mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Haneti,nlikuwa naenda ile milima ya yobwo huko juu kwenye crysopraseVituo ni vingi sasa hv!!kidoka haneti kote Hadi kelema huko vipo tu!!halafu mtandao pia sim zinasaidia sana!!
Ova
Haneti,nlikuwa naenda ile milima ya yobwo huko juu kwenye crysopraseVituo ni vingi sasa hv!!kidoka haneti kote Hadi kelema huko vipo tu!!halafu mtandao pia sim zinasaidia sana!!
huenda kuna changes kubwa sana za kimaendeleo huko gentleman, right?🐒Vituo ni vingi sasa hv!!kidoka haneti kote Hadi kelema huko vipo tu!!halafu mtandao pia sim zinasaidia sana!!
Ningeshangaa kama sijaona uchangiaji wako kwenye ishu hiziKatika mihangaiko yangu zamani,nlikuwa nacheza sana dodoma
Kuna wakati nlikuwa naenda sana kondoa(mambo ya struggle tena)
Kuna pori moja lilikuwa linaitwa msitu mtungutu (mm nlibabatiza jina mtukutu)
Kuna siku tunapita pale narudi dom natokea aneti
Enzi hizo road ile vumbi tu
Tuko kwenye bus ,mara tukashangaa bus limepigwa mkono jamaa walkuwa kwenye landrover kipande cha kizamani,abiria wote tulishushwa....abiria ndani wacha waanze kupanick wengine wanalia,unaambiwa toa ulicho nacho kama huna ulikuwa unapewa kipondo
Wale majambazi walikuwa wanajuwa fika Kuna warangi wanaotokea kondoa ni watamu pesa ipo,maana kuna wengine wanalima ufuta na wametoka uza pesa ipo
Kikubwa mimi ile njiaa nlishapewa ramani yake na mambo ya utekaji,nlipopanda bus nlipigilia pesa mahali kwenye siti (docho)
Alafu mfukoni nlibakiza kihela kdg,jamaa waliponisogelea mm sasa wakaniambia toa hela nkasema hapa nna 70,000 tu maana mm nmetoka kondoa kusalimia ndugu(zuga)kiukweli mambo ya ambush nishakutana nayo sana so uzoefu nnao na najuwa namna ya kudeal na situation kama hizo,jamaa wakwalaaa na siku zote waporaji wanapofanya mission hizo wanakuwaga na haraka hawana muda wa kupoteza
Basi jamaa wakwala wakaxhkua chao
Kuna dada mmoja na ustaz fulani zam walipoambiwa toa hela waliyokuwa nacho wakagoma aise walikula kipondo sana 😄
Badaye sana Kuna malalamiko yakapelekwa kwa maafisa wa polisi dodoma kuhusu ile njiaa na utekaji,ndy wakaja kuweka barrier pale izava
Mimi t3na nkaja nkabadilisha root ya kwenda kondoa nkawa naingilia narco --- matui---kiteto mpaka soya---kondoa
Ile ya nyakanaz nliyokutana nayo ndy ilikuwa balaa ile nlikuja kupigwa risasi ya paja 😄
Kuna nyingine nlikutana nayo kidodi njia ya kwenda kilombero tuliwekew Gogo sema tulishtka 😄 tuka save
Naona napo badaye pale polisi walikuwa wanakaa
Bado kuna visa za msumbiji
Tuscarora huko ...kongo tushaporwa....Sudan kusini tushaporwa
Hii duniaaa ni uwanja wa fujo tu
Ova
huyu ni actor starling kwenye mambo haya eeh gentleman, right?🤣Ningeshangaa kama sijaona uchangiaji wako kwenye ishu hizi
Righthuyu ni actor starling kwenye mambo haya eeh gentleman, right?🤣
Itabd nkutafute uniandikie kitabu cha maisha yanguhuyu ni actor starling kwenye mambo haya eeh gentleman, right?🤣
Sahv hakuna utekaji kumetulia na walivyotengeneza barabara ile pametulia mara ya mwisho nliendaga pale haneti kuna mpala viwandahuenda kuna changes kubwa sana za kimaendeleo huko gentleman, right?🐒
njoo tu gentleman, ondoa shakaItabd nkutafute uniandikie kitabu cha maisha yangu
Gentleman 😄 au hutaki stori za mabahariaaaa
Ova
Mkuu hao hawakuwa na fatuma mwenye makebo yake.Nilikuwa mdogo, kama miaka 10 hivi, usiku wa manane tulishtushwa na kishindo kikubwa cha jiwe. Majambazi walikuwa wanajaribu kuvunja mlango wa nyuma wa kibaraza kwa kutumia kitu kizito. Walijitahidi sana lakini hawakufanikiwa kuuvunja.
Tulikuwa na hofu kubwa sana, hasa kwa sababu Faza alikuwa safarini. Bi mkubwa akatuita wote chumbani kwake na kufunga mlango ila kama wangefanikiwa kuingia ndani, mlango wa chumbani ungeachia kwa teke moja tu.
Kwa bahati nzuri, mlango ulikuwa imara sana, mbao za mninga na vitasa vya chuma kizito. Hata kuta za kipindi hicho zilikuwa zimeshiba kweli, sio kama siku hizi wezi hawapotezi muda na mlango, wanaanzia kabisa kwenye ukuta.
Enzi hizo ujambazi ulikuwa wa kutisha sana.
ooh,Sahv hakuna utekaji kumetulia na walivyotengeneza barabara ile pametulia mara ya mwisho nliendaga pale haneti kuna mpala viwanda
Ova
Bila kusahau pori la ushiromboMiaka ya kuelekea 2004-2005 kutokea Nyakakanzi, Kakonko hadi Kibondo palikua na askari wanajificha porini ili kudhibiti ujambazi na wakati huo wengine walikua wanapiga doria na chuma moja walikua wanaiita kimbuka 110 Defender ilikua na RPG kwajuu qudadadeqi hiyo njia nilikua napenda kuona wanyankazi wakipambania kivile... Sema nini pale mto Malagalasi wajomba waligingeshwa vyuma kinyama aiseeee
😄 pole 😄ooh,
that's very convincing development ingawa sipakumbuki but jina siwezi kulisahau coz hapo ndipo tuliposimama na kupata huduma za tiba na couciling baada ya kutekwa Mtungutu 🐒
Hii ya Kidodi mwaka gani?Kuna nyingine nlikutana nayo kidodi njia ya kwenda kilombero tuliwekew Gogo sema tulishtka 😄 tuka save
Naona napo badaye pale polisi walikuwa wanakaa
Kipo kabla hujafika Chemba ukiwa unatoka Dodomasafi sana gentleman👊👊
naski pana kituo cha polisi kabisa hivi sasa 🤣
Mjinga yule kakwapua dola kashindwa hata kuvuka boda 😄 amekatiwa guestIla nimemkumbuka mnyama Kasusula ingawa hili tukio lilitikisa kuanzia polisi hadi mahakama....