masikini

Elisabeth Finant (9 November 1954 – 28 September 1994), known professionally as Abeti Masikini, was a singer from the Belgian Congo who was active in France from 1971 until her death in 1994 at the age of 39. Her music pulled from a variety of genres, including soukous, Congolese rumba, folk music, and the blues. She recorded 21 albums during her career for a variety of record labels including RCA Records and Polygram Records among others.

View More On Wikipedia.org
  1. JF Member

    Inaumiza sana Mtoto wa Masikini anapokosa Mkopo wa Elimu ya Juu

    Nimefuatilia kwa ukaribu sana hili suara la board ya Mikopo. Ni kama serikali imeendelea kulifumbia macho, yaani haioni kitu kabisa. Bungeni nako wameamua wanafunzi wapokelewe vyuoni bila kuwa na mikopo. Hapa ni danganya toto, vyuo vitajiendeshaje ? Wanafunzi wataishije huko vyuoni? Serikali...
  2. Ali Nassor Px

    Matajiri wanazidi kuwa matajiri na masikini wanazidi kuwa masikini

    Elon Musk tajiri Mpya wa Twitter amesema watu ambao wako Verified huko Twitter watalipia Tsh 19,000 kwa mwezi na sio Tsh 46,000 tena. Wakishindwa kulipa wataondolewa Verification badge ( Blue tick). Pia amesema mtu yoyote yule atakaye kuwa tayari kulipia kiasi hicho naye atakuwa Verified. Kwa...
  3. NetMaster

    Ni bora uwe tajiri mwenye upweke au masikini usie mpweke?

    1. Uwe tajiri mwenye bilioni+ yako lakini ni mpweke, watu pekee unaoweza kuwa nao ni wale wa kununua kama bidhaa ama kujifanya wapo karibu na wewe ili wafaidi pesa zako (machawa, wapambe, gold diggers) 2. uwe n mshahara wa laki 2 lakini una marafiki na ndugu kibao wanaokujali licha ya hali...
  4. Equation x

    Rafiki wa kweli wa tajiri ni masikini

    Wengi huwa tunakosea sana, hasa pale kipato kinapo ongezeka huwa tunawaacha wale wa tabaka la chini tuliokuwa nao pamoja, na kuambatana na tabaka la juu au linaloendana na hadhi yako kwa wakati ule. Kwa ujumla, yule watabaka lako hawezi kamwe kuwa rafiki yako zaidi ya kuwa mshindani wako. Na...
  5. S

    Utumishi Kupeleka Interview Dodoma ni kuwanyima watoto wa masikini nafasi ya kushiriki

    Hili suala kiukweli linafikirisha sana Hii inakua ni kama upendeleo kwa wakazi wa Dodoma pekee na kuwanyima nafasi ya kushiriki watoto wa masikini wanaotokea mikoa mingine Juzi juzi niliona Waziri Jenister Muhagama akiongelea kwamba wameona ni bora kila mtu afanye usaili kwenye mkoa wake ili...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Kalynda Wasishtakiwe, hii ndio maana halisi ya usimuonee Huruma masikini na mjinga

    Kwema Wakuu! Kuna watu hata uwape majibu ya mtihani bado Watafeli pakubwa, alafu watakuwa wakwanza kulalamika. Taikon ni mtu wakuwapeni Magaka/majibu ya mitihani kabla ya kuingia Chumba cha mitihani. Ukiona Jambo nimeliandika ujue tayari nishalifanyia uchunguzi wa kina, na Kwa vile sio hulka...
  7. GENTAMYCINE

    Huenda hii timu leo ikajaza mashabiki 350 tu badala ya 60,000!

    Mpaka muda huu nawaona walinzi tu peke yao magetini, huku uwanjani kukiwa na watu wawili tu. Hivyo huenda wanasubiriwa hao 348 waliobakia ili mbungi lianze hiyo saa 10 kamili jioni. Kuna timu moja nchini Tanzania (nimeisahau jina) yenyewe ingekuwa inacheza leo, basi mpaka saa 4 hii uwanja...
  8. Kijakazi

    Masikini Gadafi!

    Jew hana rafiki, hakuna aliyekuwa kipenzi cha Mzungu kama Gadafi, alikuwa rafiki mkubwa wa Niko Sarkozy na Toni Blair na muwekazaji mkubwa wa Italia na Ulaya kwa ujumla, …
  9. BARD AI

    Tsh. Bilioni 3 kutumika kusaidia Samia Scholarship

    Jumla ya Sh3 bilioni zimetengwa kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika masomo ya sayansi katika mitihani yao ya kidato cha sita. Ufadhili huo ambao unaanza mwaka 2022/2023 unafanyika chini ya mpango unaojulikana kama Samia Scholarship. Akizungumza hayo leo Jumapili...
  10. MakinikiA

    Masikini EU wanateketea kwa kuingilia ugomvi usiowahusu ukraine

    EU central bank warns ‘outlook is darkening’ The ECB has slashed growth forecasts, hiking interest rates even as it predicts inflation will climb further EU central bank warns ‘outlook is darkening’ © Getty Images / Thierry Monasse Europe is facing lower-than-expected economic growth as...
  11. Dam55

    Kijana kama hujaoa kisa unatafuta mwanamke wa hivi. Basi hutooa kamwe na utakufa masikini

    HUYU NDIYE MWANAMKE HALISI WA KUOA 1. Mpenzi wako akija kwako na akakukuta unakula ugali na kachumbari na akaamua kula nawe..huyo muoe.... 2. Ukienda nae hotelini akaamua kuagiza ugali dagaa na maji tu...muoe anajua uchumi. 3. Mdada ambaye akimuona mkaka mwingine anaendesha Land cruiser na...
  12. Idugunde

    Mdude Chadema: Familia masikini ndio zinaumia kwa tozo za serikali ya Rais Samia

  13. S

    Wadada mnaotaka kuolewa. Chondechonde msiolewe na wanaume wanaoshabikia mpira. 98% hufa masikini kabisa

    Dada unayetafuta mchumba wa kukuoa waepuke kama ukoma wanaume ambao ni mashabiki wa mpira. Hawana ndoto kubwa maishani, hawana mipango, na kwa hulka yao muda wao wote huwaza orodha ya vikosi vya timu za mpira. Kama mtu anaweza kukariri wachezaji 11 wa timu 10 tofauti tofauti na walikotoka...
  14. S

    Urusi nafaka kwenda nchi masikini, kutoa mbolea ya bure

    Rais Putin ameahidi kumimina nafaka kwenda nchi masikini. Ameahidi kusupply tani milioni 30 mpaka mwisho wa December. Na pia Urusi ipo tayari kuongeza kiwango hicho na kufikia tani milioni 50. Sambamba na hilo Putin amesema atamimina mbolea ya kumwaga ya bureee kwenda nchi masikini. Kamuamuru...
  15. Nyankurungu2020

    Kiongozi asiye mzalendo na anayejali tumbo lake huwa hana huruma na raia masikini na wasio na uwezo

    Dunia nzima kiongozi wa namna hii huwa hana huruma. Hawezi kujali kama wananchi wanahangaika juu ya ugumu wa maisha na ajira. Atahakikisha wanakamuliwa kodi za kila namna bila ya huruma. Wananchi huwa wananug'unika kama ilivyo kwa sasa Tanzania yetu. Ni manug'uniko kwa kwenda mbele.
  16. Ngully28

    SoC02 Maisha yetu yako vichwani mwetu ila utekelezaji upo mikononi mwetu

    Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna kisichowezekana katika maisha kwani tuna mifano mingi ya watu waliozaliwa katika familia maskini ila wakawa kuja matajiri. Tambua kuwa umakini, uthubutu na jitihada zako ndizo zinaweza kuamua kesho yako. Wapo waliobahatika kupata pesa ila hawakudumunazo...
  17. MakinikiA

    Kodi ,ushuru,tozo ni kitu kile kile

    Kodi ndio Mfumo upo duniani kote Lakini ushuru na tozo ni kwa mpangilio na makubaliano kati mwananchi na serikali ila kama hakuna makubaliano ni sawa na unyang'anyi hakuna tofauti na kibaka,kodi ndio inatambulika duniani ila siyo tozo na ushuru , ukiwa na wabunge wenye emotion wanaamua vitu...
  18. JITU LA MIRABA MINNE

    Kwanini wanawake na masikini ndiyo wanaoanguka mapepo makanisani na siyo matajiri na wanaume?

    Haya maswali sijawah pata jibu, hebu nisaidiane wananzengo!
  19. Idugunde

    Mzee Kinana, chama kinachojali wanyonge na masikini kisingekubali tozo kama hizi. Hii sio CCM aliyoiasisi Mwl. Julius

    Kwamba hata mama aliye kijijini anakatawa tozo akitumiwa pesa na mwanae anayeishi mjini? Kwamba hata mwalimu wa shule anyefundisha kijijini kwenye mazingira magumu ya kijijini anakatwa kodi ya PAYE, na hata akitoa mshahara wake benki anakatwa kodi! Mzee kinana CCM hii iko vipi? Ni mali ya...
  20. Mufti kuku The Infinity

    Ajabu sana, Waziri anakiri watanzania ni masikini halafu bado anaweka tozo

    Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba leo akiwa Dodoma amekutana na Waandishi wa Habari kutolea ufafanuzi ishu ambayo imekua gumzo nchini kuhusu masuala ya tozo kwenye miamala ya simu na benki ambapo hizi ni baadhi ya nukuu ya alichokisema. “Kwanini mwaka huu tozo ziliendelea tena...
Back
Top Bottom