marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Justine Marack

    Marufuku ya Bweni Shule za Msingi, Serikali imekurupuka

    Serikali imepiga marufuku kwa shule zinazotoa huduma yela bweni kusitisha kwa watoto wa shule za swali mpaka darasa la nne. Shule zemeelekezwa kufanya hivyo baada ya kumalizika muhula wa kwanza mwaka huu. Ukiangakia ni kwamba huu ni uamuzi ambao umekee sikiasa na kihisia zaidi. Moja kati ya...
  2. Msitari wa pambizo

    Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo. Hivi mama...
  3. Dr Msaka Habari

    Wafanyabiashara wa Ferri, Kigamboni marufuku kufanya biashara pembezoni mwa barabara

    Na. Jonathan Kalunga Wafanyabiashara wa ferri watakiwa kuepuka kufanya biashara pembezoni mwa barabara, mpaka pale watakapo tafutiwa maeneo mazuri kwa ajili ya shughuli zao. Katazo hilo limetolewa na Diwani wa Kata ya Kigamboni Dotto Msawa, alipowahutubia wafanyabiashara hao Mara baada ya...
  4. Nyendo

    Zanzibar: Midoli ya kutangazia nguo zisizo na stara yapigwa marufuku kuwekwa nje ya maduka

    Mkuu wa Wilaya ya Mjini Magharibi Unguja, Rashid Simai Msaraka amepiga marufuku, Wafanyabiashara wa Wilaya hiyo kuweka midoli yenye nguo zisizo za staha nje ya maduka yao. DC Msaraka ametoa kauli hiyo baada ya kukutana na Mfanyabiashara maeneo ya Kwahani Zanzibar akiwa ameweka midoli hiyo nje...
  5. Kiranja Mkuu

    Meja Jenerali Francis Takirwa: Msiwatibu mashoga kwenye hospitali zetu za jeshi

    ========== Don’t treat homosexuals in our facilities, says Maj Gen Takirwa The Deputy Commander Land Forces Maj Gen Francis Takirwa has asked health workers to stop treating homosexuals in public health facilities. Maj Gen Takirwa made the statement on Sunday when the Uganda People’s Defence...
  6. C

    Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda leo February 13, 2023 kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya Elimu Sura 353 amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada katika Shule za umma na binafsi nchini. Vitabu vya 16 vilivyopigwa marufuku vimekutwa...
  7. M

    Sumbawanga: Disko zipigwe Marufuku mashuleni

    Katika pitapita zangu basi nikakutana na wanafunzi (KE na ME) wakicheza Disko huku mwanaume akiwa amemkumbatia mwanafunzi mwenzake wa kike. Nimejifikiria sana manufaa ya huu uchafu mashuleni nikaona kwanini serikali isiharamishe huu upumbavu huko mashuleni? Angalia hii video chini harafu utoe...
  8. Frumence M Kyauke

    Sababu za ngao (push bumper) kupigwa marufuku baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania

    Ngao, kama zinavyojulikana na wengi au kwa kiingereza bull bar, au push bumper, brush guard, moose bumper, etc, ni vyuma vinavyowekwa mbele ya uso wa gari au wengine husema bampa la mbele ya gari, kwa sababu mbalimbali ikiwemo kupendezesha muonekano wa gari. Hata hivyo, jina lenyewe bull bar...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    Waovu husutwa na dhamiri zao. Wimbo huu ulipigwa marufuku na UVCCM. Je, uliwaudhi nini?

    BOMOA TUTAJENGA KESHO WOTE- Bomoae Bomoae Bomoa mama tutajenga kesho imaa, Tujajenga kesho imaa x2 JENIFA NDESILE-Imaao enyi watoto wazuri wote, njoni tucheze leo bomoa WOTE- Bomoae Bomoae Bomoa mama tutajenga kesho imaa, Tutajenga kesho imaaa ASSOSSA- O betu bayai yoyoyo bomoa WOTE- Bomoae...
  10. NASIRIYA

    Marufuku Mtanzania kujiunga Jeshi la nchi nyingine

    Tax apiga marufuku kwa watazania kujiunga na la Jeshi la nchi nyengine. Alisema kwa mujibu wa sheria zao Mtanzania yoyote haruhusiwi kujiunga na Jeshi la nchi yoyote isipokuwa Jeshi la Tanzaia tu na kufanya hivyo kuvunja sheria za nchi. --- SERIKALI: ‘Fuateni sheria na taratibu mkiwa nje ya...
  11. Cannabis

    Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku "Vipipi" vinavyotumiwa na wanawake kubana uke na kuongeza mvuto

    Serikali ya Zanzibar kupitia Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) imemzuia Mfanyabiashara Maryam Shaaban kutoendelea kuuza bidhaa za Lump Sugar maarufu ‘vipipi’ inayodaiwa kutumiwa na Wanawake kujiweka sehemu za siri ili kupata mvuto na kubana maumbile yao. Pia soma...
  12. tpaul

    Serikali ipige marufuku utazamaji wa tamthlia hapa nchini

    Inasikitisha sana mtoto wa darasa la saba kutofahamu historia ya nchi yake. Juzi nilimsikia kiongozi mmoja wa serikali akiwahoji baadhi ya wanafunzi maswali mepesi kabisa lakini wakashindwa kujibu. Ni aibu kubwa sana mwanafunzi wa darasa la saba anayetarajia kufanya mtihani wa kitaifa miezi 8...
  13. K

    Ni kipi kitatokea kwa wahitimu wa vyuo pindi michezo ya kubashiri ikipigwa marufuku?

    Nauliza hili swali nikiwa kwenye kibanda cha kubet huku mtaani kwangu
  14. Lycaon pictus

    Subufa zingepigwa marufuku

    Zamani wapiga ngoma walikuwa wanaanika au wanapasha ngoma zao karibu na moto ili zitoe mlio mzuri. ngoma ambayo haijakauka vizuri hulia vibaya na inakera sana. Sasa ndivyo zilivyo sabufa. Zinalia kama ngoma iliyolowa. Ukikaa karibu na mtu mwenye sabufa au inapopigwa ni kero sana. Napendekeza...
  15. Teko Modise

    Waziri Mkenda: Marufuku wanafunzi kurudishwa nyumbani kisa ada

    Tunaenda kujenga Taifa la namna gani? Yaani Waziri wa Elimu anatoa tamko wanafunzi wasirudishwe nyumbani kwa kukosa ada hata kwa shule binafsi. Sasa shule binafsi zitakidhi vipi mahitaji yake kama kununua vifaa vya kufundishia na kulipa mishahara walimu kama wazazi hawalipi ada? Kazi ipo.
  16. Mystery

    Siwaelewi CCM: Magufuli alipopiga marufuku mikutano ya kisiasa walipongeza, sasa hivi Samia kairuhusu wanapongeza pia!

    Kwa kweli sielewi kabisa misimamo ya wana-ccm, wakati ule mara tu alipoingia madarakani mwaka 2016, Rais wa wakati huo, Hayati Magufuli, alipopiga marufuku mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, huku akijua wazi kuwa anaisigina Katiba ya nchi, walijitokeza wana-ccm kibao, waliopongeza hatua...
  17. BARD AI

    Zimbabwe yapiga marufuku usafirishaji nje Madini ya Lithium

    Wizara ya Madini na Maendeleo imesema mauzo yote ya Madini ya Lithiam nje ya Nchi yamesitishwa baada ya Uchunguzi kuonesha kuna upotevu wa Tsh. Trilioni 4.2 kila mwaka kutokana na kuuzwa kama Madini Ghafi badala ya kutengeneza Betri halisi. Lithium inayofahamika kama Dhahabu Nyeupe hutumika...
  18. J

    Zanzibar turudishe heshima yetu, tuige mfano mzuri wa Qatar, pombe ipigwe marufuku kabisa

    Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa. Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k. Ni...
  19. Raphael Thedomiri

    UN yaingilia kati marufuku ya wanawake kusoma Afghanistan.

    Baraza la usalama la Umoja wa mataifa Jumanne limeomba wanawake na wasichana nchini Afghanistan washirikishwe kikamilifu na kwa usawa, likilaani marufuku kwa wanawake kusoma kwenye vyuo vikuu au kufanya kazi kwenye mashirika ya misaada ya kibinadamu, iliyowekwa na utawala unaoongozwa na...
  20. Dalton elijah

    Taliban yapiga marufuku wanawake kujiunga vyuo vikuu Afghanistan

    Utawala wa Taliban Nchini Afghanistan umeamuru kupiga marufuku kwa muda usiojulikana elimu ya chuo kikuu kwa wanawake wa nchi hiyo. Taarifa Iliyo Tolewa na wizara ya elimu ya juu ilisema katika barua iliyotumwa kwa vyuo vikuu vyote vya serikali na vya kibinafsi. "Nyote mnaarifiwa kutekeleza...
Back
Top Bottom