Tuendelee kuuombea amani ulimwengu hasa wakristo na mashariki ya kati

Tuendelee kuuombea amani ulimwengu hasa wakristo na mashariki ya kati

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Dunia kwa sasa si mahala salama kwa kuishi wakristo hili kila mtu anajuwa , basi tuwaombee sana wakristo wote hasa wa Nigeria, Lebanon, iran, mali, bukinafaso, na kwingine kote wanakowindwa na magaid ya kiislamu

Lakini pia tuwaombee watu wa mashariki ya kati, hawa wanawindwa na mataifa makubwa sababu ya utajiri wao mkubwa uliopo katika ardhi zao

Tuwaombee na wenye njaa huko Kongo

MUNGU MWENYEZI awabariki sana

SAYUNI BOY
 
Mbona umeshindwa kuiombea nchi yako haki iweze kutendeka kwa walioshiriki kwenye mauaji ya halaiki mwaka jana waweze kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.
 
Mbona umeshindwa kuiombea nchi yako haki iweze kutendeka kwa walioshiriki kwenye mauaji ya halaiki mwaka jana waweze kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.
MUNGU MWENYEZI atatenda kaka yangu
 
Back
Top Bottom