Nani Kashinda Vita ya Marekani (US) vs Iran? Vigezo vya Ushindi ni Vipi?

mimi mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2019
Posts
331
Reaction score
708
Wakati wanaenda kwenye wiki mbili za ceasefire.

👉 Nani kashinda vita kati ya USA vs Iran?

Kwa vigezo gani:

Military power (nani kampiga mwenzie zaidi)?
Survival (nani bado yupo hai kiushawishi mpaka sasa)?
Uchumi (nani amemuathiri mwenzie au nani anaiathiri dunia)?
Au nani analazimisha masharti yake mezani yashinde?
Hii ceasefire mbona US ameiomba sana na Iran amekubali kirahisi au ni "timing game" wanaviziana?

Maoni yangu 😄:
👉 US anaonekana mshindi wa vita ya “kushambulia”
👉 Iran anaonekana mshindi wa vita ya “uvumilivu” na "uharibifu "

Wewe unasemaje? 👇

Hii vita ina mshindi kweli… au ni ile ya kila mtu anajitangaza mshindi kwenye media?
 
Mpaka sasa Iran amepoteza sana kwani vita vikiisha leo hiyo gharama aliyonayo ya kuijenga upya Iran bado haijulikani ataipataje na vikwazo hivi alivyonavyo bado.

Bila kusahau viongozi waliowapoteza toka mwanzo ambao hawawezi kurudi katu na kwa vyovyote vile vikwazo vitaendelea kuwepo na sana sana vitaongezwa zaidi.
 
kwani Israel haijaharibiwa?
 
hebu fafanua kwenye hayo maoni yako umemaanisha nini?
 
Kimkakati Iran ni washindi kwasababu bado waushikilia mfereji wa Hormuz na waendelea kutoza tozo milioni 2 kwa kila meli.
 
Mpaka sasa Iran amepoteza sana kwani vita vikiisha leo hiyo gharama aliyonayo ya kuijenga upya Iran bado haijulikani ataipataje na vikwazo hivi alivyonavyo bado.

Bila kusahau viongozi waliowapoteza toka mwanzo ambao hawawezi kurudi katu na kwa vyovyote vile vikwazo vitaendelea kuwepo na sana sana vitaongezwa zaidi.
Iran kasema Tozo za meli zitalipia gharama
 
Mtu anakuja kwako anampiga baba yako , mama yako , na ndg zako wengine na wote anawaua Kisha anakwambia njoo mezan tuzungumze
Arf ww unasema umeshinda hzo n akili kweli?
Lengo ilikua kusambaratisha familia nzima na kuihamisha Kwenye nyumba Yao hivyo Iran kabaki kwake japo Kwa maumivu makubwa lakini si Kwa kukubali kirahisi
 
Kulingana na Clausewitz lengo la vita ni kumlazimisha adui kufanya unayotaka. Kumpiga ni njia tu ya kufikia lengo hilo. Maana yake mshindi wa vita ni aliyemlazimisha adui kufanya anavyotaka. Au aliyefanya anayoyataka ndiyo yatekelezwe.
Kwenye hii vita ni nani ambaye mapenzi yake yametendeka? Marekani lengo lake kwa sasa lilikuwa regime change. Hajafanikiwa.
 
unaumwa wewe kwahio makombora waliokuwa wanarusha walikuwa wanarusha kutokea chumbani au?
Makombora walikuwa hawarushi kutoka kwenye kambi za jeshi, walikuwa wakirusha kutokea chini ya milima, kumbe wewe hata hujui chochote ni ushabiki tu.
 
Mpaka sasa Iran amepoteza sana kwani vita vikiisha leo hiyo gharama aliyonayo ya kuijenga upya Iran bado haijulikani ataipataje na vikwazo hivi alivyonavyo bado.

Bila kusahau viongozi waliowapoteza toka mwanzo ambao hawawezi kurudi katu na kwa vyovyote vile vikwazo vitaendelea kuwepo na sana sana vitaongezwa zaidi.
Lengo la vita lilikuwa regime change kama hilo halijatokea basi upande wa USA na Israel haujashinda kama uharibifu kote kumetokea uharibifu
 
Mtu anakuja kwako anampiga baba yako , mama yako , na ndg zako wengine na wote anawaua Kisha anakwambia njoo mezan tuzungumze
Arf ww unasema umeshinda hzo n akili kweli?
Alafu Iran alivyo fala ameenda kwenye kikao na hiv tunavyoongea marekani ameifunga homuz....hiyo ndo super power
 
Lengo la vita lilikuwa regime change kama hilo halijatokea basi upande wa USA na Israel haujashinda kama uharibifu kote kumetokea uharibifu
Ni kweli uharibifu umetokea kote lkn Iran ni zaidi halafu na mzigo wa vikwazo inafanya kazi ya ukarabati kuwa ngumu sana.
 
Back
Top Bottom