Nani Kashinda Vita ya Marekani (US) vs Iran? Vigezo vya Ushindi ni Vipi?

Nani Kashinda Vita ya Marekani (US) vs Iran? Vigezo vya Ushindi ni Vipi?

Ni kweli uharibifu umetokea kote lkn Iran ni zaidi halafu na mzigo wa vikwazo inafanya kazi ya ukarabati kuwa ngumu sana.
Huo uzaidi wa iran wewe umeujuaje??Kama vikwazo vimewekwa miaka 40 na bado hawajasalimu amri vita wamepigana sana na bado wameendelea kukaza kila siku mara regime change mara assassination ya viongozi wakuu bado mzingiro bado wewe useme zaidi anaumia fulani kwa mantiki ipi??
 
Alafu Iran alivyo fala ameenda kwenye kikao na hiv tunavyoongea marekani ameifunga homuz....hiyo ndo super power
Mkakati umebadilika kutoka regime change hadi kuifunga mlango bahari??Maana yake hapo ni kwamba mpango wa kwanza umefeli??Au ndiyo ulifaulu??
 
Mpaka sasa Iran amepoteza sana kwani vita vikiisha leo hiyo gharama aliyonayo ya kuijenga upya Iran bado haijulikani ataipataje na vikwazo hivi alivyonavyo bado.

Bila kusahau viongozi waliowapoteza toka mwanzo ambao hawawezi kurudi katu na kwa vyovyote vile vikwazo vitaendelea kuwepo na sana sana vitaongezwa zaidi.
can you show us picha za uharibifu?
 
can you show us picha za uharibifu?


 
Mpaka sasa Iran amepoteza sana kwani vita vikiisha leo hiyo gharama aliyonayo ya kuijenga upya Iran bado haijulikani ataipataje na vikwazo hivi alivyonavyo bado
Una maoni gani US kukubali kutoa fedha ya ukarabati?
 
Mpaka sasa 50*50 ila ni Aibu kwa USA na Israel kuomba mazungumzo
Maneno ya kujifarijihaya, mtu anasafiri maelfu ya kilometer anakuja kuwauwa viongozi na watu wengine wasio na hatia alafu unasema ameona aibu??.

Ebu Irani wajaribu kusafiri mpaka Marekani wakashambulie alafu waombe mazungumzo tuone what's gonna happen!.

Hayo majitu hayana aibu, usishangae baada ya mwezitu wakaanza kuuwaviongozi,raiya na kusababisha hasara tena.

Dawanikuwapiga nyukliatu ndio wataheshimuwatu, waone aibugani wakati wenzako wakiwashwa na vita wanachokoza ilikufanya mazoezi ya kupima silahazao kama walivyo fanya na Zile stealth bombers.
 
Mpaka sasa Iran amepoteza sana kwani vita vikiisha leo hiyo gharama aliyonayo ya kuijenga upya Iran bado haijulikani ataipataje na vikwazo hivi alivyonavyo bado.

Bila kusahau viongozi waliowapoteza toka mwanzo ambao hawawezi kurudi katu na kwa vyovyote vile vikwazo vitaendelea kuwepo na sana sana vitaongezwa zaidi.
dogo Iran atalipwa 300 Billion na Gulf states kuijenga Iran je Israel nani atamlipa.

Kwa tarifa yako Israel wamepoteza makamanda wengi sana wanaficha kutoa aibu zao Pia USA kapoteza askari wengi sana.

Inatosha ndege za Israel F35 zilizo pigwa kwenye base hakuna hata moja ilio salia pia USA kule Jordan.

Kiujumla USA na Israel wanaficha aibu zao hawataki zitolewe kwenye media wakati Iran anawachia hafichi.
 
Awamini macho yao.Iran sio Zimbambwe
[emoji23]Ulitaka Irani ufanywe kama Gaza ndio uamini kunaushindi, acheni mizaha na hayamambo nyiewatu, halinimbaya sana huko.
Unaona Lebanon kinachoendelea,hakuna haja ya kujifariji hukuunalia.
 
Back
Top Bottom