Iran imetoa wito raia walale kwenye vituo vya Umeme na Madaraja ili kuvilinda

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinatoa wito kwa umma kuunda ngao za kibinadamu(Human-Shield) kuzunguka vituo vya umeme na miundombinu mingine muhimu ili kuzuia Marekani na Israeli kushambulia maeneo hayo.

Hata waislamu wanajua kwamba Amerika na Israeli ni watu wenye utu zaidi kuliko wao, na hawatawahi kuwadhuru raia kimakusudi kwa hiyo wanajua raia wakilala kwenye maeneo hayo hawawezi kushambulia!!

Soma pia Hofu yatanda Iran baada ya jeshi la Israel kutishia mfumo wa Reli

==============

Iran’s deputy minister of youth and sports called on young people to form a “human chain” around the country’s power plants, following threats by President Donald Trump that the US will bomb Iran’s public infrastructure if it doesn’t reopen the Strait of Hormuz.

“I invite all youth, cultural and artistic figures, athletes, and champions to the national campaign “Iranian Youth’s Human Chain for a Bright Tomorrow,”” Alireza Rahimi wrote on X.

“Tomorrow, Tuesday at 14:00, beside power plants across the country, with every belief and taste, we will stand hand in hand to say: Attacking public infrastructure is a war crime.”

Over the weekend, Trump said Iran had until Tuesday at 8 p.m. ET to make a deal.

Source: CNN
 
Wakati wa vita ucje kusema kuna huruma ndugu yangu. Raia wa iran wakifanya hivo wapinzani wao watapata mwanya mzuri coz watalipua huko huko kulipo na wananchi ili iran igeukie huko kusaidia majeruhi then malayakan na sloraitas wawatandike vizur. Any ngoja wakanyagane mimi nyani mtu mweupe wapi na wapi. Twangana!!
 
Jeshi la IDF limetoa onyo la dharura moja kwa moja kwa watu wa Iran, kwa Kiajemi:

"Wapendwa raia, kwa usalama wenu: Kaeni mbali kabisa na treni na mbali na njia za reli hadi saa 21:00 usiku wa leo. Uwepo wenu huko unaweka maisha yenu hatarini."
 
Attachments

  • IMG_20260407_104933_337.jpg
    IMG_20260407_104933_337.jpg
    114.4 KB · Views: 32
Watu mnaandika kama wajinga,Kupiga tu miundombinu ya kiraia ni uhalifu wa kivita,ukiua mamia ya raia unapoteza kabisa legitimacy ya unachodai unapigania,unakuwa umeanzisha vita kubwa zaidi.
Mbona Iran alikua anapiga hovyo hovyo huko Dubai
 
Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinatoa wito kwa umma kuunda ngao za kibinadamu(Human-Shield) kuzunguka vituo vya umeme na miundombinu mingine muhimu ili kuzuia Marekani na Israeli kushambulia maeneo hayo.

Hata waislamu wanajua kwamba Amerika na Israeli ni watu wenye utu zaidi kuliko wao, na hawatawahi kuwadhuru raia kimakusudi kwa hiyo wanajua raia wakilala kwenye maeneo hayo hawawezi kushambulia!!

Soma pia Hofu yatanda Iran baada ya jeshi la Israel kutishia mfumo wa Reli

==============

Iran’s deputy minister of youth and sports called on young people to form a “human chain” around the country’s power plants, following threats by President Donald Trump that the US will bomb Iran’s public infrastructure if it doesn’t reopen the Strait of Hormuz.

“I invite all youth, cultural and artistic figures, athletes, and champions to the national campaign “Iranian Youth’s Human Chain for a Bright Tomorrow,”” Alireza Rahimi wrote on X.

“Tomorrow, Tuesday at 14:00, beside power plants across the country, with every belief and taste, we will stand hand in hand to say: Attacking public infrastructure is a war crime.”

Over the weekend, Trump said Iran had until Tuesday at 8 p.m. ET to make a deal.

Source: CNN
Kama ni kweli, basi hizi ni dalili za kushindwa kwa Iran.

Kwanini uhatarishe maisha ya raia kiasi hicho
 
Wanaoneshana ubabe. Wanao teseka ni raia wa kawaida.

Hao viongozi watoto wao wako Amerika na Ulaya wanakula bata

Halafu leo wanawaambia wananchi wakae relini. Kwanini wasiwarudishe watoto wao wafanye hiyo kazi
 
Kama ni kweli, basi hizi ni dalili za kushindwa kwa Iran.

Kwanini uhatarishe maisha ya raia kiasi hicho
Kwani kabla ya kuwaambia wakae huko maisha yao hayakuhatarishwa na hao wauaji
Walipiga shule ya vitoto vidogo kabisa au nawao walikua relini wale
Wameripua vyuo au nawao walikua relini
Wameua wakandarasi wa madaraja
Wameua watu kwenye viwanda mbalimbali
 
Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinatoa wito kwa umma kuunda ngao za kibinadamu(Human-Shield) kuzunguka vituo vya umeme na miundombinu mingine muhimu ili kuzuia Marekani na Israeli kushambulia maeneo hayo.

Hata waislamu wanajua kwamba Amerika na Israeli ni watu wenye utu zaidi kuliko wao, na hawatawahi kuwadhuru raia kimakusudi kwa hiyo wanajua raia wakilala kwenye maeneo hayo hawawezi kushambulia!!

Soma pia Hofu yatanda Iran baada ya jeshi la Israel kutishia mfumo wa Reli

==============

Iran’s deputy minister of youth and sports called on young people to form a “human chain” around the country’s power plants, following threats by President Donald Trump that the US will bomb Iran’s public infrastructure if it doesn’t reopen the Strait of Hormuz.

“I invite all youth, cultural and artistic figures, athletes, and champions to the national campaign “Iranian Youth’s Human Chain for a Bright Tomorrow,”” Alireza Rahimi wrote on X.

“Tomorrow, Tuesday at 14:00, beside power plants across the country, with every belief and taste, we will stand hand in hand to say: Attacking public infrastructure is a war crime.”

Over the weekend, Trump said Iran had until Tuesday at 8 p.m. ET to make a deal.

Source: CNN
Tulishawaambia waabudu majini wa pedophile mudi kuwa kipondo kikali sana kinakuja kwa iran nakumbuka makobazi mibusha walibweka sana na kubisha leo hii wanabaki kulialia tu na wengine wamekimbia jukwaani maana hawaamini wanayoyaona
 
🤣🤣🤣🤣
MZEE WA UHARO anawalisha mavi wenzake yalivyokuwa majingq yanashangilia🤣

Habari za Iran unazitoa CNN 😂
 
Back
Top Bottom