marekani

  1. B

    Jenerali Muhoozi yamkuta mazito baada ya kumtishia balozi wa Marekani

    Huku ndiko kupigwa kitu kizito sana utosini: Habari ziwafikie wote wenye kuleta fyoko fyoko: "Chezea wengine siyo beberu!"
  2. Marekani: FBI yamkamata mwanaume mmoja aliyekuwa akipanga shambulio kubwa siku ya uchaguzi

    Wizara ya Sheria nchini Marekani ilisema siku ya Jumanne kuwa FBI imekamata mwanaume mmoja kutoka Afghanistan ambaye maafisa wa usalalma wanasema alihamasishwa na kundi la wanamgambo la Islamic State na kwamba alikuwa akipanga shambulio la Siku ya Uchaguzi lililolenga umati mkubwa wa watu nchini...
  3. Balozi wa Marekani Michael A. Battle: Kusema Tanzania haijafungamana, uhalisia haupo hivyo

    https://www.youtube.com/watch?v=5Acw2Qxhq1c Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle akizungumza na Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown FM amesema hakuna Nchi Duniani ambayo inaweza kusimama yenyewe bila kuwa na ushirikiano wa Nchi nyingine. Akiitaja Tanzania amesema dhana ya kuwa...
  4. Iran yatoa Onyo kwa nchi yoyote ya Kiarabu itakayoruhusu Israel na Marekani kutumia anga au ardhi yake kushambulia Iran itaadhibiwa vikali

    Iran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa. Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa onyo kali kuhusu ushirikiano wowote na Israel kwa ajili ya operesheni za kijeshi. Msimamo huu...
  5. B

    Balozi wa Marekani, Michael Battle: Nchi haiwezi kusimama pekee yake

    08 October 2024 Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=5Acw2Qxhq1c Balozi wa Marekani nchini Tanzania, mheshimiwa Dr. Michael Anthony Battle, Sr. katika mahojiano exclusive kabisa na mtangazaji nguli Salim Kikeke wa Crown Media ya Tanzania. Balozi huyo anayewakilisha maslahi...
  6. Marekani kulipa fidia kama njia ya kuizuia Israel kuishambulia Iran! Iran yasema ipo tayari kwa lolote!

    Katika hali inayoonekana kama njia ya kupunguza na kuondoa taharuki huko mashariki ya kati, serikali ya Marekani imesema ipo tayari kulipa fidia kutokana na madhara ya mashambulizi ya makombora kutoka Iran wiki iliyopita! On Sunday, Israeli TV channel Kan11 claimed that Washington had offered...
  7. S

    Njia ya zipi sahihi kutuma mzigo Marekani

    Hello ndugu, ninahitaji kutuma mzigo marekani ni kilo 5 TU za karafuu je ni kampuni gani ya ndege au yoyote ya usafirishaji naweza kuitumia kutuma mzigo wangu kwa haraka na unafuu? Wenye uzoefu naombeni msaada wenu na pia naomba kujua gharama exactly za kutuma huo mzigo.
  8. Kwenye treni za Ulaya na Marekani kuna dunga dunga(wabambiaji)?

    Kwa wale waliowahi kupanda treni za abiria Ulaya, Marekani, Japan na Korea, huwa huko nako kuna dunga dunga(wabambiaji) kwenye treni zao?
  9. U

    Waziri wa ulinzi wa Israel, Yoav Gallant ziarani Marekani. Jumatano atakuwa na kikao kizito pentagon na Waziri wa ulinzi Lloyd Austin

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa ulinzi wa Israel komandoo yoav galant na Waziri mwenzake Lloyd Austin watafanya kikao kizito makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Marekani pentagon siku ya jumatano Oktoba 8, 2024. Taarifa kamili hapo chini: Defense Minister Yoav Gallant will travel to the...
  10. Makamanda wa Marekani na Israeli wakutana Tel Aviv kupanga namna ya kujibu kisasi kwa Iran. Iran yawaambia inawasubiri.

    Hivi Leo mkuu wa kamandi ya kijeshi CENTCOM inayo operate katika maeneo ya mashariki ya Kati Gen .mike kurilla amekutana na viongozi wa kijeshi wa ngazi ya juu wa Israel katika kikao huko Tel Aviv ili kuisaidia Israel kupanga namna ya kulipa kisasi kwa Iran baada ya shambulio baya la Oktober 1...
  11. H

    Kim Jong Un wa North Korea atangaza kutumia mabomu ya nyuklia kuipiga Korea Kusini iwapo atachokozwa!

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ametishia kutumia silaha za nyuklia kuiangamiza Korea Kusini iwapo itashambuliwa, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti Ijumaa, baada ya Rais wa Korea Kusini kuonya kwamba ikiwa Korea Kaskazini itatumia silaha za nyuklia itakuwa ni “mwisho wa utawala...
  12. H

    Iran kuishambulia Marekani

    Iran imesema kwamba unaweza kuishambulia Marekani iwapo tu Marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi. Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga Marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi. Vyombo mbalimbali vya...
  13. H

    Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu

    Kwa mujibu wa tovuti mbali mbali za kimataifa zimesema kuwa kuna uwezekano wa Israel KUISHAMBULIA IRAN leo usiku kama Kujibu shambulio la Iran la apo juzi. Inasemekana Israel tayari umeanza mipango ya kuishambulia Iran leo huku kukiwa na hofu ya Israel KUISHAMBULIA visima vya mafuta vya Iran...
  14. Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

    Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani. Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba...
  15. Usalama Wa Wanahabari upo Hatarini Marekani- CPJ yasema

    Ripoti iliyotolewa Jumanne imesema kuwa wakati uchaguzi wa Rais wa Marekani ukikaribia, usalama wa wanahabari haujahakikishwa kwa mujibu wa marekebisho ya kwanza ya Katiba ya Marekani. Wanahabari wa Marekani wanakabiliwa na tishio jipya ikiwemo kushambuliwa na polisi, mashambulizi ya...
  16. L

    Balozi wa Marekani Nchini Akutana na Kufanya Mazungumzo na Waziri wa Afya Jenista Mhagama.

    Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  17. Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin

    Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo. Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa...
  18. L

    China inapanua uwekezaji Afrika huku Marekani ikiizuia kuongeza uwezo wake wa uzalishaji

    Kutokana na kuimarishwa kwa uhusiano kati ya China na Afrika, katika miaka ya karibuni, uwekezaji wa China umeendelea kuongezeka barani Afrika. Hivi karibuni serikali ya China ilitoa taarifa inayosema kwamba uwekezaji wa China barani Afrika mwaka 2023 ulikuwa dola za kimarekani bilioni 3.96...
  19. Ndege ya Kivita ya Urusi SU - 35 yaingia Katika anga la Marekani huko Alaska, Rubani wa marekani apata Kiwewe

    Rubani wa ndege ya Kivita ya Urusi alimsurprise Rubani mwenzake aliyekua anaendesha ndege ya Kivita ya Marekani F- 16 akiwa katika doria karibu na pwani ya Alaska na kumfanya apagawe kwa namna Mrusi huyo alivompita ghafla katika tukio ambalo ni nadra sana kutokea. Mpaka sasa Pentagon hawajatoa...
  20. Watoto 21 wuawa Lebanon katika mashambulio ya Israel huku idadi ya vifo ikifikia 274

    Mamlaka za Lebanon zimesasisha hivi punde kuwa idadi ya waliofariki kutokana na mashambulizi ya anga ya Israel leo imefikia watu takriban 274 sasa. 21 kati yao ni watoto, kulingana na wizara ya afya ya Lebanon. Watu wengine 1,024 wamejeruhiwa katika mashambulio hayo, wizara hiyo inaongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…