Hizo kodi mbona kawaida sana hata down town bongo watu wanakunjuka masaki, m-sani, k-koo, city center nakadhalika..... ebu tusitishane aiseee
Utakuwa Mwanafunzi huyu mkali.
Hizo kodi mbona kawaida sana hata down town bongo watu wanakunjuka masaki, m-sani, k-koo, city center nakadhalika..... ebu tusitishane aiseee
Labda ufikie kwa mjomba wangu min -meWe Cheka tu, ijumaa ijayo natia timu hapo kwako nikiwa na furushi la magimbi mazee!
Kuna kijana wa Kitanzania nilikuwa naongea naye mwezi wa pili hapa na yeye kafanya hivyo hayo mambo ya day care na eldery care home kapiga hela nzuri tu. Kaingia mikataba na city and state governments wanampelekea wateja. Ila inabidi kufanya kazi kwa akili sana kwa sababu wana inspections kali sana.Wasomali ndio wameweza kuishi kijanja hapo Marekani 😀
Mtu anaanzisha kiday care chake hewa anafadhiliwa mabilioni, wamebuni njia nyingi sana za kuponyoa hela bila mambo ya kushikiana bunduki kama corner boys
Wasomali ndio wameweza kuishi kijanja hapo Marekani 😀
wana vi day care kibao havina wanafunzi wanapokea mabilioni ya kuendesha hizo daycare kutoka serikalini, wamebuni njia nyingi sana za kupunyoa hela bila mambo ya kushikiana bunduki kama wamarekani weusi wanaouza madawa na ujambazi.
Bwashee anafikiri Marekani ni kiborloni kwa masawee
😂😂 mbona anaish usa river Arushamin -me kwake ni Toronto Canada.
Nilipashwa na roho wa bwanaUmejuaje?😄
😂😂😂😂😂 mbona anaish usa river Arusha
wasomali wameweza sana kwa sababu wana tight-knit high trust communities, mambo mengi hubaki ndani ya jamii yao ambayo haina mwingiliano mkubwa na watu wa nje na wana kiwango cha juu cha kuaminiana wao kwa wao pamoja na kufanya mambo kwa team badala ya kila mtu kivyake. mtu wa nje kuambiwa mbinu sahau kabisa, utaonyeshwa maduka lakini ukiangalia movement unaona hii kamba tu. Tight knit comunities nyingine ni kama wahindi, waarabu, wayahudi, Mexicans ila nao wana njia zao nyingine za kupiga pesa.Kuna kijana wa Kitanzania nilikuwa naongea naye mwezi wa pili hapa na yeye kafanya hivyo hayo mambo ya day care na eldery care home kapiga hela nzuri tu. Kaingia mikataba na city and state governments wanampelekea wateja. Ila inabidi kufanya kazi kwa akili sana kwa sababu wana inspections kali sana.
Tena huyu kaingia US miaka kadhaa tu iliyopita, alikuwa hana pa kufikia nimejuana naye hapa JF alinifuata akiwa anaomba ushauri. Nikamwambia karibu Marekani, ukikwama pa kukaa nitafute usikose angalau sehemu ya kukaa wakati unasawazisha mambo yako uweze kusimama mwenyewe. Akafikia huko ndanindani akapigana mpaka sasa mambo yake mazuri.
Imepita miaka kadhaa kanitafuta, mpaka nikawa nimemsahau, yeye ndiye akawa ananikumbusha, namba yangu anayo bado alii save. Mambo yake yamekuwa mazuri mpaka anaanza kupata challenges za mafanikio ananitafuta kupata ushauri.
Marekani kuna ugumu sikatai, ila ukijipanga vizuri kuna fursa kibao ni mahesabu yako tu.
SAHII wanafurushwa wamegunduliwaWasomali ndio wameweza kuishi kijanja hapo Marekani 😀
wana vi day care kibao havina wanafunzi, Day care centre moja tu kila mwaka inafadhiliwa na serikali kwa zaidi ya dola million 1, kwa pesa yetu ni zaidi shilingi bilioni 2 na nusu, wamebuni njia nyingi sana za kupunyoa hela bila mambo ya kushikiana bunduki kama wamarekani weusi walivyokariri shortcuts kwa kuuza madawa na ujambazi.
Hapa Dar tu kama hupambani hata kula andazi la sh 100 linakushinda.Huyo jamaa haelewi hata hapa bongo Kijijini kama hushiki Jembe kisawa Sawa ukapigwa na jua hata mihogo wa kuutafuna huupati.
Kila sehemu lazima watu wafanye kazi, na ukiona watu wanaishi sehemu yoyote Ile ujue wanachapa kazi ndio maana wanaishi
Naunga mkono hojaTight knit comunities nyingine ni kama wahindi, waarabu, wayahudi, Mexicans ila nao wana njia zao nyingine za kupiga pesa
Wewe ungekuwa Tz wangeshakuteka.Natamani oneday nikajichimbie huko alaska au Texas
Bei ya kupangisha nyumba iko juu kama dola 1200 .Ukiwa huko bila kazi ya maana mtaishi watu wawili au watatu ili mlipe kodi.Waafrika wengi wanalala nje.ukitaka kwenda huko hakikisha uko na kazi nzuri