marekani

  1. T

    SI KWELI Tanzania imezuiliwa kuingia Marekani

  2. Spika wa Bunge la Marekani agoma kumpa Biden Dola Bilioni 24 kama msaada kwa Ukraine. Asema Trump ndo ataamua hatma ya Zelensky

    Wakuu, Tunapoongelea mambo ya demokrasia na uwajibikaji basi bila shaka Marekani inakuwa ni nchi mama. Hivi karibuni Speaker wa Bunge la Marekani amekataa ombi la Rais Joe Biden la kupeleka msaada wa Bilioni 24 nchini Ukraine. Mike Johnson ambaye anatokea kwenye chama cha Republican amesema...
  3. Vijana na nafasi za uongozi Marekani

    Wanajamvi kuna suala la USA kutowaamin vijana kwa upande wangu nimeshuhudia masenators wengi ni wazee ha hata viongozi mbalimbali wa mataasisi na hata pia cabinet secretaries na member of house of Representatives. Je ni kweli USA haimini ktk vijana ktka masuala ya uongozi?
  4. S

    China wamjibu Trump kwa vitendo yapiga marufuku usafirishaji wa gallium, germanium kwenda Marekani

    China imezuia uuzaji wa madini muhimu ya gallium, germanium na antimony kwenda Marekani. Madini hayo yanatumika katika utengenezaji wa vifaa vya kielekroniki pamoja na silaha. Katika taarifa yake kuhusu zuio hilo,wizara ya biashara ya China imesema China imeamua kufanya hivyo kwa sababu za...
  5. Nchi za Marekani na Urusi zina mabomu ya nyuklia ya kutosha kuua viumbe hai vyote kwenye ardhi ya dunia hii

    Silaha za nyuklia ni mojawapo ya uvumbuzi wenye nguvu kubwa zaidi uliofanywa na binadamu. Tangu majaribio ya kwanza ya bomu la nyuklia mnamo 1945 huko New Mexico na matumizi yake katika Hiroshima na Nagasaki, nguvu za silaha hizi zimeongezeka sana. Hata hivyo, maelezo ya nguvu hizi na athari...
  6. S

    Ripoti inayoelezea mbinu za Marekani kuidhoofisha Urusi iitwayo Rand Corporation 2019

    Leo katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa Rand Corporation 2019. Hii ni ripoti yénye kuelezea mbinu ambazo Marekani na washirika wake wanaweza kutumia kwa ajili ya kuidhoofisha Urusi pamoja na uwezekano wa kila mbinu kutimiza lengo hilo. Kilichonishtua zaidi ni kuona kwamba yale...
  7. Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

    Wakuu, Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka. Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo. List hiyo imetolewa na Cornel University...
  8. F

    Mwanamke asiye na passport wala visa apanda ndege toka New York USA hadi France

    Mimi sijui kusimulia vyema. Ila habari imekaa kiutata sana hasa ukizingatia BBC wanavyojua kuconceal information. Wanadai alisababisha "disturbance" kwenye ndege iliyotakiwa kumrudisha baada ya kukamatwa. Chanzo ni BBC
  9. G

    Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

    Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH" watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya...
  10. Marekani imesema haitarudishia Ukraine Silaha zake za Nuclear

    Marekani imesema kuwa haina mpango wa kuirudishia Ukraine silaha zake za nuclear ilizozichukua kufuatia mkataba kati yake na Urusi baada kuvunjika kwa Umoja wa Kisoviet.
  11. Kumbe urais wa Marekani ni kama ufalme?

    Jana, rais mteule Donald Chizz Trump, aliwateua vivyele vyake yaani mkwe wa mwanae wa mwisho Tiffany mwarabu aitwaye Boulos kuwa mshauri wake wa masuala ya mashariki ya kati na mkwe mwingine wa binti yake Bianca, aitwaye Charles Kushner kuwa balozi wa Marekani nchini Ufaransa. Hapa Trump...
  12. Ni sahihi kufanya vikao vya kiutendaji kabla ya kuapishwa, nchini Marekani?

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump, bado kuapishwa kwa ajili ya kuanza kazi yake ya urais katika nchi hiyo; lakini kuna vikao huwa vinafanyika kati ya yeye na viongozi mbali mbali kutoka nchi tofauti tofauti, kuhusu maazimio ya kiutendaji wa nchi hizo na Marekani. Swali langu, ni sahihi...
  13. G

    Siku chache baada ya Trump kutishia kuongeza Tozo, Mexico na Canada wametii amri kudhibiti wahamiaji haramu

    Katika muhula wa Biden na Harris, wahamiaji haramu zaidi ya milioni 20 wameingia Marekani, wengi wakitumia mpaka wa Mexico na baadhi Canada, wahamiaji haramu wengi hasa wa wanaoingia kwa mpaka wa Mexico wakiwa ni wahalifu waliokimbia nchi zao ama wahanga wa kutumikishwa kihalifu kuanzia wauaji...
  14. Waajiri marekani wawashtukia wahitimu wa vyuo vikuu-wanaamaarifa tu bila ujuzi

    https://americafirstpolicy.com/issues/eliminating-degree-requirements-from-public-sector-job-requirements
  15. Kuna Nchi Mashariki mwa Afrika inaelekea kubaya sana. Nashukuru kikao cha Wakuu wa Ujasusi wa Uingereza na Marekani kilichofanyika Kenya Oktoba 2024

    Kuna chama cha Siasa katika Nchi moja mashariki mwa Afrika kimeamua kuwa Demokrasia itaishia kwenye Viongozi wa Chama chao tu. Wameamua kabisa kuwa sasa haitatokea Wananchi wa nchi yao inayoanzia na jina T watakuja kupata kiongozi wanayemtaka kwa njia ya sanduku la kura. Wameamua kabisa...
  16. Bila Marekani na washirika wake, Tanzania kisiasa tungekuwa kama North Korea

    Wakuu, Ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kitu Sisiemu wanaogopa kama Marekani na nchi za Ulaya. Kwa haya yanayoendelea ikiwemo wizi wa kura na kuua wapinzani ni wazi kuwa ingekuwa ni amri yao CCM ingekuwa imeshafuta upinzani. The only reason they are not doing it (kufuta upinzani) it's because...
  17. Hii picha inanifrahisha sana kumbe Marekani kuna kipindi alikuwa analisha Urusi na hamsemi

  18. G

    Netanyahu: Hakujawahi kuwa na rafiki mkubwa wa Israel kutoka ikulu ya Marekani wa kumzidi Donald Trump

    Na kweli ukiangalia kipindi chake Iran ilifulia vibaya mno, walibanwa kisawa sawa kwenye uchumi, Ni kipindi ambacho Iran na vikundi vyake walikuwa wanajifikiria mara nne nne kuishambulia Israel. Kwa upande mwengine, Biden alikuwa kinyuma pengine kuzidi marais wote, Kawalegezea vikwazo Iran...
  19. Kati ya Marekani na Israel nani bosi na nani anamtumia nani na kwanini?

    Bila fedha na silaha za Marekani, Israel ingekuwa marehemu. Huwa najiuliza. Nani anamtumia nani na kwanini? Je hapa tatizo ni uzawa wa Israel uliotengenezwa kijambazi na wazungu kupitia Biblia au wese la waarabu? Ukiangalia misaada inayotolewa na marekani kwa Israel unachanganyikiwa. Ni mingi...
  20. Kwanini Marekani waliamua wasimchague Rais mwanamke kuwaongoza?

    Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…