Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinatoa wito kwa umma kuunda ngao za kibinadamu(Human-Shield) kuzunguka vituo vya umeme na miundombinu mingine muhimu ili kuzuia Marekani na Israeli kushambulia maeneo hayo.
Hata waislamu wanajua kwamba Amerika na Israeli ni watu wenye utu zaidi kuliko wao, na hawatawahi kuwadhuru raia kimakusudi kwa hiyo wanajua raia wakilala kwenye maeneo hayo hawawezi kushambulia!!
Soma pia Hofu yatanda Iran baada ya jeshi la Israel kutishia mfumo wa Reli
==============
Iran’s deputy minister of youth and sports called on young people to form a “human chain” around the country’s power plants, following threats by President Donald Trump that the US will bomb Iran’s public infrastructure if it doesn’t reopen the Strait of Hormuz.
“I invite all youth, cultural and artistic figures, athletes, and champions to the national campaign “Iranian Youth’s Human Chain for a Bright Tomorrow,”” Alireza Rahimi wrote on X.
“Tomorrow, Tuesday at 14:00, beside power plants across the country, with every belief and taste, we will stand hand in hand to say: Attacking public infrastructure is a war crime.”
Over the weekend, Trump said Iran had until Tuesday at 8 p.m. ET to make a deal.
Source: CNN