ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Sisi millennials tupeane story za ujambazi wa kutisha uliotikisa miaka ya 2000 kurudi nyuma
Watu wa mkoa wa Kagera tukumbuke Yale mapori ya Kasindaga na Kimisi,
Pale wahuni waliuwa na kuibia watu kibabe sana
Namkumbuka ilikuwa 1998 nikiwa mdogo mno, nadhani chekechea.
Usiku wa manane kijijini tulivamia na majambazi ambao walivunja mlango Kwa jiwe na kuingia ndani kuiba
Walimjeruhi Mzee Kwa panga usoni na kumuibia pesa elfu 90,000 za mauzo ya kahawa,
Pia wakaiba redio kaseti Ile ya Kanda mbili, pasi ya mkaa, pampu ya kuoshea mifugo na sanduku la nguo
Nikikumbuka Huwa nacheka mno 😄🤣😄yaani jambazi anakesha akaibe redio cassette na pasi
Basi kimsingi tuliumia mno
Kuna kipindi majambazi walivamia gulioni na ku search na kuiba kila kitu pale gulioni kijijini
Aisee ilikuwa story kubwa
Kuna story ya bro akiwa anasoma seminary majambazi wakasimamisha gari pale pori la Kimisi na kuchukua ada yote,
Zamani hazikuwepo benk au huduma za kifedha
Kuna Ile majambazi wanakuja wanatuma barua labda uwaandalie fedha kiasi kadhaa, na vitu wanavotaka
Dadeki na hiyo siku laZima waje kuchukua chao
Ubabe wa zamani noma sana