Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo la mwisho kwa Hamas kuachilia mateka walioko Gaza, akisisitiza kuwa Marekani inaiunga mkono Israel kumaliza suala hilo.
Hii inakuja muda mfupi baada ya Ikulu ya Marekani kuthibitisha kuwa inafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas, kinyume na sera...
Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 Gaidi ISMAIL HANNIYEH alionekana kwenye vyombo vya habari akifurahia mauaji hayo na kuonekana akiongoza sala kumshukuru Allah wake kwa kufanikisha mauaji ya kutisha yaliyofanyika siku hiyo Oct 07,2023. Mimi nauliza kwa mjibu wa dini ya kiislamu ni sawa...
Mnamo Oktoba 1, 2024, Iran ililenga Israel kwa makombora 200, Ni mashambulizi makubwa lakini athari zilikuwa kidogo, Mabomu mengi yalikosa target yalitua nje ya mji, Mtu mmoja aliuawa ambae ni Mpalestina baada ya bomu kukosa target kwa kutua Palestina.
Israel ikajibu October 26, hawakurusha...
IDF imethibitisha kufanya shambulio la anga katika mji wa pwani wa Sidon, Lebanon, asubuhi ya leo, na kumuua kamanda mwandamizi wa Hamas.
Shabaha ya shambulio hilo, Mohammed Shaheen, alikuwa mkuu wa operesheni za Hamas nchini Lebanon, kwa mujibu wa jeshi na Shin Bet.
IDF inasema Shaheen...
Wafalme wa nchi zote za kiislamu ikiwemo mashariki ya kati ni marafiki wa maadui wa Mwenyezi Mungu.Wameweza kuwatawala watu wao kwa njama na ujanja ila wakati wao wa kuondolewa umefika.
Kampeni ya kuwaondoa madarakani inaonekana kama ni ndoto lakini inawezekana kwa kasi ya kushangaza na...
Katika kitu kilichonikatisha tamaa ni kuona katika hotuba ya msemaji wa Hamas hakutaja nchi kama South Africa au Ireland ambao kwa nafasi kubwa wamepambana sana kwenye hii vita.
Zipo nchi za America kusini walifukuza hadi baloz wa Israel, kuna wananchi kibao wa nchi za magharib ambao hata si...
Muda mchache uliopita taarifa kubwa kwenye vyombo vya habari vyote vya Kimataifa Aljazeera, CNN na nk ni juu ya Makubaliano ya Kusitisha Mapigano kati ya Israel na Hamas.
Kufikiwa kwa makubaliano haya kumefanya wakaazi wa Gaza kushangilia na kuandamana barabarani kwa furaha na vifijo.
Israel...
Mapigano makali yameripotiwa kati ya vikosi vya Kikurdi na vikosi vinavyoungwa mkono na Uturuki kaskazini mwa Syria, ambapo zaidi ya watu 100 wameuawa ndani ya saa 48 zilizopita.
Taarifa iliyotolewa jana na Shirika la Haki za Binadamu la Syria imesema waliouawa kwenye mapigano hayo ni...
Tangu October 7 2023 tumeshuhudia vurugu za kijeshi za Israeli kujibu unyama waliofanyiwa na Hamasi,idadi kubwa ya raia wakiuwawa na kuteseka kutokana na mapigano kati ya Israel na Hamas
Lebanoni pia mapigano kati ya Hezbollah na Israel yameleta maafa makumbwa
Serikali ya mapinduzibua Irani...
Wadau hamjamboni nyote
Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika
Mataifa ya Syria na Lebanon yagawanywe kama ifuatayo
Syria igawanywe kuwa nchi 2
Lebanon igawanywe kuwa nchi 2
Siku njema
Wamebakia wanasiasa kubwatuka katiba mpya katiba mpya,wengine fulani katekwa,wengine njaaa,wengine kitukana mitandaoni.
Upande mwengine umoja wa mataifa na waatabu kwa ujumla wameipa mamlaka nchi ya Israel kuvamia eneo lolote kwa mabavu huku wakibakia kuangalia na wengine kukemea/kubweka kama...
Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?
Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?
Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Homs tayari imeanguka mikononi mwa waasi
Damascus ipo matatani
Wakurd jana nao wameteka mji wa mashariki mwa Syria na kuzuia jeshi la Iraq na Iran kutoa msaada wa silaha na kijeshi kwa Assad
Homs
Wanamgambo wa Hayat Tahrir al-Sham (HTS) muda huu wapo Homs, wakishika maeneo muhimu ya mji...
Unajua unafiki ndio mlionao.
Kila siku mimi huwa nawaambia kuwa harakati zenu sio za ukombozi wa haki au usawa bali ni za itikadi, itikadi za kitapeli.
Uturuki amerusha makombora huko Syria kurudisha mashambulizi kama vile Israel anavyofanya akichokozwa. Ila macho yenu yote yamekaa Israel...
Inasikitisha sana kuona vita vimegeuzwa kama ushabiki wa mpira.Huku watu wanakufa, watu wanapata ulemavu wa kudumu, wengine wanapoteza kila kitu!
Wengine wanatazama hii vita kwa itikadi za kidini kitu ambacho si kweli.Ukiingia mitandaoni watu wanabishana mpaka kutoleana maneno makali kisa vita...
Kumekuchaaa!
Ndege vita hatari ziko njiani kwenda Mashariki ya kati na tayari zimekatiza anga ya Jordan
Iran kuishambulia Israel kutokea Iraq.
========
The United States is continuing to send forces to the Middle East ahead of an expected Iranian attack on Israel, with flight tracking sites...
Baada ya kukaa nchi ya USA kwa muda mrefu pamoja na mapungufu mengi wamefanikiwa sana kwasababu hizi
1. Wana mfumo imara ambao kiongozi yeyote anaweza kushinda na kushidwa
2. Mahakama na mfumo wa sheria mzuri
3. Uhuru na sio uchawa
4. Ubunifu
5. Mfumo wa uchumi ambao ni imara mfano bank kuu yao...
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo.
"Siku zote tumekuwa tukiamini kuwa uwepo wa Marekani katika eneo hilo ni uwepo wa kudhoofisha utulivu," Baghaei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.