Kitendo cha Israel Kumuua Haniya akiwa nchini Iran kwa shambulizi ambalo hata Iran wenyewe hawajui limefanyikaje, kuwapiga wahouth na kulipua maghala yao ya mafuta na kupiga na Lebanon kwa wakati mmoja, kinaonesha kwamba jamaa anamkono wa kupiga mashariki ya kati muda wowote na saa yeyote...