mapinduzi

  1. Analogia Malenga

    Mapinduzi ya Myanmar: Jeshi latanda mitaani, intaneti yazimwa

    Magari ya kivita yakiwa katika mitaa kadhaa Magari ya kivita yametanda katika mitaa ya miji kadhaa nchini Myanmar huku kukiwa na ishara kwamba wanajeshi wanaandaa msako dhidi ya wale wanaopinga mapinduzi yaliyofanywa Februari 1. Mtandao wa interneti umezimwa nchi nzima licha ya juhudi za...
  2. U

    Taarifa: Chama cha Mapinduzi ( CCM) Mkoa wa Arusha chanunua Gari jipya la kisasa kurahisisha utendaji kazi

    Ni gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 Landcruizer mbalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama Cha Mapinduzi ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku Katibu Mkuu Dkt Bashiru Ally amehuhudhuria hafla hiyo na kukabidhi gari hilo kwa Uongozi wa CCM Mkoa wa Arudha akiambatana na Mh Humphrey...
  3. G

    Gabriel Gavu: Mapinduzi ya Kifikra kwa sasa yanahitajika

    abriel Gavu MAPINDUZI YA KIFIKRA KWA SASA YANAHITAJIKA NA ; - GABRIEL GAVU (BSW) 2020 Nianze na kukubali kuwa dunia ni kijiji kwa utandawazi uliopo sasa. Tunahitaji nguvu ya pamoja kuitazama dunia ya leo. Ni dunia hii ambayo naamini hakuna mpaka wa magonjwa na au matukio ila mipaka iliyopo ni...
  4. Analogia Malenga

    Jeshi laidhibiti Myanmar baada ya kumshikilia Aung San Suu Kyi

    Jeshi la Myanmar limethibitisha kulidhibiti taifa hilo baada ya kumuweka kizuizini kiongozi wa taifa hilo Aung San Suu Kyi pamoja na wanasiasa wengine mapema hii leo. Baada ya kumkamata kiongozi huyo kwa saa kadhaa, televisheni ya taifa imetangaza kuwa katika hali ya dharura kwa muda wa mwaka...
  5. Erythrocyte

    Simba tunaangalia zaidi michuano ya kimataifa , Mapinduzi cup haikuwa kipaumbele

    Huu ni ujumbe mahususi kwa Mashabiki wa soka nchini Tanzania , tunafahamu furaha ya Yanga (Kipofu kaona mwezi) , lakini sisi Simba tunalenga michuano ya CAF champions League tu. Sitaki maswali .
  6. Kurzweil

    Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

    Yanga imeibuka na ushindi huo baada kuifunga Simba SC kwa mikwaju ya Penati. Yanga SC walifanikiwa kufunga mikwaju 4 kwa 3 ya Simba Sc Mchezo huo ulifikia hatua ya matuta Baada ya Dakika 90 kumalizika kwa matokeo ya 0-0
  7. T

    Tuyaenzi Mapinduzi ya 12.01.1964 kwa kufanya kazi

    Na: MC Wenceslaus Dodoma. 12.01.2021 Habari za leo ndugu watanzania wenzangu na wazalendo wote wa Tanzania hii! Ni matumaini yangu kuwa tunaendelea kuwajibika vema katika ujenzi wa uchumi wa nchi yetu Tanzania. Nitumie nafasi hii kuwatakia mapumziko mema ya siku ya leo hasa tunapoadhimisha...
  8. EINSTEIN112

    Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani?

    Naomba kujuzwa hili Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani? Wajumbe wa Baraza hili wanapatikanaje, kuchaguliwa au maveterani wa mapinduzi? Nani katibu wake? Vikao vyake hufanyika mara ngapi kwa mwaka? Agenda zao huwa zipi? Hivi vyeo viwili...
  9. Mohamed Said

    Kitabu katika kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar sehemu ya kwanza. Pitio la kitabu: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

    KITABU KATIKA KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SEHEMU YA KWANZA PITIO LA KITABU MIMI, UMMA PARTY NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MWANDISHI: HASHIL SEIF HASHIL Kuandika historia ya ukombozi katika nchi za Kiafrika kunahitaji ujasiri mkubwa sana na sababu yake ni kuwa Afrika ina historia rasmi...
  10. Shadida Salum

    Simba uso kwa uso na Yanga fainali ya kombe la Mapinduzi

    Michezo miwili ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi imepigwa leo hii katika Dimba la Amani visiwani Zanzibar. Mchezo wa awali uliwakutanisha miamba wa michuano hiyo Azam FC dhidi ya Yanga. Mchezo huo umemalizika kwa Yanga kufanikiwa kufuzu fainali baada ya dakika tisini za mchezo kumalizika...
  11. Chukwu emeka

    Mapinduzi Cup: Waandishi wa habari za michezo mnatia aibu,pamoja na wale wa Azam media

    Kwa anayefuatilia michuano ya Mapinduzi Zanzibar atakuwa shahidi wa hili,post match interview kwa makocha,hasa mfano wa yule wa Azam,George Lwandamina anayetumia lugha ya malkia (English),waandishi wanashindwa kumuuliza maswali na hata wakimuuliza unaona kinyaa kabisa ukizingatia inakuwa Live...
  12. Elisha Sarikiel

    Rais wa Zanzibar Dkt.H.Mwinyi kumwapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu MPYA wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi ni tarehe 02-01-2021

    Updates :- RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi, akichukua nafasi ya Dkt. Abdulhamid Yahya mzee aliestaafu. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu Jijini...
  13. U

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Ufaransa Tanzania na kusisitiza kuendeleza Ushirikiano

    Viongozi hao walikutana Makao Makuu ya CCM Dodoma. Balozi huyo wa Ufaransa nchini Tanzania amesema Nchi yake itazidisha Ushirikiano na Serikali ya Tanzania kwani inafurahishwa na hali ya kisiasa Tanzania. Amesema Wamefurahishwa na hotuba aliyoitoa Rais Magufuli wakati wa ufunguzi wa Bunge la...
  14. U

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa afunga semina za Kamati za Utekelezaji za Jumuiya za Chama

    Semina hiyo Muhimu ilifanyika katika Ukumbi wa White House Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Viongozi wa Jumuiya za Chama za UWT, UVCCM na Jumuiya ya Wazazi Kamarada Bashiru Ally pia aliwakabidhi Wenyeviti Wa Kamati hizo Hotuba ya Rais Dkt John Magufuli aliyoitoa wakati akifungua Bunge la Jamhuri...
  15. GENTAMYCINE

    Mdogo wangu Mchezaji Balama Mapinduzi nani alikudanganya kuwa Klabu ya Yanga inajua Kujali na Kulipa Fadhila?

    Siku hizi hata simu zangu viongozi hawapokei na wengine wame niblock kabisa zaidi na ambiwa tu kua nikipona nitafute timu nyingine sina tena nafasi."Balama Mapinduzi. Chanzo: simbascdaily Na bahati mbaya sana Mdogo wangu najua hilo Jeraha ni Kipapai ( Kurogwa ) na Mchezaji aliyekimbia Marekani...
  16. Stephano Mgendanyi

    Hotuba ya Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika Uzinduzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi

    TAREHE: 11 NOVEMBA, 2020 Mheshimiwa Zubeir Ali Maulid; Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla; Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Omar Othman Makungu; Jaji Mkuu wa Zanzibar, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Ali...
  17. U

    Mbunge Mteule Arusha Mjini, Mrisho Gambo(CCM) awashukuru wapiga kura kijiwe cha kahawa soko kuu Arusha

    Tushukuru kwa kila jambo.
  18. S

    Mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 - Nafurahia yanayotokea leo?

    Nani alipinduliwa 1964? Ni Mfalme ni Uhuru wa Zanzibar ni kitu gani haswa? Waathirika wengi wa mapinduzi ya 1964 Zanzibar ni waZanzibari na sio Mfalme, kauli za leo kwa walio wengi zinasema yanayotokea Zanzibar ni dhulma iliyofanywa 1964 na waathirika wanasema waache wauwane au wauliwe au...
  19. S

    Zanzibar 2020 Zanzibar: Vikosi vya Usalama vyapiga mabomu ya machozi, wananchi wakimbia na kuacha mitaa ikiwa mitupu. Huduma za kijamii zasimama

    Askari zaidi ya 20, wakiwa ndani ya magari yao asubuhi ya leo wanafyatua mabomu ya machozi kwa kila kundi la watu wanalokutana nalo. Katika eneo la Darajani, askari hao bila kuwepo kwa viashiria vya uvunnjifu wa amani, wamefyatua mabomu ya machozi kwa kundi dogo la watu waliokuwa pembezoni mwa...
  20. matunduizi

    Mafuriko Dar: Kwanini ni sahihi Kilaumiwe Chama cha Mapinduzi

    Chama hiki kimekuwepo tangu miaka ya sabini. Enzi hizo huku kwetu msimbazi kulikuwa kumejaa simba na wanyama pori. Sasa chama kilishindwa nini kuweka Ramani ya jinsi ya kupangwa miji ili kucontrol Maji? Kilishindwaje wakati hakukua na mpinzani? Nashangaa zaidi baada ya kuna hats baada ya...
Back
Top Bottom