maslahi binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maslahi binafsi, itikadi na mikakati ya kisiasa: Kipi hasa huchochea wanasiasa kuhama kambi?

    Wasalaam, Katika medani za siasa zetu hapa Tanzania, kuhama kwa wanasiasa kutoka chama kimoja kwenda kingine limekuwa si jambo la kushtua tena. Lakini kinacholetwa maswali mengi ni nyakati zenyewe kete hizo zinaposogezwa. Tukio la hivi karibuni la Alute Mughwai Lissu, kaka yake Tundu Lissu...
  2. JamiiForums Tanzania Shigongo: Kuna Wafanyabiashara wanashirikiana na Viwanda Kushusha ubora wa Dawa Nchini

    Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo James, inachukua nafasi hii kuipongeza Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini (TMDA), chini ya uongozi wa Mkurugenzi wake, Dkt. Adam Mitangu Fimbo, kwa kazi nzuri inayoendelea kufanywa katika kudhibiti uingizaji wa dawa bandia nchini. Dawa bandia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  4. JamiiForums Tanzania Ni mwanasiasa wa kutumia fursa kwa maslahi binafsi

    Wakati akiwa kiongozi wa chama chake alionekana ni muungwana,mtu mwenye misimamo na mpenda haki. Wanachama,wananchi na washabiki wa chama chake walimpenda,walimheshimu na walimuamini kupitiliza hadi kila akifanya jambo hawakugundua tabia yake. Baadhi ya wanachama na washabiki walivuja damu na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Kosa tunalofanya viongozi wengi ni kutumia vibaya madaraka kwa maslahi binafsi

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Emmanuel Nchimbi, amewashukia viongozi wanaotumia vibaya dhamana ya uongozi kwa ajili ya kujinufaisha, badala ya kuwatumikia wananchi waliowachagua. Akizungumza Aprili 11, 2026, katika kuadhimisha miaka 104 ya kuzaliwa kwa Hayati Mwalimu Julius Nyerere. "Lakini...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Shoo: Maslahi binafsi yasitupofushe dhidi ya mazuri ya Rais Samia

    "Sisi Viongozi wa dini, Viongozi wa kiroho tunahitaji kuhimiza pamoja na haya mambo haya ya kisiasa au mambo yanayohusu uchaguzi Mkuu, Kuhimiza maboresho katika utoaji wa huduma muhimu kwa jamii. Ustawi wa watu unategemea upatikanaji bora wa huduma za afya, elimu, maji safi na huduma nyingine za...
  7. JamiiForums Tanzania ugawaji wa majimbo kwa sasa ni ustawi wa maendeleo ya jamii zetu au maslahi binafsi ya watu

    Ukikaa unawaza je kuna haja ya kuendelea kujaza wabunge bungeni na kulipana posho na kuongezea serikali mzigo na kuacha huduma za kijamii zikiendelea kudozorota mfano afya na elimu ambazo miundombinu inajengwa ila mashuleni walimu hakuna vitendea kazi hafifu, kwenye afya majengo yapo wahudumu...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe kelele kubwa ya Rais Ramaphosa wa SA kwa Kagame kuhusu Congo inachagizwa na maslahi binafsi pia!

    Wakati watu wanashanga ujasiri wa Kagame kutupiana maneno na Ramaphosa wa SA kuhusu mgogoro wa Mashariki ya DRC, mtandaoni kuna lawama chungu nzima za raia wa Africa Kusini wakimlaumu rais wao Ramaphosa kuongozwa na maslahi ya makampuni binafsi na yake mwenyewe kupeleka majeshi Congo. Baadhi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Maslahi binafsi yanayohujumu harakati na maisha ya vijana

    Huwenda nimechelewa kufahamu hili kwasababu ya umri wangu na uzoefu wangu, nimegundua Tanzania hakuna upinzani wa kweli. Vijana wanapoteza maisha yao, wanaumizwa hata kupotezwa, yote ni kwasababu ya kupigania haki sambamba na kuwa upande wa upinzani, ajabu viongozi wao wanafanya mambo kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

    Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya. Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia . Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Luhanga Mpina hana maslahi anayowapigania Watanzania zaidi ya mabifu yake binafsi

    MATENDO NA TABIA za Bwana Luhanga Mpina ni kama mbwa mzee ambaye amejichokea kuishi sasa anatafuta sababu za kufa ndiyo maana anajilaza barabarani kila mara ili magari yamkanyage afe lakini yanamkwepa ndiyo maana haachi kubwekabweka kila dakika. Luhanga Mpina ni moja ya mawaziri wa hovyo sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…