marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  2. Lord denning

    Kwa Marufuku hizi za Zanzibar ni wakati muafaka wa Mikoa ya Pwani kukamata fursa ya Utalii

    Utajiri wa uswizi leo hii umechangiwa sana na namna ambavyo walitumia mwanya wa kutengeneza Sheria nzuri zilizowafanya matajiri wengi wa ulaya kupeleka fedha zao Uswizi kwa kuwa nchi za ulaya zilitengeneza Sheria kali sana za kodi baada ya vita kuu ya pili ya Dunia. Leo hii Zanzibar wametangaza...
  3. Chachu Ombara

    Zanzibar: Marufuku kucheza kwa kulowanisha nguo

    Serikali ya Zanzibar kupitia Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni imepiga marufuku mtindo wa Wanawake kulowesha kwenye maji nguo walizovaa na kisha kucheza nazo mziki kama ambavyo imekua ikifanyika kwenye baadhi ya sherehe ama mikusanyiko. Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya...
  4. Ganda Mweri

    TFF pigeni marufuku Ile shangilia ya Tariq Seif

    Nikiwa kama mmojawapo ya wadau wakubwa wa soka la nchi hii, na muumini wa maadili mema katika Kila nyanja, sipendezwi na Ile shangilia. Kwa wadau wote wa mpira nadhani mnaona Ile shangilia hadi Hawa vijana wa u-20, wa hizi Timu za ligi kuu wameiga. Ni aina ya ushangiliaji wa udhalilishaji na...
  5. Suley2019

    Tetesi: Yanga yadaiwa kufungiwa kusajili

    Wakuu inadaiwa timu ya yanga imefungiwa kusajili kutokana na kukiuka hukumu iliyotolewa na vyombo vya maamuzi vya FIFA. Je taarifa hizi zina ukweli wowote?
  6. BARD AI

    Mwaka 2018 DP World ilipigwa Marufuku Nchini Somalia na Mkataba wake kuitwa Batili na Usiotekelezeka

    Mwaka 2018, Somalia ilipiga marufuku kampuni ya bandari ya Dubai DP World kufanya kazi nchini Somalia, ikisema kuwa mkataba ambao kampuni hiyo ilitia saini mwaka 2017 na eneo lililojitenga la Somaliland ili kuendeleza eneo la kiuchumi ni batili na hautekelezeki Bila kueleza kwa undani, Bunge la...
  7. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yapiga Marufuku Kuingiza Malighafi ya Chumvi Kutoka Nje kwa Viwanda vya Ndani

    SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUINGIZA MALIGHAFI YA CHUMVI KUTOKA NJE KWA VIWANDA VYA NDANI "Mkakati wa Serikali kuvutia wawekezaji katika sekta ya Chumvi unaendelea ikiwa ni pamoja na kutenga eneo lenye ukubwa wa Hekari 168 katika Wilaya ya Kilwa kwaajili ya wawekezaji Wenye nia ya kuchakata...
  8. FRANCIS DA DON

    Kuanzia sasa iwe ni marufuku kutuita Tanzania bara, ni Tanganyika

    Zanzibar ikiwa adressed inaitwa Zanzibar, ila Tanganyika tunaitwa Tanzania bara, kwanini? Mfano, bandari zilizogawiwa bure kwa DP world ni za Tanganyika tu, ila badala yake wanasema ni za Tanzania Bara ili kuua uhalisia na ukakasi uliopo.
  9. BARD AI

    Serikali yapiga Marufuku matumizi na biashara ya 'Vumbi la Kongo na Akayabagu'

    Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa hazijathibitishwa ubora wake. Hayo yamesemwa jana Ijumaa, Juni 23, 2023 na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Hamis...
  10. Nyendo

    Benki Kuu: Shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusiwa kutumika nchini

    Benki Kuu ya Tanzani imeukumbusha umma kuwa kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006 kinaelekeza kuwa shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusia kutumika nchini, hivyo hakuna Mtu au Kampuni yoyote inayoruhusiwa kuikataa kwa malipo yoyote halali na kwamba...
  11. BARD AI

    Waziri Bashe apigilia Msumari marufuku ya kuuza Mazao nje ya Nchi

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kilichozuiliwa na Serikali ni watu kufanya biashara ya mazao kinyume na utaraibu. Bashe amesema hayo alipokuwa akizindua Ofisi ya kuleta mabadiliko ya sekta ya kilimo nchini jijini Dodoma leo jumatatu Juni 19, 2023 ambapo ameeleza kuwa Serikali haitaruhusu...
  12. Zacht

    Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

    Meya wa Hamtramck Michigan Amer Ghalib, alipata wadhifa huo wa Umeya, mnamo 2021 baada ya kumkosoa mtangulizi wake kwa kupeperusha bendera ya LGBTQ nje ya ukumbi wa jiji. Baraza la jiji la Hamtramck, Michigan, ndio jiji pekee la Marekani lenye baraza linaloongoza Waislamu akiwemo na Meya...
  13. Bams

    Mkataba wa kishenzi ni marufuku Tanzania, kama wana dhamira njema, mazungumzo yaanze upya

    Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule. Nani atakubali kitu chake ambacho amewekeza trilioni kadhaa ampe mtu anayekodi...
  14. Suley2019

    Wauza nyama Nyanda za Juu Kusini wapigwa marufuku kutumia magogo buchani

    Wafanyabiashara na wamikili wa maduka ya nyama mikoa ya nyanda za juu kusini, wametakiwa kuzingatia maagizo ya Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) kutumia vifaa maalum vya kukata nyama na kuachana na matumizi magogo ya miti ili kulinda afya za walaji. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Juni...
  15. Dr Akili

    Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

    Waziri wa kilimo mwaka jana alikomalia kuuza chakula nje ya nchi. Kitendo hicho kililalamikiwa sana kusababisha bei ya vyakula nchini kupanda zaidi ya maradufu, lakini waziri huyu alikomalia jambo hilo akitoa sababu eti anawatajirisha wakulima, wakati ukweli ni kuwa alikuwa akiwatajirisha...
  16. N

    Mahakama ya Afrika yaiagiza Tanzania kufanya marekebisho ya sheria inayowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia uchaguzi

    Kesi itakayotolewa uamuzi Leo ni kesi iliyofunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi, ikidiwa kuwa 'makada wa Chama Cha Mapinduzi'...
  17. Roving Journalist

    Mifuko ya Plastiki yapigwa marufuku Hospitali ya Muhimbili

    Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kwa watoa huduma na ndugu wa wagonjwa katika mazingira ya hospitali (Upanga na Mloganzila) ikiwemo wodini na maeneo mbalimbali ya kutolea huduma. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo...
  18. Black Opal

    Marufuku ya mitumba wenzangu na mimi tutatoboa kweli?

    Asilimia tisini kama si zaidi ya Watanzania tunapiga mitumba, ndio tunayoweza kumudu. Hatuna viwanda vinavyojitosheleza kwenye sekta hii kiasi cha kuzalisha nguo zenye ubora na gharama nafuu kwa wengi kumudu. Mitumba imekuwa chaguo la wengi kutokana na kwamba unapata bidhaa nzuri kwa bei nafuu...
  19. BARD AI

    Mawaziri wa Afrika wakubaliana kupiga marufuku biashara ya Nguo za Mtumba

    Uamuzi huo umefikiwa na Mawaziri wa Nchi za Afrika, baada ya Mkutano wa pili uliofanyika jijini Nairobi ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika (AfCFTA). Katibu Mkuu wa AfCFTA, Wamkele Mene, amesema uamuzi wa kuzuia biashara ya mitumba ni hatua muhimu ya...
  20. benzemah

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku kuwasha fataki mechi ya fainali Yanga vs Usma uwanja wa Mkapa

    Kuelekea mchezo wa kesho Mei 28, 2023 wa fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na USM Alger ya Algeria itakayopigwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar saa 10:00 jioni, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema tayari limechukua tahadhari zote za kiusalama kabla, wakati na baada...
Back
Top Bottom