpaka nimekuwa nashindwa kuelewa niingie na yupi kwenye ndoa na wote wanahitaji...
  19. M

    Kila anachoomba anapewa lakini hataki kutoa penzi

    Kuna rafiki yangu kanilalamikia sana leo, anasema ana mwanamke alimtongoza na wana miezi kama saba hivi. Kila akimpanga kuja geto anatafuta visingizio ila jamaa anajitoa sana kwa mwanamke, akiomba pesa anapewa, akiomba pesa ya kusuka anapewa, jamaa akiomba waonane wanaonana sehemu kama kwenye...
  20. Tlaatlaah

    Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari

    Ni kukaribisha laana na mikosi kwenye gari, bajaji au ofisi yako au ya mwenzako.. Acha kabisaa tabia hiyo chafu, ingawa wewe unaona tamu. Gari au bajaji yenyewe umeazima na hiyo ofisi umaajiriwa tu, usikaribishe na kupakaza mikosi kwenye ofisi na gari ya watu tafadhali muungwana. Ni vizuri...
Back
Top Bottom