Habari zilizonifikia , zinasema mwana mitandao na mfanyabiashara Mariam Uswazi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati (Central), huku wadeni wake wakifika kituoni hapo kufuatilia hatma ya pesa zao.
Pia soma:
~ Wanawake wa Tanzania msipoachana na upatu mtaendelea kumlaumu Mariam Uswazi...
Nyie dada zetu mmelogwa? Ina maana nyie hamna akili za kuweza kutumia au kutunza pesa zenu wenyewe hadi mumkabidhi mwenzenu Mariam awawekee? Inashangaza sana. Kwa msiofahamu ni kuwa kwa sasa mtandaoni kumeibuka wanawake wengi wakiwemo wafanyabiashara wakubwa kama Nipher Cosmetics wanaomlaumu...
Story Kubwa Tanzania kwa sasa ni kuhusu@uswazi_food na hela za upatu ambao watu wanalalamika na kuomba misaada ili warudishiwe hela zao yan walipwe. Siku Ya Leo Mariam alipiga simu na akaongea upande wake wa story ya kwamba wengi wamevunja taratibu za mchezo huo , akiongea na Diva kupitia njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.