Ukitaka kuishi Marekani lazima uwe na kazi nzuri, vinginevyo kulipa kodi ya pango ni kazi sana

fired

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
233
Reaction score
522
Bei ya kupangisha nyumba iko juu kama dola 1200 .Ukiwa huko bila kazi ya maana mtaishi watu wawili au watatu ili mlipe kodi.Waafrika wengi wanalala nje.ukitaka kwenda huko hakikisha uko na kazi nzuri
 
Kiranga ya kweli haya mwana?
Watanzania wengi hawawezi kuizungumzia Marekani vizuri kwa sababu wana uvivu wa kiutamaduni na Marekani haitaki uvivu hata kuizungumzia tu.

Marekani ni nchi yenye mambo mengi sana huwezi kuitendea haki kwa kuizungumzia kizembezembe kama hivi.

Picha linaanza hakuna Marekani moja, kuna majimbo 50 yapo tofauti, yana sheria tofauti, chumi yofauti, tamaduni tofauti. Unaambiwa jimbo hili hakuna kodi ya mavazi, kuna kodi ya mapato, jimbo hili hakuna kodi ya mapato, kuna kodi ya mavazi. Hata kuchagua pa kuishi tu ni mahesabu.

Na hata ndani ya majimbo kuna counties tofauti, na katika counties kuna miji tofauti, na hata katika mji mmoja unakuta kwa mfano kuna districts tofauti zina shule zenye sheria tofauti.

Kuna mambo ya rural urban divide, kuna republican democrats divide, kuna coastal and interior divide, kuna liberal conservative divide, kuna all kinds of regional divide north vs south kuna watu wamegawanyika utafikiri bado wanapigana The Civil War. Kuna racial divide weusi weupe na wote katikati yao. Kuna walio na elimu na wasio na elimu. Kuna white collar America na blue collar America.

Hiyo USD $1200 New York City hupati hata chumba kimoja, huko Kansas na Texas vijijini au hata pembeni ya miji mikubwa unaweza kupata nyumba nzima.

Kwa hivyo ukija na generalizations zako za "Marekani hivi" naona mpaka hapo huijui Marekani.
 
Picha linaanza hakuna Marekani moja, kuna majimbo 50 yapo tofauti, yana sheria tofauti, chumi yofauti, tamaduni tofauti. Unaambiwa jimbo hili hakuna kodi ya mavazi, kuna kodi ya mapato, jimbo hili hakuna kodi ya mapato, kuna kodi ya mavazi. Hata kucjagua pa kuishi tu ni mahesabu.

Hiyo USD $1200 New York City hupati hata chumba kimoja, huko Kansas na Texas vijijini au hata pembeni ya minlji mikubwa unaweza kupata nyumba nzima.

Maelekezo yame nyooka, jamaa aache kutupanga. hovyo
 
Uzi ufutwe
 
Watanzania wengi hawawezi kuizungumzia Marekani vizuri kwa sababu wana uvivu wa kiutamaduni na Marekani haitaki uvivu hata kuizungumzia tu.

Marekani ni nchi yenye mambo mengi sana huwezi kuitendea haki kwa kuizungumzia kizembezembe kama hivi.

Picha linaanza hakuna Marekani moja, kuna majimbo 50 yapo tofauti, yana sheria tofauti, chumi yofauti, tamaduni tofauti. Unaambiwa jimbo hili hakuna kodi ya mavazi, kuna kodi ya mapato, jimbo hili hakuna kodi ya mapato, kuna kodi ya mavazi. Hata kuchagua pa kuishi tu ni mahesabu.

Na hata ndani ya majimbo kuna counties tofauti, na katika counties kuna miji tofauti, na hata katika mji mmoja unakuta kwa mfano kuna districts tofauti zina shule zenye sheria tofauti.

Kuna mambo ya rural urban divide, kuna republican democrats divide, kuna coastal and interior divide, kuna liberal conservative divide, kuna all kinds of regional divide north vs south kuna watu wamegawanyika utafikiri bado wanapigana The Civil War. Kuna racial divide weusi weupe na wote katikati yao. Kuna walio na elimu na wasio na elimu. Kuna white collar America na blue collar America.

Hiyo USD $1200 New York City hupati hata chumba kimoja, huko Kansas na Texas vijijini au hata pembeni ya miji mikubwa unaweza kupata nyumba nzima.

Kwa hivyo ukija na generalizations zako za "Marekani hivi" naona mpaka hapo huijui Marekani.
Haya maelezo Tu yanaonesha Marekani sio Nchi ya kuongelea kiutani utani
 
Kwani hapa Tz bila kazi nzuri au kipato kizuri unaweza kulipa kodi ya pango maeneo ya kueleweka?
Huyo jamaa haelewi hata hapa bongo Kijijini kama hushiki Jembe kisawa Sawa ukapigwa na jua hata mihogo wa kuutafuna huupati.

Kila sehemu lazima watu wafanye kazi, na ukiona watu wanaishi sehemu yoyote Ile ujue wanachapa kazi ndio maana wanaishi
 
Watanzania wengi hawawezi kuizungumzia Marekani vizuri kwa sababu wana uvivu wa kiutamaduni na Marekani haitaki uvivu hata kuizungumzia tu.

Marekani ni nchi yenye mambo mengi sana huwezi kuitendea haki kwa kuizungumzia kizembezembe kama hivi.

Picha linaanza hakuna Marekani moja, kuna majimbo 50 yapo tofauti, yana sheria tofauti, chumi yofauti, tamaduni tofauti. Unaambiwa jimbo hili hakuna kodi ya mavazi, kuna kodi ya mapato, jimbo hili hakuna kodi ya mapato, kuna kodi ya mavazi. Hata kuchagua pa kuishi tu ni mahesabu.

Na hata ndani ya majimbo kuna counties tofauti, na katika counties kuna miji tofauti, na hata katika mji mmoja unakuta kwa mfano kuna districts tofauti zina shule zenye sheria tofauti.

Kuna mambo ya rural urban divide, kuna republican democrats divide, kuna coastal and interior divide, kuna liberal conservative divide, kuna all kinds of regional divide north vs south kuna watu wamegawanyika utafikiri bado wanapigana The Civil War. Kuna racial divide weusi weupe na wote katikati yao. Kuna walio na elimu na wasio na elimu. Kuna white collar America na blue collar America.

Hiyo USD $1200 New York City hupati hata chumba kimoja, huko Kansas na Texas vijijini au hata pembeni ya miji mikubwa unaweza kupata nyumba nzima.

Kwa hivyo ukija na generalizations zako za "Marekani hivi" naona mpaka hapo huijui Marekani.
Dah umenyoosha kaka. Ingawa ni intro tu ila umenyoosha.
 
Wasomali ndio wameweza kuishi kijanja hapo Marekani 😀

wana vi day care kibao havina wanafunzi, Day care centre moja tu kila mwaka inafadhiliwa na serikali kwa zaidi ya dola million 1, kwa pesa yetu ni zaidi shilingi bilioni 2 na nusu, wamebuni njia nyingi sana za kupunyoa hela bila mambo ya kushikiana bunduki kama wamarekani weusi walivyokariri shortcuts kwa kuuza madawa na ujambazi.
 
Back
Top Bottom