Migogoro Wa Ardhi unaoendelea Ngorongoro umekuwa ukijengewa dhana kadhaa ili ikubalike na wengi.
Mara ni Mpango wa kuokoa uhifadhi, mara kulinda masalia ya wanyama, mara kulinda vyanzo vya maji, mara kulinda malikale (labda Wamasai wasikanyage fuvu la kale au nyayo labda wanadhani Wamasai ni...