marekani

  1. Nilitegemea kukura (live) special thread ya uchaguzi mkuu wa marekani.

    Badala yake ni nyuzi za kugogeana mademu huko afrika ya kati. Kina Nyani Ngabu Mzee Mwanakijiji Yoda na Kiranga sijui mnaishi marekani ya wapi!!
  2. Maelfu ya waarabu wanakimbilia Marekani kuishi. Kwanini hawaendi Qatar, Iran au Saudia?

    Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
  3. Rekodi mpya kuwekwa Marekani Leo November 5, 2024

    Ulimwengu kumshuhudia mtawala wa kwanza wa kike wa Taifa lenye nguvu zaidi duniani ( Kamala Haris) Hii wakulungwa wameikataa Au Mbishi asiekata tamaa na kurudi ikulu baada ya kupoteza uchaguzi uliopita (Donald Trump) Akishinda huu uchaguzi tena atakuwa ameweka rekodi 2 za kipekee, 1. Kuwazuia...
  4. Mfano wa ballot paper ya Marekani Je, kuna chochote cha kujifunza

    Marekani inatarajia kufanya uchaguzi wa Rais, Tar 5 Novemba. Kukiwa na wagombea sita wa kiti hicho ambapo wagombea nane, ambapo wagombea wawili kati ya hao ni wasio na vyama vya siasa. Mbali na wagombea wa urais kuwa nane, wagombea wanaofahamika na watu wengi ni wawili ambao ni Donald Trump na...
  5. Donald Trump atamshinda Kamala Haris kwa mbali sana Uchaguzi Mkuu Marekani

    Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu. Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided. Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia...
  6. K

    Israel inapata nguvu kutoka nchi za Ulaya Magharibi na Marekani

    Israel inapata kiburi cha kuua watoto na wanawake kwa misaada ya magharibi. Bila hivyo isingelithubutu,… Msikiliza professor huyu akisema Iran ilikuwa imetengeneza silaha hizo kujihami na ubeberu wa Marekani sio Israel ambayo pekee yake sio kitu ingeteteleka muda wa wiki moja...
  7. U

    Iran yapinga vikali hatua ya Marekani kupeleka ndege hatari za B-52 kwani kinatishia hali ya utulivu na amani mashariki ya kati

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo. "Siku zote tumekuwa tukiamini kuwa uwepo wa Marekani katika eneo hilo ni uwepo wa kudhoofisha utulivu," Baghaei...
  8. B

    Ujue uchaguzi wa Marekani (USA) na jinsi rais wake anavyochaguliwa

    Uchaguzi wa rais wa nchini Marekani ni tofauti sana na chaguzi za nchi nyingine duniani Kura wanazopiga wananchi hata mgombea wa urais akishindi kwa wingi wa kura hizo hazimuingizi moja kwa moja mshindi huyo madarakani Kwa kawaida nchini Marekani (USA) uchaguzi wa kumchagua rais wa nchi hiyo...
  9. Tetesi: TBC1 kuripoti live MATOKEO uchaguzi Mkuu Marekani

    Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
  10. Uchaguzi wa Marekani ndiyo huamua hatima ya Dunia

    Zikiwa zimebakia siku mbili ili uchaguzi wa Marekani ufanyike, Dunia nzima imeshika pumzi ikitafakari nini kitatokea Marekani. Dunia nzima imegawanyika makundi mawili. Kundi la kwanza ni lile linalotaka Donald Trump ashinde na kundi jingine linalotamani Kamala Harris ashinde. Pande zote mbili...
  11. K

    Vita vya kuingizwa Israel inaiingiza marekani

    Hii clip tazama Israel Netanyahu anajaribu kila njia kuwaingiza wamarekani kwenye vita kuipiga Iran, kama alivyofanya kwa Iraq, Huyu jamaa anapenda kuona umwagaji wa damu. Hapendi Amani. https://youtube.com/shorts/UU7ZESW0NtU?si=FKjt0CABqj2SkjeB
  12. Marekani hatutakuwa na uwezo wa kumzuia Israel Tena iwapo Iran watashambulia

    Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia...
  13. Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

    Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa...
  14. Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

    Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa...
  15. Elon Musk ahofia kutimuliwa Marekani kama muhamiaji haramu

    Elon Musk aliingia Marekani kwa visa ya wanafunzi kwa ajali ya Masomo ya chuo kikuu, alipoingia tu chuo akaachana na masomo akaanza kufanya biashara zake mtaani bila kibali cha ukazi au cha kufanya kazi Marekani. Kwa sababu serikali ya Marekani ilikuwa haifuatilii sana wahamiaji haramu miaka ya...
  16. Je, Ziara ya Rais Samia nchini Marekani inaweza kuinfluence uchaguzi utaofanyika novemba 5?

    Marekani ipo katika kipindi cha uchaguzi ambapo tarehe 5 watapiga kura kuchagua Rais wao. Iwapo atashinda kamala Harris atakuwa mwanamke wa kwanza baada ya miaka 200 ya uhuru wa nchi huyo kuwa Rais. Rais Samia yupo marekani kama mzungumzaji katika mjadala wa kimataifa wa chaķula huko Iowa...
  17. Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani

    Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea kombora hilo ni nini na kwanini ni tishio kwa Marekani na ulimwengu. Katika kuadhimisha miaka 75 ya...
  18. Mnaofuatilia katuni ya Simpsons, kumbe Trump kapigwa knockout kitambo!

    Kipindi ninekuwa najaribu kufuatilia hiki kikatuni cha Simpsons huwa kinalenga mambo gani. Juzi kati hapo nikakutana na scene mpeperusha bendera wa Biden akiwa white house akitoa hotuba na kujibu maswali mbalimbali. Kama unafuatilia hako kakatuni kwenye the Simpsons "Bart to the Future"...
  19. G

    Kamala Harris ndiye Rais wa Marekani 2024. Mashine za kura zimedukuliwa, Maharamia watapiga kura

    Rais anachaguliwa kwenye kura na kwa hali ilivyo computer zinazotumika kupiha kura zimeonyesha kuwa na hirilafu inayompa kura nyingi zaidi Kamala, uwezekano mkubwa zaidi Kamala Harris awe rais wa 47 wa Marekani. Ikumbukwe hata uchaguzi wa 2020 kuna hitilafu zilitokea kwenye computer za kupiga...
  20. Tetesi: Muda wowote kutoka sasa Iran ataishambulia Israel kabla ya uchaguzi wa Marekani November 5.

    Habari za kuaminika kutoka vyanzo vikubwa vya habari duniani kuwa Iran itatekeleza ahadi yake ya kulipiza kisasi kwa nchi ya Israel kutoka sasa na kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani unaotarajiwa kufanyika November 5. Iran preparing strike on Israel from Iraqi territory within days, Axios...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…