Habari ndugu wanajamii forum! Mimi nina mke wangu anasumbuliwa na tatzo la kuishiwa nguvu mara kwa mara,kuna wakati anakosa nguvu na kulegea kabisa hadi mtu unaogopa,tumeshaenda hospital na kupima kila aina ya kipimo, kama pressure,Moyo,eco,hiv, maleria na wingi wa dam pia uko vzuri tu na kila...