Forex si ngumu ila unatakiwa utambue vitu viwili Market sessions na Moving Average 3 startegic.Utanishukuru wa sitaki pesa yako.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Neno “Forex” linatoka kwa Foreign Exchange Market, ambayo ni soko la kubadilishana fedha za kigeni. Kwa maneno rahisi ni sehemu ambapo watu, benki, mashirika makubwa, na wawekezaji huuza na kununua sarafu za kigeni.
Mfano Kubadilisha Dola za Marekani (USD) kuwa Euro (EUR) au Shilingi za Tanzania (TZS) kuwa Dola.
Washiriki wa masoko haya ni Benki kubwa na za kati,Makampuni yanayohitaji sarafu kwa biashara ya kimataifa ,Wafanyabiashara binafsi (retail traders),Serikali na taasisi za kifedha.

Sifa za forex Inafanya kazi saa 24 kwa siku, siku 5 kwa wiki.Ni soko kubwa zaidi duniani kwa kiasi cha fedha zinazozunguka biashara Inauzwa kwa jozi za sarafu (currency pairs) kama EUR/USD, GBP/USD, USD/JPY.

Katika forex kipindi cha saa za biashara za masoko makuu ya dunia, na hizi session zinaathiri sana volatility (mabadiliko ya haraka ya bei) na fursa za kufanya biashara.
forex-market-session.png

wa wafanyabiashara wengi wa Forex, hasa wapya. Watu wengi huingia sokoni bila kuzingatia session na volatility, na mara nyingi wanapoteza au kushindwa kupata faida.

Kuna Aina nne za session embu tufahamu tabia zake ili nikija na hizo mbinu muweze kuelewa kwanza.

Soko la Asian Session (Tokyo)​

Muda wake unaanzia Karibu 00:00 – 09:00 GMT (Tanzania: 03:00 – 12:00) ushikiliwa na ma soko ya Japan, Singapore, Hong Kong.
Sifa yake Bei huenda taratibu (slow) kwa jozi zisizo za Asia.Jozi maarufu: USD/JPY, EUR/JPY, AUD/JPY.

Soko la European Session (London)​

Muda wake unaanzia Karibu 08:00 – 17:00 GMT (Tanzania: 11:00 – 20:00)ushikiliwa na ma soko ya London, Germany, France
Sifa yake Volatility kubwa, fursa nyingi za scalping na breakout.Jozi maarufu: EUR/USD, GBP/USD, USD/CHF.

US Session (New York)​

Muda wake unaanzia Karibu 13:00 – 22:00 GMT (Tanzania: 16:00 – 01:00)ushikiliwa na ma soko la New York
Sifa yake soko la US hubeba nguvu kubwa, mchanganyiko na European session huleta spikes.Jozi maarufu: USD/JPY, EUR/USD, GBP/USD.

Sessions zinazokutana (Overlap)​

London – New York overlap (16:00 – 20:00 TZ) Hii ndiyo kibali cha biashara cha juu. Volatility ni kubwa, spreads ndogo, faida nyingi.
Tokyo – London overlap: Kidogo kidogo, si kama London-New York.

Hebu tuchukue mfano wa EUR/USD na tuone jinsi session inavyoweza kubadili hali ya soko.

Ndo umeingia sokoni na EUR/USD Tokyo Session (03:00 – 12:00 TZ) Katika Soko la ambalo Japan, Asia hali ya wakati huu, EUR/USD huenda taratibu, kwa sababu jozi hii haipo kwenye “home market” ya Tokyo.Upelekea Movement +5 pips tu kwa saa kadhaa hapo Faida ya biashara kupelekea kuwa Ndogo, mara nyingi spreads zinaonekana kubwa ikilinganishwa na movement. ndio maana Wafanyabiashara wengi hawaji hapa kwa sababu volatility ni ndogo.

Inapofikia London Session (11:00 – 20:00 TZ) Soko linakuwa London, Eurozone hapa Hali ya EUR/USD huanza kuongezeka kwa kasi. London ni “home market” ya Euro, hivyo liquidity inakua.Na Movement zinaongezeka+30 pips ndani ya saa chache, Kuna kuwa na Fursa za kujua soko kama Breakout trades, scalping, na swing trades ni rahisi unapofanya biashara, unaweza kutumia trend ya kweli badala ya “small choppy moves”.

Soko linapokutana London na New York (Overlap London – New York (16:00 – 20:00 TZ)) Hali ya Volatility inakua kwa kasi sana sababu jozi ya EUR/USD inapata nguvu ya juu, spread ndogo.News zenye impact kubwa ambapo tunafahamu marekani ni taifa kubwa na ndio ameshikiria USD mabadiliko makubwa yanaweza kutokea hapa.Sana sana Hatari soko la dhahabu na USD .Hapa Movement uongezeka +50 pips au zaidi, harakati kubwa za masaa machache hapa unaweza kutumia Fursa kama Scalpers na swing traders wote wanafanya vizuri
Tofauti: Hapa ndiyo soko lina “energy” kubwa zaidi, risk pia ni kubwa kama hauko makini.

Hii ni moja mfano:Kukupa mwanga
XiyhP5gQ_mid.png

Tuje kwenye Moving average 3 startegic.
Moving Average (MA) ni kipimo cha wastani cha bei cha mali (kama forex pair, hisa, au commodity) kwa kipindi fulani cha muda, ambacho kinaendelea “kusogeza” kadri siku zinavyozidi kupita.
Inachukua bei za mwisho za siku (au saa, dakika, nk.), inahesabu wastani, na kisha inaunda mstari unaoonyesha mwelekeo wa bei kwa muda.
grade4-moving-average-trend.png

Aina kuu za Moving Average(MA)​

  1. Simple Moving Average (SMA) Hii uchukulia Wastani wa kawaida wa bei za mwisho kwa kipindi maalum.
    Mfano: SMA ya 10 = wastani wa bei za siku 10 za mwisho.
  2. Exponential Moving Average (EMA) hii Inatoa uzito zaidi kwa bei za hivi karibuni.Hivyo inajibu haraka mabadiliko ya soko kuliko SMA.

​

INAVYOWEZA KUTUMIKA KAMA:
Kutambua trend (mwelekeo)
Mwelekeo wa Bei kuwa juu ya MA → soko linaweza kuwa bullish (kukuza)
Mwelekeo wa Bei kuwa chini ya MA → soko linaweza kuwa bearish (kupungua)

Support na Resistance
MA inaweza kufanya kama kizuizi cha bei (support/resistance)
Signals za kununua/kuuza
Mfano wa Crossovers(makutano yenye mfano mkasi): EMA fupi ikipita juu ya EMA refu → signali ya kununua (buy) na hivyo EMA fupi ikipita chini ya EMA refu → signali ya kuuza (sell).

Moving average inapatika kwenye platform yoyote kama tradeview,mt4/5 na sehemu nyingine.Zipo zinazouzwa ,bure na zengine zipo ndani ya platform.

Jinsi kama unatumia mt4/5 utaikuta indicator upande wa juu sio kwenye foder ili tutengeneze chart nzuri.
Nenda input --> indicator-->Moving average ikufungua utapata hivi setting inayotaka ujaze EMA.

EMA ya kwanza weka 200 chagua rangi mfano mimi nitaweka njano na chagua stari wenye bold kubwa.
NZDUSDM5qqq.png

Faida ya kutumia EMA 200 ni kwamba inajua soko lipo na wewe au kutokuwa na wewe kwenye mstari.Hii itakusaidia maamuzi ya kwanza kama Day trade direction.
mfano mwengine EMA 200.
XAUUSDH1sssssa.png

EMA 200 uchukua trend vizuri bila shida.

Tunaongeza ema 8 na 18 hizi utafanya hivyo hivyo na kuzitofautisha rangi na kupunguza mistari.iwe myembamba.
Mfano huu hapa
NZDUSDM5ssss.png

Faida Ema 8 na 18 zinapokutana kwa ujanja sema mkasi hapo ndio utoa maamuzi ya soko na pale ema 200 itakapo ingia kwenye mstari itakuwa imekupa jibu kama soko unabuy kwa mfano huu.

NOTE EMA 200 ndiyo inakwenda session kutambua muelekeo wa soko ili unapoingia sokoni kwa kutumia Ema 8 na 18 ndio zitakupa ufanye maamuzi.
Hapa EMA 8 na 18 zinapokutana unajua soko entry hipo wapi.
NZDUSDM5ddddd.png

Kama umekwama nitakuelekeza maana mda wa kuweka haya ni marefu.

Sitaki pesa ya mtu na kama unaweza kuingiza pesa kwenye forex uwezi kuomba pesa ya mtu anapotaka kufundishwa.
//-----------------------------------------SHITUKA ILI KWANZA -----------------------------------//
Usipende kuingia sokoni kama soko ujalielewa fatilia kwanza mwenendo wa soko fatilia Habari za huhakika sio za hawa mfano wa chiembe Tlaatlaah ChoiceVariable Lucas Mwashambwa MamaSamia2025 hii ni mifano ambayo kuna wachambuzi wa uchumi achana na hawa CCM wanaweza kukwambia uchumi unakua wakati pesa za kigeni zinapanda thamani.

Ni mewatumia hawa kama mnaowaona wanaotoa mapovu humu baada ya kuharibu maugari yao wanaotumia pesa za watu huko kwengine kwenye viofisi vyao.
ELIMU SIO UCHOYO ILI SOKO.
 
Pita kule ,tumeshapigiwa sana kelele kuhusu hii kitu karibia miaka 10 imepita
Hakuna jipya umeleta
 
Kiongozi kulikuwepo watu kabla yako ww na forex.
KAZI ni kipimo cha utu
Wapo wengi ndio maana kila siku wachezaji wa mpira wapo wapya na wanaostaafu.
 
Neno “Forex” linatoka kwa Foreign Exchange Market, ambayo ni soko la kubadilishana fedha za kigeni. Kwa maneno rahisi ni sehemu ambapo watu, benki, mashirika makubwa, na wawekezaji huuza na kununua sarafu za kigeni.
Mfano Kubadilisha Dola za Marekani (USD) kuwa Euro (EUR) au Shilingi za Tanzania (TZS) kuwa Dola.
Washiriki wa masoko haya ni Benki kubwa na za kati,Makampuni yanayohitaji sarafu kwa biashara ya kimataifa ,Wafanyabiashara binafsi (retail traders),Serikali na taasisi za kifedha.

Sifa za forex Inafanya kazi saa 24 kwa siku, siku 5 kwa wiki.Ni soko kubwa zaidi duniani kwa kiasi cha fedha zinazozunguka biashara Inauzwa kwa jozi za sarafu (currency pairs) kama EUR/USD, GBP/USD, USD/JPY.

Katika forex kipindi cha saa za biashara za masoko makuu ya dunia, na hizi session zinaathiri sana volatility (mabadiliko ya haraka ya bei) na fursa za kufanya biashara.
View attachment 3450242

wa wafanyabiashara wengi wa Forex, hasa wapya. Watu wengi huingia sokoni bila kuzingatia session na volatility, na mara nyingi wanapoteza au kushindwa kupata faida.

Kuna Aina nne za session embu tufahamu tabia zake ili nikija na hizo mbinu muweze kuelewa kwanza.

Soko la Asian Session (Tokyo)​

Muda wake unaanzia Karibu 00:00 – 09:00 GMT (Tanzania: 03:00 – 12:00) ushikiliwa na ma soko ya Japan, Singapore, Hong Kong.
Sifa yake Bei huenda taratibu (slow) kwa jozi zisizo za Asia.Jozi maarufu: USD/JPY, EUR/JPY, AUD/JPY.

Soko la European Session (London)​

Muda wake unaanzia Karibu 08:00 – 17:00 GMT (Tanzania: 11:00 – 20:00)ushikiliwa na ma soko ya London, Germany, France
Sifa yake Volatility kubwa, fursa nyingi za scalping na breakout.Jozi maarufu: EUR/USD, GBP/USD, USD/CHF.

US Session (New York)​

Muda wake unaanzia Karibu 13:00 – 22:00 GMT (Tanzania: 16:00 – 01:00)ushikiliwa na ma soko la New York
Sifa yake soko la US hubeba nguvu kubwa, mchanganyiko na European session huleta spikes.Jozi maarufu: USD/JPY, EUR/USD, GBP/USD.

Sessions zinazokutana (Overlap)​

London – New York overlap (16:00 – 20:00 TZ) Hii ndiyo kibali cha biashara cha juu. Volatility ni kubwa, spreads ndogo, faida nyingi.
Tokyo – London overlap: Kidogo kidogo, si kama London-New York.

Hebu tuchukue mfano wa EUR/USD na tuone jinsi session inavyoweza kubadili hali ya soko.

Ndo umeingia sokoni na EUR/USD Tokyo Session (03:00 – 12:00 TZ) Katika Soko la ambalo Japan, Asia hali ya wakati huu, EUR/USD huenda taratibu, kwa sababu jozi hii haipo kwenye “home market” ya Tokyo.Upelekea Movement +5 pips tu kwa saa kadhaa hapo Faida ya biashara kupelekea kuwa Ndogo, mara nyingi spreads zinaonekana kubwa ikilinganishwa na movement. ndio maana Wafanyabiashara wengi hawaji hapa kwa sababu volatility ni ndogo.

Inapofikia London Session (11:00 – 20:00 TZ) Soko linakuwa London, Eurozone hapa Hali ya EUR/USD huanza kuongezeka kwa kasi. London ni “home market” ya Euro, hivyo liquidity inakua.Na Movement zinaongezeka+30 pips ndani ya saa chache, Kuna kuwa na Fursa za kujua soko kama Breakout trades, scalping, na swing trades ni rahisi unapofanya biashara, unaweza kutumia trend ya kweli badala ya “small choppy moves”.

Soko linapokutana London na New York (Overlap London – New York (16:00 – 20:00 TZ)) Hali ya Volatility inakua kwa kasi sana sababu jozi ya EUR/USD inapata nguvu ya juu, spread ndogo.News zenye impact kubwa ambapo tunafahamu marekani ni taifa kubwa na ndio ameshikiria USD mabadiliko makubwa yanaweza kutokea hapa.Sana sana Hatari soko la dhahabu na USD .Hapa Movement uongezeka +50 pips au zaidi, harakati kubwa za masaa machache hapa unaweza kutumia Fursa kama Scalpers na swing traders wote wanafanya vizuri
Tofauti: Hapa ndiyo soko lina “energy” kubwa zaidi, risk pia ni kubwa kama hauko makini.

Hii ni moja mfano:Kukupa mwanga
View attachment 3450261

Tuje kwenye Moving average 3 startegic.
Moving Average (MA) ni kipimo cha wastani cha bei cha mali (kama forex pair, hisa, au commodity) kwa kipindi fulani cha muda, ambacho kinaendelea “kusogeza” kadri siku zinavyozidi kupita.
Inachukua bei za mwisho za siku (au saa, dakika, nk.), inahesabu wastani, na kisha inaunda mstari unaoonyesha mwelekeo wa bei kwa muda.
View attachment 3450266

Aina kuu za Moving Average(MA)​

  1. Simple Moving Average (SMA) Hii uchukulia Wastani wa kawaida wa bei za mwisho kwa kipindi maalum.
    Mfano: SMA ya 10 = wastani wa bei za siku 10 za mwisho.
  2. Exponential Moving Average (EMA) hii Inatoa uzito zaidi kwa bei za hivi karibuni.Hivyo inajibu haraka mabadiliko ya soko kuliko SMA.

​

INAVYOWEZA KUTUMIKA KAMA:
Kutambua trend (mwelekeo)
Mwelekeo wa Bei kuwa juu ya MA → soko linaweza kuwa bullish (kukuza)
Mwelekeo wa Bei kuwa chini ya MA → soko linaweza kuwa bearish (kupungua)

Support na Resistance
MA inaweza kufanya kama kizuizi cha bei (support/resistance)
Signals za kununua/kuuza
Mfano wa Crossovers(makutano yenye mfano mkasi): EMA fupi ikipita juu ya EMA refu → signali ya kununua (buy) na hivyo EMA fupi ikipita chini ya EMA refu → signali ya kuuza (sell).

Moving average inapatika kwenye platform yoyote kama tradeview,mt4/5 na sehemu nyingine.Zipo zinazouzwa ,bure na zengine zipo ndani ya platform.

Jinsi kama unatumia mt4/5 utaikuta indicator upande wa juu sio kwenye foder ili tutengeneze chart nzuri.
Nenda input --> indicator-->Moving average ikufungua utapata hivi setting inayotaka ujaze EMA.

EMA ya kwanza weka 200 chagua rangi mfano mimi nitaweka njano na chagua stari wenye bold kubwa.
View attachment 3450279

Faida ya kutumia EMA 200 ni kwamba inajua soko lipo na wewe au kutokuwa na wewe kwenye mstari.Hii itakusaidia maamuzi ya kwanza kama Day trade direction.
mfano mwengine EMA 200.
View attachment 3450283

EMA 200 uchukua trend vizuri bila shida.

Tunaongeza ema 8 na 18 hizi utafanya hivyo hivyo na kuzitofautisha rangi na kupunguza mistari.iwe myembamba.
Mfano huu hapa
View attachment 3450289
Faida Ema 8 na 18 zinapokutana kwa ujanja sema mkasi hapo ndio utoa maamuzi ya soko na pale ema 200 itakapo ingia kwenye mstari itakuwa imekupa jibu kama soko unabuy kwa mfano huu.

NOTE EMA 200 ndiyo inakwenda session kutambua muelekeo wa soko ili unapoingia sokoni kwa kutumia Ema 8 na 18 ndio zitakupa ufanye maamuzi.
Hapa EMA 8 na 18 zinapokutana unajua soko entry hipo wapi.
View attachment 3450341
Kama umekwama nitakuelekeza maana mda wa kuweka haya ni marefu.

Sitaki pesa ya mtu na kama unaweza kuingiza pesa kwenye forex uwezi kuomba pesa ya mtu anapotaka kufundishwa.

ELIMU SIO UCHOYO ILI SOKO.
Lipia tangazo. Kuna watu wataingia mkenge wapigwe! Kalaghabao!
 
Huyu jamaa labda ni mgeni hapa! Kuna watu wanalia mpaka kesho kwa njia kama hii ya mleta mada. Tafuta njia nyingine! Hii old fassion!
Umesoma au ulikuwa unaangalia picha nilichokisema.Usitafute umaarufu wa kinyeo kunuka mdomo.
Soma Hapo kichwa cha Habari

Forex si ngumu ila unatakiwa utambue vitu viwili Market sessions na Moving Average 3 startegic.Utanishukuru wa sitaki pesa yako.​

Na mwisho wa uzi.
 
Unamaliza karatasi, unaleta jangwa, unajaza servers
Umesoma au ulikuwa unaangalia picha nilichokisema.Usitafute umaarufu wa kinyeo kunuka mdomo.
Soma Hapo kichwa cha Habari

Forex si ngumu ila unatakiwa utambue vitu viwili Market sessions na Moving Average 3 startegic.Utanishukuru wa sitaki pesa yako.​

Nondo ni za kweli
Issue ni prediction of foreign exchange rate variability
Ingekua rahisi kila mtu angepiga hela
Ndio maana kuna theory kibao ikiwemo na random walk etc
Labda tusubirie age ya AI ingawa market behaviors inatokana na input factors not only computed variables
 
tatizo kubwa kwa wengi wanaoingia kwenye forex sio kwamba mbinu hazifanyi kazi, bali ni hizi changamoto kama Wengi huingia sokoni bila kuelewa pair wanazofanyia biashara, bila kuangalia trend ya muda mrefu, nguvu za sessions (Tokyo, London, New York), wala impact ya news. Matokeo yake ni kuingia order hovyo.
Wafanyabiashara wengi huona candle mbili tatu zikionyesha mwelekeo fulani na kuingia haraka bila subira ya kusubiri confirmation. Hii inatokana na "fear of missing out (FOMO)" – hofu ya kukosa nafasi.Hata kama signal ni nzuri, bila kujua wapi pa kuweka Stop Loss (SL), Take Profit (TP), au ukubwa sahihi wa lot size kulingana na account, trader atapoteza haraka.
wengine Kushindwa kutofautisha tofauti kubwa kati ya trend (up/downtrend) na consolidation. Wengi huingia trade bila kujua soko lipo kwenye range au linaendelea na trend, hivyo trade hukwama au kupoteza.
 
Back
Top Bottom