mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mashabiki wa Yanga SC walioenda Rwanda: Kutokujua kwetu Kiingereza kunatupa wakati mgumu hapa Kigali

    "Alex Luambano kiukweli nchi ni nzuri na tumefika Salama hapa Kigali Rwanda, ila tatizo Kubwa tunalolipata ni wengi wetu kurokujua Lugha ya Kiingereza kiasi kwamba tunalanguliwa mno Bei ya Taxi" amesema Mtangazaji Mkazuzu wa Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM dakika chache tu...
  2. Mashabiki wa Yanga ni jobless? Mnapata wapi muda wa kuzurura hadi Rwanda

    Kijana ambaye yuko busy anapataje muda wa kuzurura wiki nzima. Vijana 500 kwa wiki nzima hawako kazini ni hasara kwa taifa
  3. Mashabiki wa Yanga huwa wanafanya kazi gani wenzetu?

    Kila mechi wapo, si ya nyumbani wala ugenini. Kwasasa hata mechi za kimataifa nje na Tanzania wapo. Huwa wanafanya kazi zao muda gani? Na huwa wanafanya kazi gani? Au ndio wana vibanda vya urithi Makumbusho?
  4. M

    CCM Sengerema yapeleka mashabiki Rwanda

    Zaidi ya bus 5 za wanachama wa CCM. kutoka Sengerema. Kesho wanaelekea RWANDA kuisapoti Yanga. Hago yajili mji wa. Sengerema shamra shamra zimeanza. Kwa mbwembwe za mashabiki wa Yanga kutoka mikoa mingine kupiga mjini napa Kwa shangwe za vuvuzela
  5. Mechi ya pili tangu kuanza kwa ligi, lakini Mashabiki wa Yanga wanadhani zimebaki mechi mbili kumaliza

    Kwa kiwango na mfumo wanaoenda nao Yanga tangu mechi za Majaribio msimu huu, hadi mechi za ushindani, ni ukweli ulio dhahiri kwamba Yanga ipo kwenye form nzuri sana. Hali ikiendelea hivi kwa mechi tatu zijazo, basi walio chini itabidi wakaze buti tu na wamfuate hukohuko juu, kumsubiri chini...
  6. Kuna Timu inapanga kucheza Mechi 2 au 3 za Kirafiki ili Kutuliza Mashabiki wake na Tano Tano za Wanaojua Tanzania

    GENTAMYCINE nina Ombi langu Moja tu kwa hiyo Timu (niliyoisahau Jina kwa sasa) kuwa naomba katika hizo Timu wanazotaka Kuziomba Kucheza nazo Mechi za Kirafiki Kipindi hiki Ligi Kuu ya NBC inasimama Yanga SC nayo iwemo ili nao Wafungwe Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na waanze Kuzizoea kabla ya...
  7. Timu bora imepoteza mechi kwa penalti, mashabiki na wanachama msihuzunike mnayo timu bora msimu huu

    Najua wanachama na mashabiki mmehuzunika kupoteza ngao leo lakini huzuni yenu itakwisha siku sio nyingi! Yanga wameonyesha bado wanacho kikosi bora sana kuanzia beki na viungo but tatizo lipo kwenye final third, ambalo nafikiri kocha gamond anatakiwa alifanyie kazi, na aanze kumtumia Hafidh...
  8. Angekuwepo Marehemu Malik wa AFRICAN Sport ya Tanga " angecheza" peke yake mechi ya kesho kwa sababu alikuwa anawamudu sana Simba

    Ni ngumu sana kutofautisha soka la bongo na uchawi. Kwenye Vilinge vya uchawi kwenye mpira wa bongo huwaga kuna msemo "Hii mechi imechezwa na mtu fulani" au " imechezwa na tawi fulani". Maana yake ni kwamba mtu huyo ndio ametoa "wataalamu" wa "kucheza/kuroga" mechi husika au yeye mwenyewe...
  9. Mashabiki hata wale wasiompenda Floyd Mayweather wacharuka baada ya kushindanishwa na Terence Crawford

    Ifike pahala huyu jamaa wamuache apumzike maana kwa mambo yanayoendelea sasa ni kumkosea adabu bondia bora wa muda wote na wa vizazi vyote Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior . Nimesikitishwa sana na baadhi ya watu kumlinganisha Floyd na Terence eti baadhi yao wana amini Terence...
  10. Wakati wakipanga Mechi yao ya Kirafiki iwe tarehe 6 August, 2023 ili Kuihujumu 'Simba Day' Kocha wao kataka isiwe na Mashabiki

    Ni kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote. Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/ zimejsha na Nyomi la Watu 60,000 litakuwepo na upo Uwezekano hata Uwanja wa Uhuru nao ukajaa hadi...
  11. Uongozi wa Simba SC acheni kucheza na Akili zetu, kwa huyu Kipa Mbrazili Jefferson Luis mmetutukana Tusi Kubwa Sisi Mashabiki wenu

    Siyo kwamba kila Siku GENTAMYCINE nikiwa Nawachokoza, Nawananga na Nawatania mno Watani zetu Yanga SC basi Kwetu huku ( Simba SC ) mkikosea nitawanyamazia. Huwa sina Unafiki na Upumbavu na ndivyo hata nilivyo Kiuhalisia wangu. Kama Kipa Ally Salim ( japo ana Mapungufu kadhaa ) ameweza Kudaka...
  12. Kwenu wachambuzi, mashabiki, mnaochambua hadi nguo, karibuni darasani mjifunze kuhusu nguo, jersey

    Ubora wa nguo unapimwa kwa vigezo kadhaa. Hapa kuna mambo muhimu yanayochangia ubora wa nguo: 1. Vifaa vya malighafi: Vifaa vya malighafi vinavyotumika kutengeneza nguo ni muhimu sana katika ubora. Nguo zilizotengenezwa kwa malighafi bora zinakuwa imara, rahisi kutunza, na zinadumu kwa muda...
  13. Mashabiki, wanachama wa Yanga wajitokeza kuchangia damu katika Hospitali ya Mloganzila

    Rais wa Klabu ya Soka ya Yanga Mhandisi Hersi Said amesema klabu hiyo katika kuelekea wiki ya wiki ya mwananchi imeamua kuwahamasisha mashabiki na wanachama wake kujitokeza kuchangia damu katika vituo vilivyoanishwa nchi nzima ikiwa ni sehemu ya mchango wa klabu hiyo kwa jamii. Mhandisi Hersi...
  14. Kauli ipi yenye uzito kati ya Adeni Rage na Haji Manara?

    Ifikie hatua ukweli ujulikane, Hivi kauli ipi kati ya hizi mbili iliyokuwa ikiashiria ukweli ndani yake? Tuanze na Haji Sunday Manara, huyu akiwa afisa habari wa klabu ya Simba Kwa wakati huo aliwahi kunukuliwa akiwadhihaki mashabiki wa Yanga kwa kusema kule Yanga wenye Akili ni watu wawili tu...
  15. M

    Usajili wa Miquissone Simba ni usajili wa mihemko na kuwafurahisha mashabiki na sio usajili wa kiufundi

    Ni ajabu sana kwa hizi timu zetu za Kitanzania Simba na Yanga kufanya mambo kienyeji kienyeji sana ili kuwafurahisha mashabiki wao na sio kuitengeneza timu. Kuna tetesi kuwa Simba wamemsajili Miquissone, unachojiuliza uyo Kocha alimuona Miquissone kwenye mechi ipi ya kiushindani mpaka...
  16. Bado nazidi kuona makosa makubwa kwenye usajili wa Simba. Kwa mwendo huu mashabiki jiandaeni maumivu tena na tena 2023-24

    Habari ndugu ZANGU. Mimi ni mdau WA soka. Na mpenzi na mdau wa Simba. Nimekuwa nikifuatilia usajili HASA WA wachezaji wa KIGENI ndani ya simba. NIMEWEZA KUYAONA MAKOSA YAFUATAYO KIUFUNDI. 1. KOSA kubwa la Kwanza ni KUMUACHA Golikipa Beno kakolanya., Hivyo wanalazimika KUSAJILI Golikipa wa...
  17. Stori ya Air Manula na mahaba ya mashabiki

    Liked by realclatouschama and 22,638 others 28_manula Baada ya kufanya vipimo hospital ya Taifa MUHIMBILI-MLOGANZILA nilianza safari ya kurudi nyumbani kwetu KILOMBERO Nilifika morogoro mjini mishale ya saa kumi na moja na dakika kumi na nane hivi. Nilipata mapumziko kidogo kisha tukaendelea...
  18. B

    Benki ya CRDB yaingia makubaliano na Klabu ya Yanga kusaidia Usajili wa Wanachama na Mashabiki

    Benki ya CRDB imeingia mkataba wa makubaliano na Yanga kutoa kadi kwa wanachama wa klabu Yanga katika kuongeza ufanisi wa usajili na masuluhisho ya kifedha. Akizungumza wakati hafla kusaini makubaliano hayo iliyofanyika Julai 1, 2023, Afisa Mkuu wa Biashara Benki ya CRDB, Boma Raballa amesema...
  19. C

    Hivi Hayati Magufuli angekubali huu ujinga wa kugawa Bandari?

    Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa. Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kugawa bandari ya nchi kizembe kiasi hicho haiwezekani. Tuanze kugawa bandari ya Zanzibar kwanza...
  20. Haaland azomewa na mashabiki wake baada ya mechi

    Erling Haaland amekutwa na tukio hilo baada ya timu yake ya Taifa ya Norway kupoteza mchezo kwa magoli 2-1 dhidi ya Scotland, ambapo aliingia kwenye basi ya tmu moja kwa moja bila kuwasalimia mashabiki ambao walikuwa wakimsubiri kwa nje. Matokeo hayo yanaifanya Norway kutokuwa katika nafasi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…