Kwa mamlaka niliyojipa ninapiga marufuku tabia zifuatazo kwa mwaka 2024;
1. Kufungua threads za kuwasimanga single mothers.
2. Kukopa ovyo bila mpangilio na mwisho wa siku kujikuta kwenye matatizo yasiyo ya lazima. Waalimu wengi mzingatie sana hili.
3. Wanawake kuwapa kipaumbele viongozi wenu...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha Mikocheni jijini Dar es salaam na kupiga marufuku ujenzi holela wa vituo vya mafuta nchi nzima vinavyojengwa kwenye makazi ya watu hatua inayohatarisha usalama wa...
Naibu Waziri Kigahe Apiga Marufuku Wakulima Kuuza Mazao kwa Lumbesa.
Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe(Mb) amepiga marufuku kwa wakulima kuuza mazao kwa kutumia lumbesa.
Kigahe amepiga marufuku hiyo kwa wakulima na wafanyabiashara desemba 20,2023 wakati wa ziara...
Wanaukumbi.
Malaysia ilisema itazuia Huduma Jumuishi za Usafirishaji za ZIM zenye makao yake makuu nchini Israel kutia nanga katika bandari zozote za taifa la Asia ya Kusini-Mashariki, hatua ambayo inaashiria kuongezeka kwa kuchanganyikiwa kwa vita huko Gaza.
Nchi hiyo pia inapiga marufuku...
Leo huko Kigamboni Dar es Salaam lilikuwepo tamasha la muziki, moja ya mambo ambayo hayakubaliki ni utesaji wa watoto wadogo akiwemo huyu pichani mwenye umri chini ya miaka kumi!
Mtoto huyu amewekwa kwenye jukwaa linalopiga muziki wenye sauti ya zaidi ya wati 20,000! Masikio ya mtoto huyu...
Zuio hilo limewekwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Japhet Koome baaada ya kuwepo kwa ongezeko la Malalamiko ya Wananchi kuwa baadhi ya Askari wa Barabarani wamekuwa wakitumia vibaya silaha zao ikiwemo kushambulia raia hata wasioweza kusababisha madhara.
Uamuzi huo pia umechangiwa na kauli ya...
Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga.
==
Yaliyozungumzwa ktk video hiyo.
Edwin Odemba alimuuliza Zitto Kabwe kama yupo tayari...
Huu mchezo sio kabisa na hata kuita mchezo ni makosa kabisa. Watu wanaumizana huku wengine wanashangilia halafu eti unaitwa mchezo.
Najua ngumi ni biashara kubwa duniani na ni ajira kwa watu wengi ukiacha mabondia wenyewe, ila ukweli unabaki pale pale kuwa huu mchezo haufai kabisa.
Bahati...
Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo.
Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome...
Mfano ulipanga kununua simu kwa 200,000/= muuzaji akikupa punguzo akakuuzia kwa 150,000/= ile 50,000/= inatakiwa kwenda kanisani kama sadaka.
Ukipanda daladala, mtu akakulipia nauli, ile nauli yako inapaswa kwenda kanisani, usiile ni laana.
Kuna kenge zitakuja kubisha hapa, nazikemea...
UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ILIYOTOLEWA NA HALMASHAURI YA MJI WA IFAKARA KUHUSU VYOMBO VYA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA
Oktoba 10, 2023
Idara ya Habari (MAELEZO) na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali imeona taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii iliyotolewa tarehe 9 Oktoba...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha maofisa wa Mamlaka ya Mapato (TRA), kuwafungia maduka wafanyabishara wadogo ni changamoto inayochochea kuwepo kwa uingizwaji holela wa bidhaa za magendo nchini.
Nchemba amesema hayo jana Jumatatu Oktoba 2, 2023 wakati akizungumza na wananchi...
Jeshi la Polisi limemuonya Edgar Lungu kutokana na utaratibu wake wa kufanya matamasha ya Mazoezi hadharani huku likieleza kuwa Kiongozi huyo amekuwa akitumia matamasha hayo kuendesha ajenda za Kisiasa.
Taarifa ya Polisi imesema Lungu amekuwa akiambatana na wajumbe wa Chama chake cha Patriotic...
Jeshi la Polisi nchini Uganda limepiga marufuku mikutano ya kisiasa ya kiongozi wa upinzani, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, kutokana na ukiukaji wa utaratibu na kumchafua Rais Yoweri Museveni.
Polisi nchini humo wamesema mtu mmoja amefariki na wengine 10 kujeruhiwa vibaya katika...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewaagiza Maafisa Utumishi wa Halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kukaa ofisini badala yake watembelee ofisi za watumishi zilizopo katika Kata na Vijiji ili kutatua changamoto za watumishi...
/
Hivi karibuni kumejitokeza wat wanajulikana kama Kamchape au Lambalamba wanaoendekeza imani potofu za kishirikina wakiidai wanao uwezo wa kufichua wachawi kitendo ambacho ni uhalifu.Watu hawa wameitokeza na kufanya uhalifu huo katika Mikoa ya Katavi, Kigoma, Rukwa na Songwe.
Mbinu wanayotumia...
Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo.
Waziri Silaa...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 3, leo Agosti 31, 2023.
Ratiba:
Dua
Hati za kuwasilisha Mezani
Maswali
Hoja za Serikali
https://www.youtube.com/watch?v=Fs6MAOPxT6U
WAZIRI GWAJIMA: MILA YA KUWEKEZA MKE AKIWA TUMBONI INACHOCHEA UKATILI WA KIHISIA
Waziri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.