marekani

  1. Vita vya kibiashara vya Trump ni hatari kwa Marekani kuliko vita vya silaha ilivyopigana na inavyoshiriki mataifa ya nje

    Katika vita vya silaha taifa la Marekani limetia hasara kubwa maeneo mengi duniani na hawajawahi kushinda hata sehemu moja. Wamepigana Afghanistan na hatimae wakashindwa na kukimbia mbio nyingi.Iraq nako ni kama hivyo.Libya mpaka balozi wa Marekani aluliwa ubalozi wao ulipochomwa moto. Ukienda...
  2. Wanaandamana kupinga kuondolewa kwa wahamiaji haramu Marekani huku wakipeperusha bendera za Mexico, Honduras, na nchi zinginezo

    Huu ni ujinga. Ni upumbavu wa hali ya juu. Hawa ni waandamanaji wanaopinga sera za Rais wa sasa wa Marekani za kukabiliana na suala na uhamiaji haramu. Wengi wa hawa waandamanaji ni Walatino. Hapa ni katika moja ya viunga vya mji wa Atlanta, GA. Wanaadamana kupigania istihaki [privilege] ya...
  3. M

    List ya nchi za kusini mwa jangwa la Sahara zenye zinazoogoza kwa kuwa na Diaspora matajiri huko Marekani

    Wakati Majirani zetu Kenya wakishika namba 2 sisi Tanzania hatupo kwenye list kabisa. Wakina Kiranga, Bufa na wengine vipi vyuma vimekaza huko sio πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚
  4. PIGO JINGINE KWA MAREKANI: Urusi na Uchina zatengeneza Nvidia card bora mara 800 ya zile za USA

    Hii ni habari mbaya sana kwa Pro -USA. **************** ******************* Wanasayansi kutoka nchi hizo mbili wamesuka algorithm mpya kwa kutumia teknolojia ijulikanayo kama "reverse engineering" na kuweza kuboresha kadi kadi za video game . Algorithm hiyo mpya inaruhusu kadi za GPU hizo...
  5. T

    Ujumbe kwa wizara ya Afya-Sitisho la misaada ya Marekani lazua Taharuki

    Wiki hii taarifa kutoka shirika la misaada la USAid kwenda kwa Taasisi mbalimbali ikiwemo Taasisi ya Benjamin Mkapa juu ya kusitisha ufadhili wa miradi inayohudumia waathirika wa ugonjwa wa UKIMWI na Magonjwa ya kuambukiza ikiwemo TB limeleta taharuki hasa kwa wagonjwa wanaohudumiwa na mradi huu...
  6. Canada yakataa kusalimu amri kwa Rais Trump kuhusu ushuru wa 25%

    Rais wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kuwa anapanga kuweka ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico, pamoja na ushuru wa 10% kwa bidhaa kutoka China. Trump alieleza kuwa hatua hii inafanywa kama njia ya kulinda mipaka ya Marekani dhidi ya uhamiaji haramu na madawa ya kulevya ambayo...
  7. Z

    Kama Marekani inadhibiti suala la wahamiaji haramu nasi yatupasa kuchukua hatua

    Kila mmoja wetu anashuhudia kinacho endelea Marekani Chini Ya Truph kuhusu kudhibiti suala la wahamiaji haramu. Naunga Mkono zoezi hilo kwa maslahi ya usalama wa nchi. Sisi pia Tanzania kupitia Jeshi letu la Uhamiaji wanapaswa waongeze bidii na umakini kwenye mipaka yetu ili kudhibiti wimbi...
  8. Utamsikia anasema "Wanaume wote ni mbwa. Kama hawezi kunidekeza kama mtoto, kwendraaaaa!!"

  9. Jinsi China Inavyo iendesha Marekani , Kwa hili US Imechemka .

    Marekani iliwafungia China katika kila kona ili kuibana na kuzuia kwa hofu ya kupitwa … kiuchumi, siasa hata Teknolojia lakini hadi sasa marekani haiamini kilicho tokea China Imegeuza meza …! …….kivipi ? Pause …. Naitwa Mkisi mtaalamu wa teknolojia na vifaa vya kidigitali. Tupo Kariakoo...
  10. Serikali tunaomba muunge mkono sera ya kuupinga ushoga kutoka kwa Rais wa Marekani, Donald Trump

    Kichwa chahusika. wanajamvi, serikali kwa ujumla na watu wa haki za binadamu, tumuunge mkono raisi trump kwa kupinga ushoga na usagaji, tuone hao wa haki za binadamu watapitia wapi labda wakamuulize Trump kuwa anakandamiza haki za binadamu. hivyo basi, mashoga na wasagaji wawe ni maadui...
  11. B

    Ni hatuna gani nchi za Afrika zitakuchua kupambana na kujikinga dhidi ya athari ya Marekani?

    Kutokana na ujio wa Rais mpya wa marekani "Donald Trump" kusitisha utoaji wa misaada katika nchi za Africa, kauli/Sheria iyo imeonekana kuathiri sana sector ya afya ambayo ilikua ikilalia sana upande wa marekani Ili kuendesha programu mbalimbali. Kutokana na kusitishwa Kwa misaada hiyo...
  12. J

    Marekani itaendelea kutoa misaada ya Dawa zinazozuia Vifo lakini kamwe haitatoa Fedha Kwa Nchi za Afrika

    Waziri wa Foreign wa Marekani amesema wakati wanaendelea kufanya ukaguzi kama walivyoagizwa na Rais Trump watakuwa wanatoa msaada wa Dawa za kuzuia Vifo pekee Kwa waathirika wanaotumia Dawa hizo Waziri amesema watatoa Dawa na kamwe hawatatoa fedha Source Citizen TV
  13. Kumbe mlikuaga mnakula misaada ya Marekani alafu mkija humu JF mnawaita mashetani mara sijui firauni, etc πŸ˜‚

    https://youtu.be/ShzDBSbPbm4?si=F3MM9-KNiFf54Oqm
  14. Trump atupiwa lawama ajali ya ndege Marekani

    Lawam nyingi zimeelekezwa kwa Donald Trump Rais wa Marekani kufuatia ajali mbaya ya ndege iliyotokea jimbo la Virginia ambapo ndege ya abiria imegongana na helicopter ya jeshi na kuua watu zaidi 60. Hata hivyo Trump mwenyewe amekwepa uwajibikaji na kumtupia lawama mtangulizi wake Biden. Watu...
  15. F

    Vituko vya sisa za Marekani

    Uchawa kama wa Tanzania,kila waziri akisimama kuongea ni kumsifu trump,muda mchache uliopita trump alikuwa anaongea na waandishi wa habari,kuhusu ajali ya ndege kugongana hewani,yeye kalaumu serikali biden,kwamba ilishusha viwango vya ajira za air yrafic controllers na mawaziri wake wawili...
  16. ACT WAZALENDO Kuhusu Kusitishwa kwa Misaada ya Afya na Serikali ya Marekani

    ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje. Tanzania, kama moja ya...
  17. Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

    Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kuonesha msimamo mkali kuhusu suala la wahamiaji. Katika sera zake, amesisitiza kuimarisha usalama wa mipaka, ikiwemo ujenzi wa ukuta mpakani na Mexico, pamoja na kuimarisha sheria za uhamiaji ili kupunguza wahamiaji wasio na vibali halali. Trump...
  18. Israel ndiyo imeifanya Marekani kuwa taifa dhaifu

    Kauli mbiu ya rais Donald Trump wa Marekani ni kuifanya Marekani kuwa taifa kubwa kwa mara nyengine (Make America Great Again). Huu ni ukweli aliouona Trump tangu mwaka 2020 alipogombea na Joe Biden na ambao sasa ndio umezidi kudhihirika. Kwa ujumla wake hiyo ni kauli ya kutapata kwa wazalendo...
  19. Marekani: Afrika inakuhitaji rudi uwe nasi

    Nakuomba sana Marekani Afrika bado inakuhitaji sana, Sisi ni kama watoto bado hatuwezi wenyewe unajitoa unajipeleka wapi Marekani? Marekani baba kama kuna mahali tumekukosea tunaomba utusahamee, tunakuomba sana. Angalia unajitoa je ARV tutakuwa tunapata wapi? Na kuna zile neti je? Kuna...
  20. Utaratibu wa urejeshwaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani

    Katika kipindi hiki, cha utawala wa Trump, kumekuwa na habari za kuhamasisha na kuangazia urejeleaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani. Ref: Marekani yatoa orodha yenye watanzania 301 wanaorejeshwa Tanzania Hata hivyo, kuna maswali mengi ambayo yanahitaji kujibiwa ili kuondoa wasiwasi miongoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…