Asubuhi hii napitia charts za financial instruments, nikaona Bitcoin inaendelea ku shoot kuelekea USD 100,000 kwa Bitcoin moja. Nimekuwa nikiiangalia Bitcoin tangu ikiwa USD 450 mwaka 2015.
Maana yake hata kwa miezi 3 ilopita imefanya move ya karibu USD 40,000 kutoka USD 50,000 mpaka USD 90,000...