mapori

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Story za ujambazi wa jiwe Fatuma na utekaji mabasi katika mapori

    Sisi millennials tupeane story za ujambazi wa kutisha uliotikisa miaka ya 2000 kurudi nyuma Watu wa mkoa wa Kagera tukumbuke Yale mapori ya Kasindaga na Kimisi, Pale wahuni waliuwa na kuibia watu kibabe sana Namkumbuka ilikuwa 1998 nikiwa mdogo mno, nadhani chekechea. Usiku wa manane...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ronald De La Bere Barker 1889-1965. Mzungu aliyeishi kwenye mapori ya mto Rufiji.

    Simulizi hizi unaweza kuzisoma Bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo Playstore. Huyu mzungu alizaliwa huko New Zealand. Baadaye akaja kuishi kwenye mapori ya mto Rufiji akiwa muwindaji. Majina yake mengine ni Mzee Rufiji au Mtawa maporini. Aliandika vitabu vinne vya kuchekesha sana juu ya...
  3. Midimay

    JamiiForums Tanzania Sheria ya mapori tengefu (game controlled areas) imekaa kikoloni, imekaa kinyanyasaji; kama nchi tusiitumie

    Habari za jioni wana JF wenzangu. Mtakumbuka kwamba kulikuwa na mada moto moto katika Bunge lililopita, ambalo lilikuwa maalum kwa ajili ya bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/2023, kwa maana nyingine ni Bunge Maalum kwa ajili ya kujadili utekelezaji wa mipango ya serikali kwa mwaka wa...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ilipora Maelfu ya mifugo ya nchi nyingine iliyokamatwa kwenye mapori ya mpakani. Wahanga walipwe fidia

    Unyama wa serikali ya awamu ya 5 ulijumuisha hadi wizi wa mifugo ya nchi jirani kwa kisingizio cha kuvuka mpaka. Mifugo kutoka Rwanda na Uganda ilitaifishwa baada ya kuvuka mpaka na kuingia kwenye mapori ya Tanzania, badala ya kurejeshwa zilikotoka viongozi wa Tanzania wakaamua kuzipora na bila...
Back
Top Bottom