Ulaya magharibi hawana ujanja!! Wamejikuta wanalazimishwa na mazingira kutawaliwa na Marekani!! Hawana maamuzi yanayozingatia maslahi yao tu, bali wanalazimika kutekeleza sera zenye maslahi kwa marekani!
Marekani imetengeneza mazingira ya hofu bandia ya kushambuliwa na Urusi!! Marekani...
Marekani inachunguza uvujaji wa taarifa za siri za kijasusi kuhusu mipango ya Israel ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, kulingana na watu watatu wanaofahamu suala hilo. Mmoja wa watu hao amethibitisha uhalali wa nyaraka hizo.
Wameanza kutafuta mchawi,zingekua ni za Iran, Russia au China humu...
"History doesn't repeat itself but it often ryhmes" Mark Twain
Kabla ya mwaka 1914, Ujerumani na Austro-Hungary walikuwa ni mataifa ambayo hayawezi kutenganishwa kwa lolote lile. Mkubwa alikuwa Ujerumani na mdogo alikuwa ni Austria.
Austro-Hungary lilikuwa ni taifa linalotawaliwa na familia...
KATIKA kipindi ambacho CHADEMA imekuwa ikieneza propaganda potofu kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania, ukweli umeonekana wazi kupitia matamshi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani.
Viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wamekuwa wakiandika barua...
MAREKANI YARIDHISHWA NA MAGEUZI YA KIUTENDAJI YA SERIKALI YA RAIS SAMIA
Yaahidi kuendelea kutoa fedha kuisaidia Tanzania kutatua vikwazo vya ukuaji uchumi.
Shirika la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation-MCC) la Serikali ya Marekani limeeleza kuridhishwa kwake na mageuzi ya...
Mkitaka kujua anaye pigana vita hi kati ya Israel na Hamas, pamoja na Hezbullah ni US. Leo US eti anaipiga sunction Hezbullah, nimecheka kweli kweli, toka lini Hezbullah ana biashara na US. Wacha US hata UN aipige Hezbullah sunction kipigo kinaendelea huko Israel.
US kisha changan'yikiwa...
Au Dunia iko mtegoni ilikuyafikia yaliyosikika kabla, yasioonekana ambayo hayana budi kutokea na na kuipata Dunia? Namaanisha USA! Nawaza kuhusu Hilary nakumbuka Winnie Nov 4!
Wanakumbi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin waliifahamisha Israel kwamba ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingia Gaza ndani ya siku 30, utawala wa Marekani utalazimika kuamsha "Mkataba wa Usalama wa Taifa" na kuzuia uhamisho wa silaha kwa Israeli...
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Hii Florida...
Wakuu Salama!
Nimeshangazwa na hii taarifa yani mshikaji kampiga kisu mwezie kisa alidhani ni shetani. Mhhh hii sasa inatisha sana.
====================
Mwanamume mmoja wa New Orleans Nchini Marekani aitwae Jerry Gelpi aliyedai kuwa yeye ni Mwana wa Mungu, amehukumiwa kifungo cha maisha jela...
Leo, katika Siku ya kumuenzi Mwl. Nyerere, tunaheshimu urithi wa baba wa taifa la Tanzania na bingwa wa umoja, amani, na elimu duniani kote. Mwalimu Nyerere alishiriki katika Programu ya Uongozi ya Kimataifa ya Marekani mwaka 1961. Programu ambayo ilimpa fursa ya kufahamu mfumo wa kisiasa wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Mambo bado mazito huku maandalizi mazito yanazidi kufanywa. Jeshi la Marekani limeamua kufunga mitambo ya kisasa kabisa ya ulinzi dhidi ya makombora ya masafa marefu huko Israel
Yadaiwa ni sehemu tu ya maandalizi ya Israel kuishambulia Iran. Mitambo hiyo aina ya...
Katika mjadala wa utofauti wa elimu nchini Tanzania, kuna dhahiri kwamba safari ya Baba Levo Marekani inaonyesha tofauti kubwa kati ya wasomi na wale wasio na elimu rasmi. Baba Levo anatumia mbinu nzuri katika kutangaza makampuni yaliyompa udhamini, na anajulikana kwa ufanisi wake.
Kwa upande...
Kesi ya Mwanamke aitwae Sarah Boone (46) wa Florida Nchini Marekani anayetuhumiwa kwa kusababisha kifo cha Mpenzi wake ( Jorge Torres 42) kwa kumfungia kwenye sanduku la nguo na kumsababishia kukosa hewa kulikosababisha kifo chake mwaka 2020, inatarajiwa kusikilizwa wiki ijayo baada ya kusogezwa...
Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake!
Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake!
Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake!
https://twitter.com/home
Nb: Watu wanakimbia kuokoa roho zao na siyo fedha! Mpe Mungu maua yake!
Hili si suala la ushabiki wala kiimani. Uungwana siku zote ni kujitendea haki mwenyewe kwa kuukabili ukweli hata kama ni mchungu.
Sote ni wafu watarajiwa na kwa mola tutarejea. Hata ipo tofauti linapokuja suala la kurejeshwa na binadamu wengine, ndiyo maana kelele zinapigwa.
Rejea "Operation...
Rubani huyo (İlçehin Pehlivan, 59) wa Ndege ya Shirika la Turkish Airlines Jetliner iliyokuwa ikItoka Seattle Marekani kwenda Istanbul ameripotiwa kufariki wakati akipewa huduma ya kwanza kabla ya Ndege kutua.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Shirika hilo, ahya Üstün, amesema Rubani alipata shida ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.