Serikali imetangaza hali ya dharura na amri ya kukaa ndani (kuanzia Saa 12 Jioni - 11 Asubuhi) hadi Machi 6, 2024 kwa Wakazi wa eneo la Ouest linalojumuisha Mji Mkuu katika jitihada za kukabiliana vurugu kwenye Magereza Mawili zilizowawezesha Maelfu ya wafungwa kutoroka Machi 3, 2024
Vurugu...
Kundi la kampeni limemshutumu X kwa kutoa alama za bluu kwa mashirika ya kigaidi ambayo yanapaswa kuwekewa vikwazo vya Marekani.
Mradi wa Tech Transparency ulisema umetambua zaidi ya akaunti kumi na mbili za X za mashirika yaliyoidhinishwa na Marekani ambayo yamepewa alama ya kulipia, ambayo...
Taliban imepiga marufuku wasichana kupiga simu redion
✍🏻Kwamba wana hamsha ari za wanaume na kuwafanya wawaze ngono
✍🏻Inawaondoa wanaume kwenye mood wawapo kazini
✍🏻Kwamba dini ya Kiislamu si kwamba hairuhusu maumbile tu ya mwanamke kuonekana, Bali hata Sauti ya Kuvutia inamfanya Mwanaume...
Ni Marufuku mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke mnaeishi mtaa mmoja, mnafanya kazi office moja, mnasoma darasa moja, mnaishi nyumba moja, ni mbaya.
Ni sheria kutoka jandoni hio, hakikisha unarina asali ya mbali, hiyo ya maeneo yako iache watu wa mbali waifate.
Yaani kuishi nchi hii ya Tanzania imekuwa nongwa sana, kila eneo wafanyabishara wanajiamlia kufanya yao.
Waendesha daladala wanapakia abilia hadi mlangoni, watu wanasimamiahwa na kupangwa kama magunia ya mikaa.
Kwani serikali hatuwezi kufanya hata hili la usafiri kwa kuzingatia level seat nchi...
Kuendekeza makundi ya vijana wanaoibuka kwa kasi wakiringishia utajiri wao na marundo ya fedha huku hawaonyeshi vyanzo vyao halali vya mapato ni kuharibu jamii hasa vijana.
Kama nia ni kuhamasisha vijana muhamasishe kwa kuonyesha na chanzo, mbinu na namna mnanavyopata hizo fedha za maringishio...
Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.
Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.
Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo...
Authorities in South Sudan's Central Equatoria state have banned the sale of a popular beer after several people died after consuming the local gin.
The Royal Gin, popularly known as "Makuei Gin" is said to be addictive, mostly to young people.
Its consumption reportedly increased during...
Serikali ya Uingereza inatarajia kupiga marufuku matumizi ya Sigara za Kielektroniki ikiwa ni sehemu ya mipango ya kukabiliana na ongezeko la matumizi makubwa ya vijana katika uvutaji huo.
Takwimu za Shirika la kutoa Misaada la Action on Smoking and Health (Ash) limeema 7.6% ya Watoto wenye...
Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu, ametoa agizo la kupiga marufuku matumizi ya simu na mazungumzo ya kibinafsi kwa watumishi wa afya wakati wa kazi katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini.
Agizo hilo limekuja baada ya ongezeko la malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu udumavu...
Nikitafakari namna ACT Wazalendo wanavyofanya siasa na malengo waliyonayo kisiasa kwa siku za mbeleni naona wanakosa mikakati sahihi.
Sometimes kuna kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo na ukafanikiwa kufikisha ujumbe na kuna kuamua kutoka adharani. ACT siyo chama cha kutoka adharani kikiongozwa...
Nyota huyo wa zamani wa Uingereza, ambaye sasa ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi kwenye Kituo cha utangaji cha BBC, alituma tena chapisho la Kampeni ya Palestina ya Kususia Kielimu na Utamaduni ya Israeli (PACBI) kwenye X, ambayo zamani ilikuwa Twitter.
Katika Chapisho Hilo, PACBI ilitoa...
Rais wa Uganda leo wakati akitoa hotuba ya miaka 60 ya mapinduzi amesema aliletewa ombi la kupiga marufuku mchele kutoka Tanzania na kukataa ombi hilo.
Museveni amesema wakulima wavivu wa Uganda walitaka kutawala soko. Museveni amesema wakulima wa Uganda wanatakiwa kujua wana ushindani na si...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amepiga marufuku kwa baadhi ya shule ambazo zimekuwa zikiwafukuza wanafunzi baada ya kuwa na matokeo mabaya katika matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili
Waziri Mkenda amepiga marufuku hiyo, Jumanne Januari 9.2024 Jijini Dodoma...
Shuhuli /vigoma vya jamii za kiswahili pwani, Tanga, Mtwara, na Lindi vipigwe marufuku.
Ni kama wanawake WA mikoa tajwa wanaona sifa kuvaa Madera, vijora na kukata mauno hadharani. Wengine wakiwa ni wamama Watu wazima.
Tanzania ya Leo tunahitaj wamama Bora kwa ajili ya future generations...
Uongozi wa Mkoa wa Simiyu umepiga marufuku isiyokuwa na muda ya watu kula katika misiba, mnadani, magulio pamoja na wanafunzi kuuziwa vyakula mashuleni kutokana na ongezeko la watu waliobainika kupata magonjwa ya mlipuko ya kuharisha, tumbo na kutapika.
Zuio hilo limewekwa jana na Mkuu wa Mkoa...
Kiongozi wa kiroho wa kanisa katoliki Duniani baba mtakatifu papa Francis ametoa wito wa mataifa yote ulimwenguni kupiga marufuku kitendo cha wanawake kubebeana mimba ama 'surrogacy mothers'
Baba mtakatifu amasema kubebeana mimba ni kinyume cha mapenzi ya Mungu na inapaswa kupiga marufuku hicho...
Shkamoo inamaanisha niko chini ya miguu yako;
Salamu ya kidikteta;
Salamu ya kitumwa;
Kwa mtazamo wangu salamu hii haina maana, ipigwe marufuku kabisa,
Lugha yetu pendwa ya kiswahili ina utajiri wa misamiati mizuri inayoweza kutumika kama salamu badala ya neno shkamoo, kwa mfano; Habari za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.