Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimekua nikifuatilia kwa mda mzozo uliopo Mashariki ya Kati yaani Israel na Palestina, nimegundua inawezekana ikawa kweli Israel ni taifa teule kama wanavojinasibu kwa sababu zifuatazo:
Ukisoma historia tangu kuasisiwa kwa taifa hili miaka ya 1948s mwaka...