marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Afghanistan: Taliban yapiga marufuku Wanawake kutembelea Hifadhi ya Kitaifa

    Marufuku hiyo ya Uongozi wa Taliban umehusu Mbuga ya Wanyama ya Band-e-Amir iliyopo katika Jimbo la Bamiyan, ambapo Kaimu Waziri wa Maadili wa Afghanistan, Mohammad Khaled Hanafi amesema Wanawake wamekuwa hawazingatii mavazi ya hijabu wanapokuwa ndani ya mbuga hiyo. Amewataka viongozi wa dini...
  2. The Sunk Cost Fallacy 2

    Yoweri Museveni Rais wa Uganda amepiga marufuku Mitumba. Amesema ni Nguo zilizoachwa na Wafu wa Ulaya

    My Take Rwanda tayari,Uganda tayari. --- The President was speaking at the opening of 16 factories at Sino-Uganda Mbale Industrial Park yesterday. President Museveni has re-echoed the need for citizens to embrace the Buy Uganda Build Uganda (BUBU) policy if the country is to develop. In line...
  3. M

    Chawa wa Mama wakiwa wamevaa sare za jeshi zilizopigwa marufuku

  4. matunduizi

    Nashauri serikali ipige marufuku homework kwa watoto wa shule

    Kwa mtazamo wangu, homework ni ushahidi kuwa walimu wameshindwa kutimiza wajibu wao. Mtoto akiwa shule anatakiwa amalize mambo ya shuleni hukohuko. Akirudi nyumbani awe na majukumu mengine ya nyumbani ili akili zake zitanuke katika vizio vyote. Mbaya zaidi ni likizo. Likizo maana yake ni...
  5. JanguKamaJangu

    Taliban yapiga marufuku vyama vyote vya kisiasa

    Utawala wa Taliban wa Afghanistan Jumatano umepiga marufuku vyama vyote vya kisiasa nchini humo ukisema kuwa ni kinyume cha sheria za kiislamu au Shariah. Tangazo hilo limefanywa baada ya viongozi waliochukua madaraka ya Afghanistan kuadhimisha mwaka wa pili wa tangu kurejesha utawala wao mjini...
  6. Papasa

    Polisi wapiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika nchi nzima

    Jeshi la Polisi Tanzania, limetoa onyo kali watu wanaotangaza mpango wa kuiangusha serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia akibainisha kuwa huu ni uhaini na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Akitoa taarifa hiyo, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura...
  7. Mganguzi

    Kwa tulipofikia mikutano ya siasa kwa nchi yetu haina tija zaidi ya kucharuana tu! Pigeni marufuku hii mikutano uchwara!

    Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa! Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii...
  8. Dalton elijah

    Singida: Mwenyekiti UWT Ashauri Vigodoro kupigwa Marufuku

    HABARI Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda, ameiomba serikali kupiga marufuku miziki inayojulikana kwa jina la vigodoro kwa kuwa imekuwa ikisababisha mmomonyoko wa maadili nchini. Akizungumza katika mkutano wa hadhara wilayani Manyoni mkoani Singida katika ziara yake ya kukagua miradi ya...
  9. B

    UWT Ilala wapiga marufuku chama cha Chawa wa Mama

    Fukuto huko ndani ya chama chao. Kila mtu anaona amezidiwa katika level ya uchaww Kwa kuwa chawa wa mama wako hoti imeelezwa kuwa wanakwapua nafasi nyingi za uteuzi na nyazifa mbali mbali kuliko vyama rasmi vya chama hiko. Hapa chini kwenye clip sikiliza Kalipio hilo inayosambaa mitandaoni.
  10. dubu

    Tanzania: Mikoa inayoongoza kwa Ukeketaji ni Manyara, Dodoma, Arusha, Mara na Singida

    Salaam Wakuu, UKEKETAJI NI NINI? Ukeketaji ni ukataji wa sehemu za siri za mwanamke. Ukataji huo unahusisha maeneo nyeti. Au ni kitendo chochote kinachojeruhi uke kutokana na sababu ambazo sio za kimatibabu. Ukeketaji unaumiza wanawake na wasichana kimaungo na kiakili na hakuna faida yoyote...
  11. D

    Tunaomba Serikali ipige marufuku kujitolea vijana tupate ajira za kudumu kupitia Utumishi

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. TUNAOMBA serikali yetu sikivu ipige marufuku kujitolea ili vijana tupate ajira na pia kujitolea ni upendeleo nafasi hazipo wazi na mpaka uwe na connection. Pia tunaomba ajira zote za kudumu kwenye mamlaka ya serikali ndogo (local government) wizara...
  12. Siafu na Manga

    Kamata kamata tinted taa za Magari

    Kwa wale waliobahatika kuwa na usafiri kama umebandika tinted kwenye taa za mbele na nyuma kuna msako wakukamata unafanywa na polisi --- Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani limesema litaendelea kuwakamata madereva wa magari wanaoweka ‘tinted’ kwenye taa za mbele na nyuma...
  13. R

    Udini, Ukanda na sasa Utanganyika na Uzanzibari; hizi mbegu zisipopigwa marufuku kwa vitendo hatutobaki wamoja

    Mwenyenzi Mungu alipotupa rasilimali alitupa pia mtu wakutupatia uhuru; mtu huyo alipopewa mamlaka yakutuongoza alipewa pia mbinu sahihi za kutuleteta pamoja. Mbinu hizi zilipitwa tunu na zilipandwa kwenye nafsi za watanzania . Baadhi ya mambo yaliyotuleta pamoja yalikuwa. 1. Lugha- pamoja na...
  14. B

    Marufuku ya saluni ya Taliban: Wanawake wa Afghanistan wanaomboleza mwisho wa huduma iliyothaminiwa

    Marufuku ya saluni ya Taliban: Wanawake wa Afghanistan wanaomboleza mwisho wa huduma iliyothaminiwa. Siku moja kwenye saluni iliwaruhusu wanawake wa Afghanistan kuzungumza katika mazingira tulivuImage caption: Siku moja kwenye saluni iliwaruhusu wanawake wa Afghanistan kuzungumza katika...
  15. Exile

    Majimbo ya Kano na Sokoto nchini Nigeria yapiga marufuku kusikiliza nyimbo za Davido hadharani

    Hii inakuja baada ya davido kutoa wimbo wake hivi karibuni wenye video yenye maudhui ya dini ya kiislam. Waislam wengi hawajapendezewa hasa kwenye majimbo yanayoongozwa kwa mfumo sharia bono na sokoto nchini naigeria, kuwa davido kaudhaurisha uislam kupitia wimbo huo. Hizi dini zingine...
  16. JanguKamaJangu

    Afghanistan: Taliban yapiga marufuku saluni za kike

    Saluni za nywele na urembo zinatarajiwa kufungwa wiki kadhaa zijazo hali ambayo inatarajia kusababisha ajira 60,000 kupotea. Uongozi wa Taliban baada ya kuingia madarakani Mwaka 2021 uliruhusu saluni hizo kuendelea lakini wamebadili maamuzi hayo wakati ambapo tayari wamezuia Wanawake kwenda...
  17. kitonsa

    Polisi yapiga marufuku maandamano ya UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike Julai 18, 2023

    Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa. Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii. My take, Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba...
  18. Bushmamy

    Sababu za kupigwa Marufuku nchini Tanzania Mkutano wa Nabii ezekiel Ezekiel Odero toka Mombasa zatajwa .

    Mchungaji Maarufu wa kanisa la Newlife nchini Kenya, Ezekiel Odero aliyekuwa afanye mkutano mkubwa wa Injili Jijini Arusha, amezuiwa na polisi kuendelea na mkutano huo,huku sababu zikitajwa kuwa ni kupisha mlipuko wa Ugonjwa wa kuhara. "Sitisha mkutano wako na usifanye shughuli hiyo Hadi tamko...
  19. Teko Modise

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku watu kuvaa nguo zinazofanana na Majeshi ya Ulinzi na Usalama

    Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi. Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja.
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Juliana Shonza Awapiga Marufuku Wanaotapeli Wajane Wilaya ya Mbozi

    MBUNGE JULIANA SHONZA AWAPIGA MARUFUKU WANAOTAPELI WAJANE WILAYA YA MBOZI "Wanaibuka watu, badala ya kuwasaidia na kuwaunganisha wajane wao wanafanya kuwatapeli na kuwafilisi wajane. Nilipolisikia hilo nimelifuatilia sana, niliwasiliana na viongozi wanaohusika na Masuala ya wajane Wizarani...
Back
Top Bottom