mashariki ya kati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Nia ya kuwapiga Houth ilikuwepo kitambo. Ziara ya mwisho ya Blinken mashariki ya kati ilikuwa ni kuyakokota mataifa 4 vitani. Yote yalimkatalia

    Kibri cha Marekani na Uiengereza kuyaona mataifa mengine duniani hasa mashariki ya kati yanakaliwa na watu wajinga kinazidi kupata vikwazo katika awamu hizi. Juhudi za kuwashawishi viongozi wa mataifa hayo ya mashariki ya kati kuwapokea wapalestina wa Gaza zilikwama mapema sana.Juhudi hizo...
  2. B

    Bei za mafuta juu, vita vikisambaa mashariki ya kati

    1. Nani anataka vita mashariki ya kati? 2. Kwa hakika si Houthi, Marekani, wala washirika wake; achilia mbali makapuku wengine sisi "Chole Samvula" huku. 3. Nani asiyezijua athari za vita, achilia mbali mashariki ya kati? 4. Siyo sisi tuliowahi kushauriana kuhamia hata Burundi ikibidi? 5...
  3. 6 Pack

    Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

    Niaje waungwana? Wazungu baada ya kuona wamefanikiwa kutawala sehemu kubwa ya dunia haswa haswa katika bara zima la Afrika, wakaona kuwa hata uongo wao pia watakaoleta kwa watawaliwa utaweza kuishi milele, bila kujua kwamba zama zinabadilika na akili za watawaliwa nazo pia zinabadilika. 1...
  4. Mto Songwe

    U.S-CHINA Tech War: Soko la mashariki ya kati

    US-China 'tech war': AI sparks first battle in Middle East Cathrin Schaer 10/02/2023October 2, 2023 The US has restricted exports of some computer chips to the Middle East, to stop AI-enabling chips from getting to China. But there's no information on which countries are affected, or how chips...
  5. L

    Kwanini Marekani ina hofu na diplomasia ya China katika eneo la mashariki ya kati?

    Kwa mara nyingine hali tete imetokea tena katika eneo la mashariki ya kati. Mbali na mgogoro wa Yemen, na mvutano kati ya Marekani na Iran, mgogoro kati ya Israel na kundi la Hamas umekuwa kuigonga vichwa vya habari, upande mmoja ukilaani vikali mashambulizi yaliyofanywa na kundi la Hamas na...
  6. Tango73

    Mshindi wa vita vya mashariki ya kati ni yule mwenye kumiliki jiji la Daudi au Jerusalem

    Madai ya Hamas, Hisbollah na Iran ni kumnyang'anya Muisrael jiji lake zuri la Jerusalem. Sasa mnaopinga kama Israel siyo mshindi na mbabe wa mashariki ya kati basi mmpeni Hamasi jiji la Daudi au Jerusalem. Haya yote yanayojili migogoro ya mashariki ya kati ni kushindwa kumchukulia kinguvu jiji...
  7. B

    Crown Prince wa Iran - Nchi ya Iran kwa sasa ingekuwa Japan ya Mashariki ya Kati

    UTAWALA WA SASA IRAN UNAMULIKWA KWA KURUNZI KALI, NA SABABU ZA IRAN KUFADHILI VURUGU MASHARIKI YA KATI Interview na Crown Prince Reza Pahlavi mwana wa Shah wa mwisho wa Iran Shah Mohamed Reza Pahlavi https://m.youtube.com/watch?v=Gn_glW0wGQ8 Source : Valuetainment Crown Prince Reza Pahlavi...
  8. Zanzibar-ASP

    Suluhisho la vita ya Mashariki ya kati ni kwa Wapalestina kutulia au kuhama kabisa pale Gaza

    Ubishi, ukaidi na ujeuri wa Wapalestina kutaka kupambana na Israel itapelekea maafa na mateso zaidi kwa watu wasiokuwa na hatia. Ama kwa kupenda au kutokupenda, suluhisho rahisi na lenye kuleta amani mashariki ya kati ni wapalestina kuwa watulivu ili waendelee kukaa pale kwa amani au kuhama...
  9. Mto Songwe

    Ni rahisi kuwaambia waafrika kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa na wakakubali ila huwezi waambia wachina hivyo wakakuelewa

    Ni jambo rahisi sana kuwaambia na kuwaaminisha waafrika kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa na jamaa anaye itwa Mungu wakakuelewa na kukubaliana nawe na wakaipenda na kuijali kuliko nchi zao. Ila ni jambo gumu kupita maelezo kuwa ambia na kuwaaminisha wachina upuuzi huu kuwa kuna...
  10. Webabu

    Vikosi vya Israel vyapata kiwewe kuingia Gaza huku vikosi vya Marekani Mashariki ya Kati vikianza kushambuliwa

    Matangazo mengi kuhusu wanamgambo wa Hamas kinyume na uwezo wao inaonekana kumelitia hofu kubwa jeshi la Israel ambalo linaundwa zaidi na vijana wadogo. Hayo yameonekana katika kurudiwa kwa ahadi na kuwatia moyo askari hao wakatishe mpaka kuingia Gaza. Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant...
  11. Father of All

    Kwanini Urusi, China na India wameamua kuwa watazamaji mgogoro wa mashariki ya kati?

    Japo kinachoendelea kinaweza kuonekana kama tatizo la mashariki ya kati, ni tatizo la dunia. Kwanini Ukraine imegeuzwa na nchi za magharibi tatizo la dunia lakini si mashariki ya kati? Je, ni kwanini mataifa yanayoonekana kuwa na nguvu yameamua kukaa pembeni? Je yanangoja marekani ishindwe...
  12. Father of All

    Afrika iwafundishe Mashariki ya Kati utu, waachane na miungu yao ya uharibifu

    Kwa hali inavyoendelea huko Mashariki ya Kati hata Ukraine, kuna kitu kinakosekana. Nadhani wenzetu kuanzia Wazungu, Waarabu na Wahindi wana kasoro moja. Hawana utu bali ubaguzi, ubinafsi, ufahari, na ukatili. Rejea mfano, Wazungu walivyotutawala, kutuibia, na kutupeleka utuwani au...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wakristo wanatakiwa kuombea amani Mashariki ya Kati

    NAFASI YA MKRISTO KATIKA VITA YA ISRAELI NA PALESTINA. Shalom. Juzi Palestina kupitia wanamgambo wa Hamas wameanzisha mashambulizi juu ya Israel, na inasemekana ni mashambulizi makubwa kuwahi kushambulia na kufanikiwa kuwaua Waisraeli zaidi ya 300 na wengine zaidi 100 kujeruhiwa, idadi hiyo...
  14. Analogia Malenga

    TPA: Tumechagua DPW kwa kuwa mizigo mingi inatoka Mashariki ya Kati

    Katika Club House inayoendelea, Mkurugenzi wa TPA, Prostus Mbosa amesema wameichagua DP-World kwa kuwa mizigo mingi ambayo Tanzania inapokea inatokea Mashariki ya kati ambapo DPW alionekana ni msihirika bora ukilinganisha na Maersk na wengineo Amesema kwa sasa bandari katika high season huwa...
  15. L

    Kanda ya Mashariki ya Kati yakaribisha nafasi ya kiujenzi ya China

    Mkutano mwingine kati ya Saudi Arabia na Iran uliofanyika hapa Beijing umeonyesha kuwa China ni nchi inayotetea amani, na sera zake zinaendana na matakwa ya nchi za Mashariki ya Kati. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa Saudi Arabia Mfalme Faisal bin Farhan Al...
  16. mcshonde

    House Girl / House maids wanavyouzwa mtandaoni nchi za mashariki ya kati

    Kuna App inaitwa 4SALE. Humo unauza/nunua kitu chochote ikiwemo mtu. Kwa miaka kadhaa imetumika sana kuwauza kina dada mtandaoni. Kinachotokea ni kwamba; mabinti/dada walioenda nchi za mashariki ya kati kufanya kazi za ndani wanauzwa mtandaoni kama watumwa. Ukimtaka mfanyakazi unaingia kwenye...
  17. mcshonde

    Nani alimuua Yasser Arrafat?

    Nani alimuua Yasser Arrafat? Novemba 11, 2004 wapalestina walijikusanya vikundi vikundi kuomboleza kifo cha Mohammed Abdel Rahman Abdel Raouf al-Qudwa al-Husseini, al maarufu Yasser Arafat au kunya Abu Ammar. Huyu mwamba alililiwa machozi ya kweli kutokana na kuwaacha wapalestina katika kipindi...
  18. L

    Marekani yashindwa kuzishawishi nchi za Mashariki ya Kati kuipinga China

    Tangu rais wa zamani wa Marekani Donald Trump aanzishe mvutano na China, wakati maafisa wa ngazi ya juu wa Marekani wanapofanya ziara katika nchi za nje, jambo ambalo wote hawaachi kulifanya ni kuzishawishi nchi hizo kushirikiana na Marekani kuipinga China. Katika ziara yake Mashariki ya Kati...
  19. Webabu

    Mashariki ya kati yasema hawataiokoa Ulaya pindi wakijizuia kununua gesi ya Urusi

    Mtaalamu wa uzalishaji na biashara za mafuta na gesi wa Abudhabi bw Said Albakr amebainisha kuwa iwapo nchi za Ulaya zitaendelea kujizuia kununua gesi ya Urusi basi wasitarajie kupata mbadala kutoka nchi za mashariki ya kati na kokote kwengine duniani katika kipindi cha miaka ya karibuni ijayo...
  20. John Haramba

    KENYA: Kilio Wakenya wanaouawa, kudhalilishwa kisa kazi Mashariki ya Kati, Serikali yaambiwa kuamka

    Francis Atwoli Katibu wa Muungano wa Wafanyakazi (COTU), Francis Atwoli ameikosoa Serikali ya Kenya kwa kutokuwa na nguvu katika suala la Wakenya kufanyishwa kazi katika Nchi za Mashariki ya Kati. Atwoli amewajia juu Waziri wa Kazi na Waziri wa Masuala ya Kigeni kwa kushindwa kushughulikiwa...
Back
Top Bottom