marketing

  1. toto zuli

    Msaada kwa wanaoifahamu kozi ya Business Administration with Education

    Naombeni ushauri kuhusu hii kozi ya Business Administration with Education, kama nikisomea naweza fanya kazi za aina gani?
  2. M

    Mfanyakazi wa marketing anahitajika katika shule ya udereva

    Sifa 1.Uwezo wa kujieleza na kumshawishi mtu 2. Mbunifu katika kuteka soko na mwenye uwezo wakutumia mitandao pia katika kufikia watu wengi zaidi kwa mda mfupi 3. Mwenye uwezo wakufanya kazi yenye matokeo kwa uaminifu mkubwa na bila usimamizi 4. Elimu kuanzia kidato cha nne nakuendelea 5. Wadada...
  3. CHENGU MANURE

    Sales and Marketing Skills: Hii ndio elimu ya juu kabisa kila mwanachuo anatakiwa kuifahamu bila kujali kozi aliyosoma hata akisahau mengine yote

    Hata uwe mbunifu mkubwa kiasi gani huwezi kunufaika ikiwa hujui jinsi ya kuuza ulichobuni. Ukiamua kuingia katika ujasiriamali bila hii elimu utajikuta unapiga marktime na kurudi katika kuuza CV. Tujitahidi
  4. Jamii Opportunities

    Nafasi za kazi, Sales and Marketing Manager at Guardian Limited

    The Guardian Limited (TGL), widely acclaimed as the Home of Great Newspapers, is part of the IPP Group of Companies – one of Tanzania’s leading private sector entities with dignified presence in the print media as well as television and radio broadcasting. TGL currently publishes two upmarket...
  5. maroon7

    Biashara ya branding na marketing agency

    Wakuu napenda wenye kuijua hii biashara ya branding na marketing agency/promotions. Tupeane ujuzi maana ni biashara ninayotaka kuifanya maana makampuni mengi yana outsource marketing/ promotion ya bidhaa zao au uzinduzi wa chupa mpya na ukipata makampuni makubwa unavuta pesa ndefu. Tupeane...
  6. O

    Ennovate Hub Start-Up Incubation Program

    Do you have an innovative business Idea? Are you currently looking for full time support to help you launch your startup? We are offering a limited slot to few aspiring and budding entrepreneurs to join our incubation program Product development support Practical session in Business Plan...
Back
Top Bottom