Ni mwanasiasa wa kutumia fursa kwa maslahi binafsi

Kigongoi kwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2018
Posts
571
Reaction score
676
Wakati akiwa kiongozi wa chama chake alionekana ni muungwana,mtu mwenye misimamo na mpenda haki. Wanachama,wananchi na washabiki wa chama chake walimpenda,walimheshimu na walimuamini kupitiliza hadi kila akifanya jambo hawakugundua tabia yake.
Baadhi ya wanachama na washabiki walivuja damu na jasho na hata wengine walipoteza maisha kwa kupigania maslahi ya chama. Kuna wengine waliamini jamaa anakichangia chama na wakati mwingine alikua akipokea michango ya wadau wa ndani na wa nje kwa ajili ya harakati za kukiimarisha chama.
Haikuruhusiwa kumpinga kwa jambo lolote na ukigundulika umefanya hayo unafukuzwa uwanachama.
Baadae wanachama waligundua kwamba huyu sio; wakafanya uchaguzi akashindwa.
Hiki ni kipindi kingine kwake,kaona atumie fursa ili afanye biashara zake. Hili sio baya.
Kilicho kibaya ni kutumia fursa hiyo huku ukijua kwamba watu wamepoteza ndugu, watoto na marafiki kwa ushawishi wako wa kisiasa na ww kuwasaliti.
Kuna maelezo kwamba fursa amepewa ili afanye biashara anayoitaka lakini pia kuwezeshwa kukwepa kulipa Kodi kadri itakavyoonekana Ina faa. Kiujumla ni kwamba ni mtu wa kutumia fursa Kila inapopatikana kwa maslahi binafsi.
 
Huyu MTU i Abubakar Mbowe
 
ok.🐒
 
Mngemuacha awe na huru na maamuzi yake, mkiendelea kuujadili uamuzi wake ni kama mnaingilia uhuru wake kiasi ambacho yeye amewaachia uhuru wenu. Mkilazimisha kuonesha kuwa wakati wa uongozi alikuwa mnafiki mtapoteza muda maana ni wazi alifanya kazi za kutafuta kuongoza nchi bahati mbaya hakufanikiwa. Mnavyotaka amchukie kila mtu kwakuwa alikuwa mpinzani sio sawa nyie endeleeni na chuki zenu kwa wengine kama mnavyoambiwa muwachukie wasanii na viongozi.
 
Wakati akiwa kiongozi wa chama chake alionekana ni muungwana,mtu mwenye misimamo na mpenda haki. Wanachama,wananchi na washabiki wa chama chake walimpenda,walimheshimu na walimuamini kupitiliza hadi kila akifanya jambo hawakugundua tabia yake.
Baadhi ya wanachama na washabiki walivuja damu na jasho na hata wengine walipoteza maisha kwa kupigania maslahi ya chama. Kuna wengine waliamini jamaa anakichangia chama na wakati mwingine alikua akipokea michango ya wadau wa ndani na wa nje kwa ajili ya harakati za kukiimarisha chama.
Haikuruhusiwa kumpinga kwa jambo lolote na ukigundulika umefanya hayo unafukuzwa uwanachama.
Baadae wanachama waligundua kwamba huyu sio; wakafanya uchaguzi akashindwa.
Hiki ni kipindi kingine kwake,kaona atumie fursa ili afanye biashara zake. Hili sio baya.
Kilicho kibaya ni kutumia fursa hiyo huku ukijua kwamba watu wamepoteza ndugu, watoto na marafiki kwa ushawishi wako wa kisiasa na ww kuwasaliti.
Kuna maelezo kwamba fursa amepewa ili afanye biashara anayoitaka lakini pia kuwezeshwa kukwepa kulipa Kodi kadri itakavyoonekana Ina faa. Kiujumla ni kwamba ni mtu wa kutumia fursa Kila inapopatikana kwa maslahi binafsi.
Wadanganyika tuna sifa moja kubwa UNAFIKI yaani sijui kama Mwenyezi Mungu katujaalia au ni laana. Mtajifunza lini kuwa wakweli wa nafsi na kushukuru pale inapopaswa?

Yaani mnakosa hata shukrani, Mbowe kawatoa vyuoni kawaingiza kwenye Siasa mkapata majina leo hii yeye ndio mbaya mpenda sijui Fedha! Nani kati yenu hapendi fedha?

Mbowe sii tu alutumia fedha zake kukiendesha Chama, hapakuwa na hizi tone tone, Mbowe kapoteza mali zake zote yaani alifilisiwa wakati wa Magufuli. Kama kweli yuko karibu na Samia sii angesha rudishiwa Mali zake? Kwa nini basi Samia asimrudishie japo vitu vya ndani kama meza na viti!

Huyu Lissu sii alifadhiliwa na Samia akiwa Ubegiji? Akapewa mpaka nauli ya kurudi Tanzania na gari la kutembelea akakabidhiwa baada ya kulikataa gari lake. Akarudishiwa na na mishara ya Ubunge wakati Bunge lishamfuta! Sheria gani ilitumika? Haya hamyasemi ila kutwa ni Mbowe, Mbowe!

Lissu kama ailidhani anaweza kula hela za Mwanamke tena mwanamke mwenyewe Mswahili wa Kizimkazi😂😂 atazitapika! Nyie pigeni kelele kumkashifu Mbowe, lkn Lissu ataendelea kuvuta Bangi zake Segelea..wamesha mwingiza chama cha Rastafar - One Love, siii Mandela tena..😂😂

Yaani huwezi fadhiliwa kiasi kile halafu unakuja kumgeuka kwa sababu Unautaka Urais! Urais hautafutwi kwa kukanyaga wengine bali umeonyesha uwezo wa Kuongoza watu sii kusambaratisha Jamii.

Toka Lissu amekuwa Mwenyekiti, Chadema inasambaratika! Inapukutika, ACT sasa hivi wanajivuna ati Chama kikuu cha Upinzani! What? ACT ya Zitto!
Hivi Mnataka kunambia Chadema imekuwa bora zaidi leo kuliko miaka ilopita - Kwa kipi? Kumebakia vijana wapiga debe hata Siasa hawajui!
 
Wadanganyika tuna sifa moja kubwa UNAFIKI yaani sijui kama Mwenyezi Mungu katujaalia au ni laana. Mtajifunza lini kuwa wakweli wa nafsi na kushukuru pale inapopaswa?

Yaani mnakosa hata shukrani, Mbowe kawatoa vyuoni kawaingiza kwenye Siasa mkapata majina leo hii yeye ndio mbaya mpenda sijui Fedha! Nani kati yenu hapendi fedha?

Mbowe sii tu alutumia fedha zake kukiendesha Chama, hapakuwa na hizi tone tone, Mbowe kapoteza mali zake zote yaani alifilisiwa wakati wa Magufuli. Kama kweli yuko karibu na Samia sii angesha rudishiwa Mali zake? Kwa nini basi Samia asimrudishie japo vitu vya ndani kama meza na viti!

Huyu Lissu sii alifadhiliwa na Samia akiwa Ubegiji? Akapewa mpaka nauli ya kurudi Tanzania na gari la kutembelea akakabidhiwa baada ya kulikataa gari lake. Haya hamyasemi ila kutwa ni Mbowe, Mbowe!

Lissu kama ailidhani anaweza kula hela za Mwanamke tena mwanamke mwenyewe Mswahili wa Kizimkazi😂😂 atazitapika! Nyie pigeni kelele kumkashifu Mbowe, lkn Lissu ataendelea kuvuta Bangi zake Segelea..wamesha mwingiza chama cha Rastafar - One Love, siii Mandela tena..😂😂

Yaani huwezi fadhiliwa kiasi kile halafu unakuja kumgeuka kwa sababu Unautaka Urais! Urais hautafutwi kwa kukanyaga wengine bali umeonyesha uwezo wa Kuongoza watu sii kusambaratisha Jamii.

Toka Lissu amekuwa Mwenyekiti, Chadema inasambaratika! Inapukutika, ACT saaa hivi wanajivuna ati Chama kikuu cha Upinzani! What? ACT ya Zitto!
Hivi Mnataka kunambia Chadema imekuwa bora zaidi leo kuliko miaka ilopita? Kumebakia vijana wapiga debe hata Siasa hawajui!
duu
 
Back
Top Bottom