Raia mmoja wa Marekani ameonekana katika video clip mtandaoni Twitter akibishana na baadaye kuwatimua maafisa wa FBI waliofika nyumbani kwake kufanya mahojiano naye kuhusu chapisho lake katika mtandao wa X lililosema "Mtu yeyote atakayemuua Kamala Harris atakuwa shujaa wa Marekani"
========...
Vuguvugu la siasa limepamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 05 november huko Chini marekani, Pia tukitarajia uchaguzi wa serikali za mitaa kufanyika hapa Tanzania mnano tarehe 27 november 2024.
Napata hisia tofauti juu ya uchaguzi mkuu wa marekani, natumia jukwaa hili la jamiiforum kutoa...
OLD MEMORIES OF BLACK HIP HOP CULTURE & ELEMENT IN
AFRICA... WAY BACK 🔙 1980 - 2005 ...
Historia ya Muziki wa Rap / Hip hop Duniani 🌎 inatueleza kuwa Asili ya Muziki wa Rap ni 🌍 Afrika.
Wasanii Kutoka Taifa la marekani wanaofanya muziki aina Rap ..
wengi hupenda/ tunapenda kuwaita...
MSANII 50 CENT
"Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent
"Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu...
Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC wa 2024 ulimalizika hivi karibuni mjini Beijing, na kupitisha "Azimio la Beijing" na "Mpango wa Utekelezaji (2025-2027)". Wakati jumuiya ya kimataifa, ukiwemo Umoja wa Mataifa, ikipongeza kujumuika tena kwa familia za China...
Mgombea Urais wa Marekani Rais mstaafu Donald Trump amekuwa consistent na hoja yake (pia hajaikanusha)aliyoitoa wakati wa mdahalo kwamba katika mji wa Springfield Ohio wananchi wanakula paka na mbwa.
Baadhi ya vyombo vya habari nchini marekani ambavyo mara nyingi Trump huviita kwa jina la fake...
Marekani na Washirika wake wamepeleka zana nyingi mashariki ya kati kwa lengo la kuikinga Israel dhidi ya Makombora toka Iran na Yemeni leo tumeshuhudia Israel imepeta kipigo cha aibu makombora yamesafiri Kilomita 2000 toka Yemen Hadi kwenda kuichakaza TelAviv.. Netanyahoo mavi yanagonge kyupi...
Wakuu kama kawaida katika harakati tunakutana na wadau kwenye event mbalimbali. Nami leo nikashiriki tukio fulani hivyo lilikuwa na watu wengi sana. Mwisho ikawa utambulisho.
Basi mtu anasimama anajitambulisha halafu unakuta anasema "Yule mrembo pale ni mke wangu nina miaka 20 tangu tuoane"...
Saa 48 zilizopita urusi amerusha ndege za kivita karibu na pwani ya Marekani na Canada kutokea baharini upande wa Jimbo la Alaska kitendo kilichoikasirisha sana marekani na kuita ni kitendo cha uchokozi kutoka kwa urusi .
Safari hii hii marekani ajiandae kuonja utamu wa vita. Rais Putin...
Sept 11, 2024, Baraza la Wawakilishi la bunge la Marekani liliidhinisha kiasi cha $1.6 Billion.
Bajeti hiyo ni ya miaka mitano (2023-2027) kueneza propaganda dhidi ya China sehemu mbalimbali duniani ikilenga hasa kuiharibia sifa China, ikitumia media za nje ya Marekani. Mpango huu umepewa jina...
Wakuu hii rangi imelaaniwa .
Nilikuwa najua black (Nigga) waliozaliwa marekani wapo tofauti na waswahili kumbe hamna.
Yaani kuna sehemu nafanya mchongo jamaa wakipewa hela hawarudi kazini kesho yake.
Then wanazaa balaa
Wakipewa nafasi za juu wanaharibu daah hii rangi inashida Sana
Nilichokiona baadhi ya wabongo wanatamani kuja Marekani, ila akili ya rushwa imetutawala kiasi ambacho badala ya kutafuta namna sahihi ya kuja tunatafuta namna ya kutafuta wa kumpa rushwa ili tufike Marekani.
Akili hiyo imekwamisha mengi sana. Kifupi ni kuwa, ukitafuta wa kumpa rushwa ili uje...
Mojawapo ya mjadala mkubwa jana katika mdahalo wa wagombea urais wa Marekani ni tuhuma za Donald Trump ambazo zinaungwa mkono na wanachama wengi wa Republicans kwamba wahamiaji wanawinda/wanaiba na kula pets(paka, mbwa na bata wa urembo) wa wenyeji huko Marekani.
Je tuhuma hizi ni za kweli?
Usiku wa kuamkia leo Jumatano Septemba 11, 2024 wagombea urais wa Marekani, Donald Trump (Republican) na Kamala Harris (Democratic) wamefanya mdahalo wa kutoa hoja zao mbele ya wananchi huku wakinyukana kwa hoja.
Mdahalo huo ulioandaliwa na kituo cha luninga cha ABC, mbali na hoja za wagombea...
"Maendeleo ya China katika miundombinu ni ya hali ya juu ni zaidi ya mara 100 ya Marekani."
–Elon Musk
Elon Musk aliposema hivyo hakutia chumvi ni uhalisi.
Kihistoria tangu zamani Wachina wako vizuri kwenye civil engineering. Mfano mmoja ni The Great Wall of China mradi uliojengwa miaka 2300...
Kwa ufundi na subira za hali ya juu Hamas wameweza kuhimili kipigo kizito cha Israel na washirika wake mpaka umefika mwaka mmoja hapo Septema 7.
Uzito wa vita hivyo umeonekana na kila upande ambapo mpaka sasa kikwazo kikubwa ni waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu ambaye anaona aibu...
10 September 2024
Tamko la Pamoja la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ubalozi wa Uingereza, Canada, Norway na Uswisi kuhusu Matukio ya Hivi Karibuni Nchini Tanzania;
"Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa makubaliano na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Ubalozi wa Canada...
canada
marekani
matukio ya utekaji
mauaji
norway
tamko la eu
tanzania
uingereza
ulaya
ulaya na marekani
umoja wa ulaya
uswisi
utekaji
utekaji na mauaji
Mambo mengi tunayosoma huku tunaona hayana ajira kwa sababu ya soko la ndani lilivyo bovu.
Fikiria mtu amesoma kiswahili na anakomaa kubaki Tanzania, utamfundisha nani na wote wanajua Kiswahili tena wengine wanakuzidi kabisa. Chukulia mfano yule dogo wa UDOM alivyokuwa anaongea kiswahili kizuri...
Marekani inaungana na wale wanaotoa wito wa uchunguzi huru, wa uwazi, na wa haraka kuhusu utekaji unaoendelea na mauaji ya Ali Mohamed Kibao. Mauaji na kupotea kwa watu, pamoja na kukamatwa, kupigwa, na juhudi nyingine za kuwaengua raia katika uchaguzi zilizotokea mwezi uliopita, havipaswi kuwa...