Wakuu jana jioni nimecheka sana. Yule jamaa aliyeongoza jopo la watu walionisomea Albadiri iliyogonga mwamba (Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana) jana kaja na mada nyingine anasema kuwa Iran inanguvu kuliko Marekani na imeizidi Marekani kwa kila kutu...
Miaka michache iliyopita ilikuwa huwezi kuzungumzia vita kati ya Uchina na Marekani lakini hivi sasa tayari hilo halipo na kinachozungumzwa ni vita kati ya mataifa mawili makubwa zaidi duniani kiuchumi na kijeshi kwa maana ya Marekani na China.
Mapema mwezi huu (Oktoba) wanajeshi 864 wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani, amemwambia Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuwa anataka Israel imalize vita vya Gaza kabla ya yeye kurejea madarakani iwapo atashinda uchaguzi, vyanzo viwili vilivyo na taarifa juu ya suala hili vimeeleza kwa The Times of Israel...
Marekani imestuka baada kasi mauaji ya wanajeshi wa NATO huko Ukraine kuongezeka huku Russia akaikamata maeneo kwa spidi ya ngiri....hofu hiyo imefanya Blinken aropoke China iondoe wanajeshi North Korea Russia tuelekee studio..
Update: NATO backed Ukrainian forces and on the verge of total...
Mimi kwa mtizamo wangu na kulingana na kura za awali na imani
Donald Trump atashinda uchaguzi wa Marekani, ambao unategemewa
kufanyika tarehe 5 November 2024.
Kwa sasa Marekani inamuhitaji sana mtu kama Donald Trump kwani Marekani
ina maadui wengi hivyo inahitaji Raisi shupavu, kete hii...
Zikiwa zimebaki wiki chache kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani mwezi Novemba, ni wakati wa kuzielewa sera kati ya Makamu wa Rais wa chama cha Democratic, Kamala Harris na Donald Trump wa Republican.
Sera za Harris Kamala vs Trump
1. Mfumuko wa Bei
Harris anasema kipaumbele chake kitakuwa ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Unaweza ukaona kama ni jambo dogo lakini kwa jicho la tatu hili ni jambo kubwa sana linalopaswa kudhibitiwa kwa uharaka juu ya Mtu au watu au kikundi cha watu kinachoweza kuwa kinavujisha siri na taarifa za siri ambazo hazijawa rasmi na kutolewa kwa Umma.
Nasema hivi...
Nawashukuru ndugu zangu kupita kiasi.
Kila siku wananikumbuka na kuniletea vitabu ama wavitume au kuja wenyewe maktaba kwa miguu yao.
Abdulaziz Ali Khamis yeye anatoka Mombasa.
Mara kwa mara huja nitembelea Maktaba.
Safari hii alikuja Tanzania akafika hadi Songea kutembelea Makumbusho ya Vita...
Serengeti.
Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea Ujumbe wa Wafanyakazi wa Bunge la Marekani ukiongozwa na Bi. Courtney Butcher, ambao wamefanya ziara nchini kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa Serengeti kuanzia tarehe 26 hadi 28 Oktoba 2024.
Dhumuni la ziara hiyo ya miadi ni kujadili namna...
Habari wakuu.
Kuna mtu kanipa maelekezo kwamba kuna ofisi inasaidia watu kujaza form na kupigwa picha kwa akijili ya Bahati nasibu ya kwenda kuishi Marekani yaani Green card au Dv lottery inayochezeshwa kila mwaka.
Sasa ninaomba kufahamu vigezo na masharti pamoja na nyaraka zinazotakiwa ili...
Kazi hizi ni zile ambazo ni chafu na zingine zina vyeti na zimo katika mfumo rasmi ulowekwa na wazungu ambazo zingine zalipa kishenzi.
Nimetumia neno kazi za kishenzi kutokana na mazingira ya kazi hizi na aina ya watu wanozifanya ambao wengine ni watu waso na familia au wenye aina fulani ya...
Nimejaribu kupitia 'list' ya matajiri duniani, nikagundua wale ma-top wengi wanatoka Marekani.
Ukiangalia ata wasanii wao au wafanya biashara kutoka huko kwao wanamiliki ndege n.k
Sasa najiuliza, ni kitu gani kinacho wafanya wao kuwa na matajiri wengi.
Ni kwamba wana sera nzuri za kuwawezesha...
Wadau hamjamboni nyote?
Wakati mvutano unaendelea huko Mashariki ya Kati kufuatia mashambulizi ya kisasi ya Israel dhidi ya Iran, Marekani imeionya Tehran dhidi ya mipango yoyote wa kulipiza kisasi.
Pentagon imesema kuwa mashambulizi ya Israel ya Jumamosi yanakusudiwa kumaliza uhasama kati ya...
Naam, unaweza kudhani ni mzaha lakini ndivyo ilivyo.
Mwaka huu viongozi wengi wa ngazi za juu kutoka Ulaya na Wanadiplomasia mbalimbali wamekua wakipishana huko District of Columbia (Washington), Arlington-Virginia na New York wakipishana milango ya White House, Makao maku ya Republicans...
Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k
Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja...
Watoto wa efu mbili hawezi mjua huyu muigizaji mzee wa ahahaaaaaa ahahaaaaa ahahaaaaa, hatimae mungu kamfukua akiwa na miaka 86 huko nchini marekani
Muigizaji maarufu kutokea nchini Marekani Ron Ely ambaye alijizolea umaarufu nkubwa baada ya kuigiza kama ‘Tarzan’ Amefariki dunia.
Tarzan...
Hii akili mnemba au akili bandia( AI ) Imekuwa shida sasa
================
Mwanamke aitwae Megan Garcia wa Florida Nchini Marekani, amefungua kesi Mahakamani kuishtaki Kampuni moja ya California iliyotengeneza Chatbot ambayo amedai imesababisha kifo cha Mtoto wake kiume aitwae Sewell Setzer...
Haya yamewakuta waziri Blinken na ujumbe wake walipokuwa Israel:
Ataamini huyu kuwa Nasrallah, Haniyeh au Sinwar ni marehemu?
https://m.youtube.com/watch?v=sG0ss7AfVvM
Ama kweli vishindo vya wakoma viliwakimbiza washami!
Donald Trump, katika kampeni zake za uchaguzi wa 2024, ameonyesha msimamo mkali zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko alivyofanya katika kampeni zake za awali. Ingawa wakati wa kampeni zake za mwaka 2016 na urais wake wa awali alijaribu kuepuka kuonyesha upinzani wa wazi kwa haki za LGBT, hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.