mapinduzi

  1. L

    Mzee Mohamed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

    Mohamed Said ni mwanaharakati na mwandishi wa habari. Habari zake nyingi ni kumponda Nyerere namna alivyowatelekeza wazee waislamu wa kariakoo baada ya Uhuru akidai kuwa hao wazee ndio waliodai Uhuru wa Tanganyika akina Sykes. Hata siku moja sijaona makala yake namna ambavyo JOHN OKELLO...
  2. B

    Rais Samia azindua ugawaji wa vitendea kazi kwa maafisa ugani kilimo. Asema Serikali imeongeza bajeti ya utafiti kutoka Tsh 7.35bn hadi 11bn

    Rais Samia Suluhu Hassan anazindua Ugawaji wa Vitendea kazi kwa Maafisa Ugani nchini ikiwemo Pikipiki 2,000, Vifaa vya Kupima afya ya Udongo (Soil agro scanner) 143, simu janja 384 na visanduku vya ufundi vya Maafisa Ugani 3,400. #TunaImaninaSamia #Hakunakinachosimama #KaziInaendelea. ------...
  3. CCM imekosa vijana wenye sifa mpaka kumpa kazi Mzee Kinana mwenye miaka 71?

    Habari Wana JF, Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni? Karibuni tujadili.
  4. B

    Mapinduzi baridi ndani ya chama kongwe, iliyokuwa CCM Mpya ya mwendazake yafukiwa rasmi

    Mapinduzi baridi ndani ya chama kongwe, iliyokuwa CCM Mpya ya mwendazake yafukiwa rasmi Hakika sasa chama kikongwe chama dola kimefanya mabadiliko na kurudisha safu, makada na itikadi iliyokuwa imefukiwa na mwenyekiti mwendazake (revered) hayati (late) John Pombe Joseph Magufuli...
  5. B

    Ni nani anapaswa kujitathimini Kati ya Jeshi la Polisi na Chama cha Mapinduzi?

    Binadamu tumeweka siasa Mbele maisha ya watu na utu wao nyuma. Katika kipindi chote ambacho matendo maovu ya Jeshi la Polisi yanafanyika hakuna aliyewahi kusikia Chama cha Mapinduzi wakikemea. Tumesikia namna mwanachama wa CCM Bwana Sabaya alivyokuwa anakamata walinz wake nakuwapiga Kisha...
  6. AU walaani wimbi la mapinduzi katika nchi za Afrika

    Umoja wa Afrika (AU) umelaani wimbi la mapinduzi ya hivi karibuni ambalo limeshuhudia idadi kubwa ambayo haijawahi kushuhudiwa ya nchi wanachama zikisimamishwa kutoka umoja huo. Hayo yamesemwa leo na mkuu wa baraza la amani na usalama wa umoja huo Bankole Adeoye wakati kikao cha kila mwaka cha...
  7. Ufaransa na Makoloni yake Afrika ndio Uhalisia Wetu/Afrika kuendelea ni ndoto

    Wakati SÉKOU TOURÉ wa GUINEA alipoamua mwaka 1958 kuondoka katika himaya ya kikoloni ya Ufaransa, na kuchagua uhuru wa nchi hiyo, wasomi wa kikoloni wa UFARANSA huko PARIS walikasirika sana, na katika kitendo cha kihistoria cha hasira, utawala wa Kifaransa nchini GUINEA uliharibu kila kitu...
  8. M

    CCM45: Chama cha Mapinduzi chavisihi na kuviomba vyama vya siasa nchini kuendeleza umoja wa kitaifa, kuthamini na kukuza ustawi wa demokrasia iliyopo

    ==== Tarehe 5 Novemba, 1976 Mkutano wa pamoja wa Halmashauri Kuu za Taifa wa vyama vya TANU na ASP uliofanyika mjini Zanzibar, uliamua kuvivunja vyama hivyo ili kuunda chama kipya, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Vyama hivyo vya ukombozi vilivunjwa kwa heshima na taadhima kubwa, si kwa sababu...
  9. Kwanini wananchi Afrika siku hizi wanafurahia mapinduzi ya kijeshi?

    Kule Sudan, Burkina Faso, na kwingineko inaonekana wananchi wakifurahia mapinduzi haramu yanayofanywa na wanajeshi wanaoziondoa serikali za kidemokrasia badala ya kuchukia mapinduzi, hii ni tofauti sana na enzi za akina Nkrumah, Lumumba, na wengine wa aina Yao. Kumetokea nini?
  10. Watu wawili wanasadikiwa kufariki katika Mji Mkuu wa Guinea-Bissau katika jaribio la kimapinduzi

    Kuna tetesi za jeshi kumshikilia Rais na Waziri Mkuu wa Guinea-Bisau katika Mji Mkuu Bissau. NB: Ni hivi karibuni jeshi liliipindua serikali ya nchi jirani ya Guinea-Conacry na sasa Guinea-Bissau wanajaribu. === Watu wawili wanasadikiwa kufariki katika Mji Mkuu wa Guinea-Bissau katika jaribio...
  11. Burkina Faso: Mawaziri waonywa kutoondoka Mji Mkuu

    Kundi la Wanajeshi lililomtoa madarakani Rais Roch Kabore limewaonya waliokuwa Mawaziri kutoondoka Mji Mkuu wa Nchi hiyo au kukwamisha mazungumzo kuhusu namna ya kurejesha Utawala wa Kidemokrasia. Wanajeshi walimpindua Rais Kabore wakimlaumu kushindwa kudhibiti hali ya usalama ambayo imeendelea...
  12. Paul-Henri Sandaogo Damiba: Kanali wa jeshi aliyeongoza mapinduzi Burkina Faso

    Paul-Henri Sandaogo Damiba: Kanali wa jeshi aliyeongoza mapinduzi Burkina Faso CHANZO CHA PICHA, ANADOLU AGENCY: Wanajeshi walioongoza mapinduzi Burkina Faso Paul-Henri Sandaogo Damiba ndio kiongozi wa vuguvugu la Patriotic Movement for Safeguarding and Restoration (MPSR). Siku ya Jumatatu...
  13. Burkina Faso: Serikali yakanusha uwepo wa jaribio la mapinduzi

    Burkina Faso: Milio mikubwa ya bunduki yarindima kwenye kambi kadhaa za jeshi Burkina Faso Ouagadougou Unruhen Milio mizito ya bunduki ilisikika kwenye kambi ya jeshi katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou mapema leo asubuhi. Huduma za mtandao wa simu zimepungua kasi kuanzia Jumapili...
  14. K

    Ingekuwaje kama Marekani angeshindwa kwenye vita ya mapinduzi (uhuru) dhidi ya Uingereza?

    Wadau wana kimataifa ningepata kupata mawzo yenu, je kama marekani ya leo ingeshindwa kwenye vita ya ukombozi dhidi ya taifa mama Uingereza, je hili taifa namba moja kwa uchumi na jeshi duniani lingekuwepo? Na kwa wale wote walioanzisha hili vuguvugu la ukombozi kingewatokea nini?
  15. Kwa matokeo ya kidato cha nne basi chama cha mapinduzi kinahitaji pongezi

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Leo uzi utakuwa mfupi wa kukipa pongezi Chama Cha Mapinduzi kwa kuzidi kutimiza malengo ya ilani yake uachaguzi ya mwaka 2020. Jana tumeona matokeo ya kidato cha nne 2021 yakionyesha kupanda kwa ufaulu kulinganisha na matokeo ya miaka iliyopita. Pamoja...
  16. Kombe la mapinduzi kwanini penati waliyopewa simba kwa Azam haikuwa sawa?

    Dhamira ya mchezaji sakho kwa kipa wa Azam haikuwa Safi. Kama kigonya asingejilinda kwa mguu wake huenda Leo hii angekuwa Yuko mortuary. Speed ya sakho kuelekea kwa kipa ilikuwa kubwa sana hata pale alipoona kipa ameshaudaka mpira. Alidhamiria kwenda kugongana na kipa hata kama mpira uko...
  17. Je, Simba SC isingechukua 'Ubingwa' huu wa '2022 Mapinduzi Cup' Yanga SC Kesho ingefanya 'Press Conference' yake?

    Poleni mno Yanga SC na najua huu Ubingwa wa Simba SC Mapinduzi Cup hii ya 2022 Umewaumiza sana tu. Na najua pia kuwa Kesho mmeitisha Mkutano Wenu na Waandishi wa Habari kwa Mkakati wa Kipropaganda zaidi. Hakuna asiyejua kuwa tokea mmetolewa Mapinduzi Cup huko Yanga SC hakulaliki na Mashabiki...
  18. Ni kwanini Waandaaji wa 2022 Mapinduzi Cup Takwimu hii muhimu wameisahau? Tafadhali upesi sana waiweke ibakie Kumbukumbu kwa Vizazi vijavyo

    Mchezaji Bora Mechi ya Fainali Mapinduzi Cup - Henock Inonga (Simba SC) Kipa Bora wa Mashindano ya 2022 Mapinduzi Cup - Aishi Manula (Simba SC) Mfungaji Bora Mashindano ya Mapinduzi Cup - Meddie Kagere (Simba SC) Mchezaji Bora ( MVP ) wa Mashindano ya Mapinduzi Cup - Pape Ousmane Sakho (Simba...
  19. Historia ya Mapinduzi inahitaji hekima na tahadhari kuieleza

    Historia ya mapinduzi si historia nyepesi:
  20. Kama Rais Samia ndiye mkuu wa dola la Tanzania kwanini Rais wa Zanzibar amekuwa wa kwanza kutoka uwanjani baada ya sherehe za Mapinduzi kuisha?

    Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru. Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…