Katika kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwapanga wafanyabiashara wadogo maarufu machinga katika maeneo maalum, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imesema ifikapo Septemba 24 mwaka huu, hakuna machinga atakayeendelea kubaki mtaani baada ya kukamilika ujenzi wa mradi wa soko la wazi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amepiga marufuku walimu kupita kila Ofisi ya Halmashauri kutafuta huduma na ameagiza wapelekewe huduma hizo shuleni badala ya watoa huduma kufatwa Ofisini.
Ametoa agizo hilo leo tarehe 8 Septemba...
Na, Robert Heriel
Vikoba ni msaada mkubwa kwa watu wasioweza kuhifadhi pesa, watu wasio na msukumo wa kutafuta pesa. Vikoba humsaidia mtu kupata msukumo wa kutafuta pesa ili apate pesa ya marejesho.
Vikoba vina faida nyingi sana, lakini faida kuu ni msukumo wa kutafuta pesa iwe kwa halali au...
Karibu sana mpenzi msomaji na mdau wa JamiiForums katika Somo la leo ambako tunakwenda kujifunza kuhusiana na ulinzi wa mtoto (Child Protection) hasa katika mazingira hatarishi kwa ustawi bora wa mtoto.
Leo tunaangazia zaidi kifungu cha 17(1, 2, & 3) cha Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 sura ya 13...
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Habari na Utamaduni ya Shirikisho nchini humo imesema serikali inataka kulinda vipaji vya ndani na kukuza uchumi.
Kwa mujibu wa Wizara ya Habari, kuanzia sasa watangazaji, matangazo na bidhaa zote za masoko na mawasiliano nchini humo zinatakiwa kuwatumia...
Mamlaka ya udhibiti wa vyombo vya habari vya utangazaji ya Pakistan, PEMRA, imezipiga marufuku televisheni nchini humo kurusha matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa waziri mkuu wa zamani Imran Khan aliopanga kuufanya hii leo.
Marufuku hiyo ilitolewa jana jioni, ikiwa ni siku ambayo Khan...
Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa kwa kuvaa mavazi ya "aibu" anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela kwa kuvaa “uchafu hadharani” Wendesha mashtaka wameomba azuiwe rumande kwa siku 30
Liliane Mugabekazi alikamatwa Agosti 7 baada ya kuhudhuria tamasha la mwanamuziki maarufu...
Maisha ya kawaida yanaripotiwa kurejea katika Mji wa Freetown baada ya maandamano ya wiki iliyopita ya kupinga gharama kubwa ya maisha na ukiukwaji uliokithiri wa haki za binadamu
Mashuhuda wamesema Polisi waliwatawanya waandamanaji kwa risasi za moto huku takriban raia 20 na maafisa wa polisi...
Makamu wa Rais, Mohamed Juldeh Jalloh ametangaza amri ya kutotoka nje kwa nchi nzima huku kukiwa na maandamano makubwa dhidi ya Serikali, kupinga kuongezeka kwa mfumuko wa bei na migogoro ya kiuchumi
Maafisa wawili wa Polisi wameuawa huku Makumi ya waandamanaji wakishikiliwa katika makabiliano...
Eti wadau ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kuilamba na kunywa mchuzi wake utakuwa umevunja kanuni?
Case study Haji manara! Sikio la kufa!
Kaonekana akitangaza leo taifa, kwa haiba yake akiguswa na TFF atakuwa kaonewa? Tueleweshane hapo! AU makundi maalum...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amepiga marufuku ununuzi wa mazao ya wakulima kwa kutumia vipimo visivyokuwa rasmi ikiwemo ujazo ulizidi yaani lumbesa
Alitoa agizo hilo jana alipokuwa akizindua Maonesho ya Wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika viwanja vya John Mwakangale...
Wanaanga wa anga za juu wamepigwa marufuku kupiga punyeto wakiwepo anga za juu.
Hii inatokana na uwezekano wa wao kuwapa mimba viumbe wengine wa anga za juu na hivyo kuzaa viumbe hybrid ya binadamu na 👽 alien.
Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu kama Mkongo kwa binadamu, na kwamba tayari limekwishaifutia usajili baada ya kubaini imechanganywa na dawa za kuongeza nguvu za kiume (Viagra).
Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba...
Malori manne ya mafuta ya Kampuni ya Lake Oil yamekamatwa Mkoani Songwe yakiwa yamebeba shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku Nchini ambayo yalikuwa yakitokea DRC huku madereva wa magari hayo wakiyatelekeza.
Meneja Ukaguzi wa Kampuni ya Lake Oil, Ali Sharif amesema magari yao yana mfumo wa...
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limepiga marufuku hatua ya walinzi wa jadi maarufu kama Sungusungu kukamata wahalifu na kuwashushia vipigo vizito ambavyo wakati mwingine vimekuwa vikiwapelekea kupoteza maisha kabla ya kufikishwa mikononi mwa Polisi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Richard...
Waziri wa Usalama nchini humo, Jenerali Idriss Dokony Adiker amesema uamuzi huo ni kupambana biashara haramu ya watu na wimbi la wasichana wadogo kutumikishwa kingono katika nchi jirani
Aidha katazo hilo linapiga marufuku mashirika ya ndege na mashirika ya uchukuzi kuchukua wasichana wadogo...
Hii sheria inapitishwa miongoni mwa malengo ni kulinda watoto juu ya kuathiriwa na maswala yanayohusiana na LGBT nchini Urusi.
Tumeona nchi kama Belarus wangese wamepigwa marufuku kabisa.
Tukumbuke pia tokea hii operation ianze LGBT walikua wakipiga vita Urusi na kufikia kuchoma hata bendera...
Serikali ya Iran imetoa orodha ya Watu 61 wa Marekani kuwa hawaruhusiwi kuingia Iran kutokana na madai ya kuunga mkono kikundi cha ugaidi Mojahedin-e Khalq (MEK) ambacho kinashutumiwa kwa kufanya mauaji ya watu 17,000 Nchini humo kwa miaka kadhaa iliyopita.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo.
13 July 2022
Simiyu, Tanzania,
MCHOMOKO"
Posted On: July 13th, 2022
RC SIMIYU APIGA MARUFUKU MICHOMOKO KUBEBA ABIRIA.
MKUU wa mkoa wa Simiyu,David Kafulila amepiga marufuku kwa magari madogo ya abiria yanafanya biashara ya kusafirisha watu maarufu kwa jina la Michomoko katika mkoa huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.