MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Nyie dada zetu mmelogwa? Ina maana nyie hamna akili za kuweza kutumia au kutunza pesa zenu wenyewe hadi mumkabidhi mwenzenu Mariam awawekee? Inashangaza sana. Kwa msiofahamu ni kuwa kwa sasa mtandaoni kumeibuka wanawake wengi wakiwemo wafanyabiashara wakubwa kama Nipher Cosmetics wanaomlaumu mwenzao aitwa Mariam maarufu kama Uswazi food kwamba kawadhulumu pesa zao. Wanadai huyu Mariam ana vikundi vya upatu ambapo hawa wanawake wapumbavu humtumia pesa. Wenyewe huita "mchezo". Kwa mfano huyu Nipher analalamika kudhulumiwa Tsh milioni 69.
Binafsi ninaona bora wapigwe tu na huyu mwenzao hadi akili iwakae sawa. Nilishaandika uzi kuwaonya kuhusu hili.
Binafsi ninaona bora wapigwe tu na huyu mwenzao hadi akili iwakae sawa. Nilishaandika uzi kuwaonya kuhusu hili.
Hii sasa imevuka mipaka. Migogoro na ugomvi ni wa kutosha baada ya kudhulumiana pesa. Michezo ni mingi mno. Kuna hadi michezo ya vyombo. Michezo karibu yote haifuati sheria wala utaratibu unaoeleweka. Mbaya zaidi utakuta vikundi vingine ni vya ONLINE.
Wewe mwanamke wa Tanzania nakuamuru achana na huo upuuzi unaoitwa mchezo. Kama huna nidhamu ya pesa usidhani michezo itakusaidia. Hiyo hela unayotunza kila siku kwa kijumbe si uongezee mtaji wako wa biashara? Wengi wenu mmekuwa Low Profiled Pr○st!tut£s ili mpate hela za mchezo. Kuna ambao mnacheza michezo ya hela nyingi ndo mmekuwa hatarini...

- MamaSamia2025
- mikopo chechefu mikopo umiza wanawake wa tanzania
- Replies: 116
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko