Nimepata kupitia speech ya rais mpya wa Iran, wakati nikiendelea kumfuatilia hapo awali alikuwa nani na alitokea wapi.
Nilichogundua anajitahidi sana katika maelezo yake kujitofautisha na serikali ya awali ya Hayati Raisi aliekuwa mfuasi kindakindaki wa Hayatollah na mapinduzi. Anajaribu...