Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote.
Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali.
Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na...
Mjinga mkubwa wewe, tatizo sio huyo mwanaume unayemwambia:
"Kaa mbali na mke/mpenzi/mwanamke wangu."
Tatizo ni mke, mpenzi au girlfriend wako amempa nafasi mwamba ya kuongea, kuwasiliana au kutaniana naye na kutongozwa na kuna uwezekano tayari kashampiga miti.
Shtuka adui yako ni mke au...
Unaweza kuingia sehemu za kupumzikia wageni mathalani hotelini, guest house au lodge usikute box au pakiti ya kondomu mezani, hata sabuni siku hizi mpaka uombe kwa muhudumu tofauti na kipindi cha nyuma vyote unavikuta chumbani.
Na wakati huo mtu anaweza kuwa na mchepuko mmoja tu Lakini anatumia...
Mimi binti wa miaka 24 mwaka jana nilipata mchumba akaja hadi nyumbani akanitolea kishika uchumba baada ya hapo tukawa tunasubiri mahali siku ya kutoa mahali ilipofika kweli alikuja na mshenga wake mi sikujuwa kilichoendelea make walikuwa na wajomba ndani baada ya hapo akanivalisha pete...
Haji Manara leo amejikweza sana kwenye redio yao ya unafiki na umbea mwingi akidai kuwa yeye ndio msemaji wa Yanga na mkataba wake unasema hivyo, ametamba sana na kuitisha Simba isipeleke timu tarehe 8 akidai watafanya mauaji, akaahidi kuwa endapo Simba hatofungwa chini ya bao 4 atarudi pale...
Shalom,
Imeandaliwa na Chief Wadiz.a.k.a Chief Mapenzi.
Leo nimewakumbuka Maex zangu mademu kama wanne hivi Aisha, Mariam, Win, Esther na Esther na Elizabeth.
Jamani acheni maisha yaitwe maisha yaani hao mademu ilikuwa ni shoo shoo enzi hizo nawakatia mademu viuno kama vya Nyoshi wa FM...
Umewahi kupendwaa nakupewa dedication yeyote???
https://youtu.be/MY4YJxn-9Og?si=lEUT2jyHrGZ01G7s
https://youtu.be/PKOaA9A-Y3A?si=4WASSbFOtZWYOt6n
https://youtu.be/4lGqKGsfhOQ?si=ECxRR6BgD64hThwo
https://youtu.be/CaQKtZQCLBY?si=QNb1_9jMHR7gu-6l
Niliwahi pewa hizi dedications nakuambiwa I LOVE U
Kuna umri ukifika, mwanaume uliyezaliwa rijali na kupitia mapito mengi hapa duniani ikiwemo maisha ya uchumba, club, pombe, unapowaombea watoto, omba naombea watoto wangu popote walipo, usiombee tuu hao wa nyumbani kwako.
Kuna wanawake wana siri nzito sana, unaweza ukampa mimba akapotea...
Ni bora kumvumilia mpenzi wako huyohuyo aliyekukosea kuliko kuanza kuongeza idadi ya mliowahi kudate na hatimaye kuwa Malaya. Hivyo ni bora kuwa mvumilivu kuliko kuwa Malaya.
Mbarikiwe!
Rehema Paulo (26) Mkazi wa kata ya Katente iliyopo wilaya ya Bukombe mkoani Geita amejeruhiwa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu za kichwani na kukatwa viganja huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Tukio hilo limetokea Julai 24, 2024 ambapo inadaiwa mwanamke huyo alikuwa na...
Hii imekaa kaaje wakuu? Nina rafiki yangu ambaye kila muda ninapokuwa naye anaongelea ngono tu. Ukikuta anaongea na simu, basi ni simu za mitongozo. Mifukoni kwake anatembea na condom, yaani kiufupi ananuka ngono
Kila mwanamke anayekatiza mbele yake anatamani aloweshe dudu, yaani awe mmama...
Kwema Wakulungwa.
Kwa kurudia swali; Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani?
Mimi Miaka 87.
Katika kijiji kidogo cha Mlimani, alikuwapo kijana aitwaye Juma. Alikuwa na ndoto kubwa za kuja kuwa msanii maarufu wa muziki. Alipokuwa shuleni, alikuwa akiimba nyimbo za mapenzi na za kijamii kwa marafiki zake na walimu wake. Kipaji chake kilikuwa cha kipekee, na kila mtu alimpongeza kwa sauti...
Huwa namuonea huruma tu nikiwaza kama atakutana na nani, nani atakua mume wake, je? Atakutana na fedhuli au atapata noble and wise man.
Tatizo ni hivi, siku za karibuni kwenye mtandao fulani wa kijamii nimekua nikikutana maudhui ya ngono. Kusema ukweli niliingia baadhi ya account, video zite...
Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.
Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.
Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka...
Leonor, Princess of Asturias ni binti wa kwanza wa Mfalme wa Hispania, Felipe VI na Malkia Letizia.
Alizaliwa Oktoba 31 mwaka 2005 kwa sasa ana umri wa miaka 18.
Amehitimu chuo na mafunzo kijeshi hivi karibuni na ndie malkia anayefuatia kwa utaratibu wa Ufalme wa Hispania.
Sasa huyu binti...
Hakika sitasahu Hii kitu, Nilijiamini Mimi Mwenywe Nikamuamini Na Huyo Mwanamke,Nikashiriki nae Tendo bila ya kutumia Kinga
Nikawa wa moto kwenye Mechi Nachapa Miguu yote Mara Nashika dimba Mara Nafunga Magoli ya kichwa Mpaka la Mkono Nikaitendea vizuri Mechi
Kumbe upandacho Ndio Uvunacho Bada...
Mimi sijawahi kuachwa, sina uhakika sana na uchungu wa kuachwa, lakini kupitia nyinyi nimejiridhisha kwamba mapenzi yanauma na matokeo yake ni kudhoofu afya na roho.
Pamoja na karaha zake asikwambie mtu mapenzi ni matamu sana. Utamu wa mapenzi hakuna maneno ya kutosha kuelezea. Kwa waliowahi...
Ukiona unampenda mtu halafu bado kuna mambo ambayo unaona unataka uyabadilishe kwa mtu huyo basi tambua hujampenda kwa jinsi alivyo.
Mapenzi ya kweli ni kumpenda mtu kwa jinsi alivyo pamoja na mapungufu yake,hapo ndio utakuwa umempenda kweli,na hautakuja kuumia kwakuwa umeridhia kwa jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.