Forex si ngumu ila unatakiwa utambue vitu viwili Market sessions na Moving Average 3 startegic.Utanishukuru wa sitaki pesa yako.

Forex si ngumu ila unatakiwa utambue vitu viwili Market sessions na Moving Average 3 startegic.Utanishukuru wa sitaki pesa yako.

nikiona tu forex naliona jengo la "jangid plaza"
Naomba ni kuulize we unajuwaje leo pesa ya nchi fulani na pesa yako kuwa yako imeshuka au imepanda ukinijibu ilo utaacha kukurupa kujibu
 
Uo upuuzi wa MA EMA Nishaukacha miaka mitatu iliyopita sijui trendline sijui nini . I use simple strategy. Hii game kila mtu ni mwalim ila walimu sahihi ni wachache sana
 
Umesoma au ulikuwa unaangalia picha nilichokisema.Usitafute umaarufu wa kinyeo kunuka mdomo.
Soma Hapo kichwa cha Habari

Forex si ngumu ila unatakiwa utambue vitu viwili Market sessions na Moving Average 3 startegic.Utanishukuru wa sitaki pesa yako.​

Sawa mkuu
2025 sio mda wa kuelezea bullish na bearish ,trading sessions mkuu. hii ni JF
Atleast njoo na vitu vipya
 
Uo upuuzi wa MA EMA Nishaukacha miaka mitatu iliyopita sijui trendline sijui nini . I use simple strategy. Hii game kila mtu ni mwalim ila walimu sahihi ni wachache sana
Kitu kimoja nacho kigundua kwa watanzania wakiona umewasanua watu wanaibuka watu kama wewe kukipinga ili waonekane si kweli.Kama una ubinafsi baki nao wewe hatuja kuomba.Matokeo yako
 
Uo upuuzi wa MA EMA Nishaukacha miaka mitatu iliyopita sijui trendline sijui nini . I use simple strategy. Hii game kila mtu ni mwalim ila walimu sahihi ni wachache sana. Afu saiv si alzima utumie mtaji wako ipo propfirm inakupa tu masharti unatrade mtaji wao profit unachukuwa
 
Sawa mkuu
2025 sio mda wa kuelezea bullish na bearish ,trading sessions mkuu. hii ni JF
Atleast njoo na vitu vipya
Ujibu hoja unakuja na vikwaazo hoja shida mtalia sana mnaokula pesa za watu na kufungua viofisi vyenu uchwara kutwa kujisifu mitandaoni mnafanya forex insta.
 
Kitu kimoja nacho kigundua kwa watanzania wakiona umewasanua watu wanaibuka watu kama wewe kukipinga ili waonekane si kweli.Kama una ubinafsi baki nao wewe hatuja kuomba.Matokeo yako
Nimepinga nini we ni begginer ayo mambo tumejifunza babypips.com mika 7 iliyopita hakuna mtu makini anetumia izo EmA, MA, naweza kusapot ktk session tu . Secreat sauce the profitable trading zipo kwa watu waliofanya research zao na ku implement strong strategies zinazowork ktk current marekt. Ulichoandika ni outdated
 
Sijui shida yako nini kwanza ?.
Sijui nimesanua kitu ambacho mimi naona na kinafanya kazi kila siku ukaona na kuzibia wengine wasijue?.
Hivi tuambie basi wewe mwenye kujua soko utueleze unaleta babypips au we ndo uliposoma huko kuwa na sisi tumesoma huko.
Mimi na uzoefu wa soko miaka 16 haya wewe una nini ?.Unazani hapa nimekuja kuleta showoff au kushirikisha mawazo. Na kupeana maujuzi
 
mimi ninavyoona migraph ya kutisha, na miterminologies mingi ya kiuchumi. hata mzuka wa kuifuatilia nakosa. naiona ina mambo meeeeeengi.

forex ni kwa wasomi wa uchumi. betting ni kwa yeyote.
Kuna mada hapa ukiwaletea watu achana na forex unaweza kuleta mada za quantum fiziki ukashangaa mchambuzi wa michezo ya mpira anakuja kupinga mada.
 
tatizo kubwa kwa wengi wanaoingia kwenye forex sio kwamba mbinu hazifanyi kazi, bali ni hizi changamoto kama Wengi huingia sokoni bila kuelewa pair wanazofanyia biashara, bila kuangalia trend ya muda mrefu, nguvu za sessions (Tokyo, London, New York), wala impact ya news. Matokeo yake ni kuingia order hovyo.
Wafanyabiashara wengi huona candle mbili tatu zikionyesha mwelekeo fulani na kuingia haraka bila subira ya kusubiri confirmation. Hii inatokana na "fear of missing out (FOMO)" – hofu ya kukosa nafasi.Hata kama signal ni nzuri, bila kujua wapi pa kuweka Stop Loss (SL), Take Profit (TP), au ukubwa sahihi wa lot size kulingana na account, trader atapoteza haraka.
wengine Kushindwa kutofautisha tofauti kubwa kati ya trend (up/downtrend) na consolidation. Wengi huingia trade bila kujua soko lipo kwenye range au linaendelea na trend, hivyo trade hukwama au kupoteza.
fungua PM
 
Forex ni Avitor iliyochangamka muda wowote kinaumana
Kama ujawahi kufanya hata biashara kununua bidhaa nchi yoyote kuna siku utakuja kusema mungu ni kindege.
 
fungua PM
Washakuja wengi na wachana makavu.Yani niweze kujipatia pesa nitake pesa na kuendesha maisha ,sasa nitakuwa nani na pia sitegemei pesa za watu kufundisha elimu fupi yani hapo si ujinga sasa na utapeli.
 
Fanya kazi acha ujinga
Mjinga alianza mama yako kuzaa jinga likawa ng'ombe wa mkulima kama wewe.Unazani hapa tumekuja kufanya ya wasanii kuomba pesa na ujinga wako ukitaka nchi inaelekea wapi tutakupa za kinyeo,ukitaka kujua mama yako anauza mazao ya nchi za nje au pesa yako hipo wapi tutamuuliza mama yako.
 
Back
Top Bottom